Umesahau kuweka namba ya simu, tulia atakutumiaje vocha?Itakuwa unaota usingizini wewe .Kazi anayoifanya Dr Tulia pale Mbeya mjini ni kubwa sana ambayo Sugu hata angepewa miaka mia asingeweza kuifanya hata robo tu .Ni kwa juhudi za Dr Tulia sasa Mbeya inakwenda kujengwa Barabara za njia nne kutoka igawa Mbeya hadi Tunduma kwa km 237.9. kazi hii maandalizi yake yameshakamilika na pesa ipo Tayari .miradi mingi sana imejengwa mkoani Mbeya kuanzia shule , zahanati, vituo vya afya ,maji kila sehemu, barabara za mitaa n.k .sasa Mbeya inapendeza na kung'aa kwa maendeleo kila sehemu.wafanyabiashara wanafanya biashara kwa amani na utulivu tofauti na hapo awali jiji lilipokuwa chini ya uongozi wa CHADEMA ambapo lilitawaliwa na mivurugu ya kila aina isiyo koma wala kuwa na kikomo.
Dr Tulia ameviwezesha vikundi mbalimbali vya akina mama na vijana Kupata mitaji kwa kuvipatia pesa za kutosha.ni Dr Tulia aliyewapa vijana wengi sana bodaboda na bajaji ambazo zinawasaidia katika kujipatia kipato cha kila siku, Ni Dr Tulia amekuwa akiwasaidia wajane ,yatima na wazee misaada ya kila aina ambayo imeleta tabasamu na matumaini kwao.
Ndio maana Mbeya kwa umoja wao na kwa kauli moja wameamua kwenda na Dr Tulia tena uchaguzi ujao,wameamua na wamejiandaa kumpigia kura za ndio kwa kishindoo uchaguzi ujao.
Ushauri wa bure Lucas mwashambwa ukitakamafanikio ya haraka, uwe chawa wa kipara hususan kwenye lengo lake la kugombea urais. Mwingine ni huyu aliyeibukia majuzi. Theseboys have moneyto throw away.