Dr. Ulimboka akumbuke kuwa ni sisi watanzania wazalendo ndio tuliookoa maisha yake kwa kumchangia na kumpeleka kwenye matibabu nje ya nchi...na sasa ni watanzania haohao ndio tunaitaji kuwajua hao wahuaji ili tuwaangamize kabisa tusijepata garama tena ya kumpeleka mwingine nje ya nchi kwa matibabu....Asanteni
Tumeshasema habari za Dr. Ulimboka zimetuchosha hapa JF pelekeni Issa Michuzi Blog hizo habari
Ulimboka, ni dhambi kubwa kuudanganya uma wa watu wote waliolia kwaajiri yako na kukuona kama mpigania haki,then leo unanunuliwa.fanya maamuzi mazuri la sivyo hautokaa kwa amani rohono mwako.hata mungu hapendi.
Shauri yako.
Ulimboka, ni dhambi kubwa kuudanganya uma wa watu wote waliolia kwaajiri yako na kukuona kama mpigania haki,then leo unanunuliwa.fanya maamuzi mazuri la sivyo hautokaa kwa amani rohono mwako.hata mungu hapendi.
Shauri yako.
This is very clear! Huu mgomo ni wa madaktari wote,mshikamano wao wote ndio muhimu.sometimes namuelewa Ulimboka,hakuna jemedari anaweza kusimama imara bila uhakika wa jeshi analoliongoza.
Ulimboka kupigwa tu Madaktari wakasambaratika hadi leo alafu wanataka yeye alianzishe tena!
nafikiri mwenendo wa madaktari umemkatisha tamaa Ulimboka na alitarajia wenzake wangekomaa zaidi baada ya kuumizwa vibaya lakini ikawa kinyume! kumbe hata kama wangemuua kabisa mgomo ungeisha hivi hivi kiuoga!
naelewa nafasi ya Dr Ulimboka!
Hicho unachokisema sio sahihi Dr. Uli anatakiwa kwanza amtendee hati Bw. Mgaza halafu na si watanzania wote kwani wakati wa tukio hili watu walifanya maombi ikiwa ni pamoja na kutoa michango yao kwa ajili ya matibabu yake. hivyo anabidi atutendee haki kwa kutoa maelezo na ikiwezekana kuwataja waliohusika ili tukio kama hili lisiweze kutokea kwa mwingine na asipofanya hivyo atakuwa amefanya usaliti kwa Bw. Mgaza, madaktari, Bi Kijo, na watanzania wote tuliokuwa pamoja nae wakati wa maumivu yake.Godwinnko
Ilishasemwa humu JF kuwa Ulimboka ni mtaalamu na siyo mwanasiasa, hawezi kupelekwa pelekwa na wanasiasa na wanaharkati kwa maslahi yao binafsi. Haya sasa mmeanza kuja na "azimwa" Chanzo chenyewe cha taarifa Tdaima, ndo wale wle Kubenea type. Mwacheni Dr. wa watu apumzike ili aiendeleze taaluma yake, kama waliokuwa wakimtumia hawajaridhikana wabuni mbinu nyingine ya kujipatia umaarufu.