Frey Cosseny
JF-Expert Member
- Feb 4, 2015
- 1,984
- 1,405
Umekosa ubunifu umecopy meen
Nimesoma komenti yako nimetoka na hayaNamkubali sana Tulia Ackson huyu mama zaidi ya Jembe, mwanamke kama huyu nadhani hajawahi tokea hapa Tanzania hongera sana Magu kwa kutuletea NS makini kama huyu , hivi kumbe kuna wadada wanaweza kuliko wanaume wengi eeh, sikuwahi kuwaza kama atatokea Dada jasiri kama Tulia akawa anakimbiwa na wanaojiita makamanda.
"Jilaza" la mukulu Kakopi na kupesti bila hata kuediti!
Ni mtazamo wako na nauheshimu sana kwani kila mtu ana mtazamo wake, hivyo usitake kunilisha maneno ambao nikichefuchefu kwangu kuyasema.Nimesoma komenti yako nimetoka na haya
1. Humkubali kwa kutenda mema, bali kwa kuyafanya mabaya kwa usiowapenda. Siku zote usiyempenda akitendewa mabaya utafurahi tu, iwe anaonewa au la
2. Unamkubali kwa vile kayafanya hayo anayoyafanya kwa wapinzani.... ONE day mtaomba msamaha kama mlivyoomba kwa kudharau kauli ya Prof. Mkumbo juu ya idadi ya wanafunzi wa ualimu wa sayansi pale UDOM
3. Hata mwizi akikamatwa unatakiwa apelekwe kwenye vyombo vya sheria, na ndiyo maana tunahimizwa kutojichukulia sheria mkononi.... HATA KAMA HUMPENDI