Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 36,453
- 23,815
Kwetu hatulimi mkonge sisi.Nakuuliza tena kwa mara nyingine,
Vipi umeshavuna mkonge?
Kwetu hatulimi mkonge sisi.Nakuuliza tena kwa mara nyingine,
Vipi umeshavuna mkonge?
Mnajifariji sana,amshukuru magufuli na ubunge wa sandakalawe.mama mwenyewe hamkubali uyo bi kiroboto.ndo mana alikwenda concert la sugu Moto chini.jiulizeunakandamiza mno utaua watua aiseee
mimi tena ndio nijiulize?Mnajifariji sana,amshukuru magufuli na ubunge wa sandakalawe.mama mwenyewe hamkubali uyo bi kiroboto.ndo mana alikwenda concert la sugu Moto chini.jiulize
Unakuwa mjinga na kuwashalilisha Wanyiha/Wasafwa kama unamuabudu huyo kidudu mtu Tulia Ackson. Huyo kwanza ni mhamiaji kutoka Tukuyu. Ningekuona wa maana kama ungekuwa unapigania jimbo lirudi kwa wazawa.Kwa hiyo unafikiri akija Mbeya huwa anakuja kudhurura kama wewe ufanyavyo?
Tulia atashinda Mbeya hata Kwa lazima sio tuu IPU so Punguzeni muweweseko.Wengi tuliamini Sugu alikuwa hasikilizwi kwa sababu alikuwa anatoka upinzani, kumbe sio! Ile barabara kuu ya ajali nyingi za kutisha kutoka Mbeya kwenda Tunduma sie tuliamini sasa imepata mwarobaini ambaye ni Tulia Aksoni kumbe tulikosea sana, hamna kitu kabisa.
Hiyo barabara ndio haizungumzwi kabisa, bora Sugu alikuwa anaipigia kelele. Hvi nyie wabunge wa Mkoa wa Mbeya hasa nyie ambao mpo kando kando ya hiyo barabara eti mnaendesha matambiko ya kupunguza ajali wakati hiyo barabara ni nyembamba kupishana tu shida inataka ipanuliwe angalau njia nne, lakini mmekazana na waganga wa kienyeji!
Sisi wananchi tunamshangaa Tulia, ye ndio angekuwa mstari wa mbele kwenye hili kwa sababu wanasema ana nguvu serikalini sasa hata yeye ziiiii! Sasa tofauti yake na Sugu ipo wapi?
Mambo mengi Tulia pale Mbeya ni kama umeshindwa na ndio maana badala kupambana unakazania Marathon tu, maana ndio kitu unakijua zaid!
Sasa tumeshaamua jimbo halitagawanywa, utagombea hapo hapo Mbeya mjini ili tukufundishe adabu.
Kama ni mwanaume basi kuna shida pahalaUwezo wa Dr Tulia kiuongozi ni mkubwa sana,ni kiongozi makini,mchapa kazi , mbunifu,mwenye maono na akili kubwa.Ndio maana kwa uwezo wake mkubwa Dunia inamhitaji ili akawaongoze kwa kuwa Rais wa umoja wa mabunge Duniani. Dr Tulia amekuwa mwalimu wa shule kuu ya sheria pale mlimani. unafikiri vichwa panzi aina yako unaweza ukafanya kazi hiyo? Unaweza ukafundisha ukaeleweka? Dr Tulia amekuwa naibu mwanasheria Mkuu wa serikali. Unafikiri unaweza kupewa nafasi hiyo kama kichwa chako hakipo sawa na kidogo kiufahamu kama kuku wa kisasa? Dr Tulia ni akili kubwa ile,Ni kiongozi na Nusu. Ukienda hovyo na mikurupuko ya hoja ni lazima upotezwe fahamu na kuzimia chini. Huoni Machadema alipoingia Bungeni namna alivyowakaba koo mpaka wakashindwa kupumua? Huoni wakina sugu walivyonywea na kuamua kunyoosha mikono juu? Dr Tulia ndio Nembo ya wana Mbeya na fahari ya nyanda za juu kusini.
Hehe. Tulia amekuwa spika wa bunge chini ya uongozi wa mama Samia. Tulia ni mbunge wa milele wa mbeya mjini. Hakuna kinyago wa kumtoaMnajifariji sana,amshukuru magufuli na ubunge wa sandakalawe.mama mwenyewe hamkubali uyo bi kiroboto.ndo mana alikwenda concert la sugu Moto chini.jiulize
Nyie wapumbavu mkiongozwa na Sugu hakuna chochote mlichokifanya mbeya mjini zaidi ya wizi tu. Tulia trust imekuwa mkombozi wa wanambeya. Tulia ni mbunge wa milele wa Mbeya mjiniNakuuliza tena kwa mara nyingine,
Vipi umeshavuna mkonge?
Atapita kwa kishindo. Nyie wezi wa chadema mmekumbuka ufisadi wenu mlioufanya hapa mbeya hakuna mjinga atahangaika na Chadema. Hakuna kitu Chadema walichofanya Mbeya mjini zaidi ya wizi na ufisadiNdoto za alinacha hizo,hata avae hirizi kwenye kiharage.mbeya hapiti ng'oooo.we Kaa huko huko igamba udanganye watu
Umeandika bla bla tupu, sijaona hayo maendeleo aliyowaletea wana Mbeya!Itakuwa unaota usingizini wewe .Kazi anayoifanya Dr Tulia pale Mbeya mjini ni kubwa sana ambayo Sugu hata angepewa miaka mia asingeweza kuifanya hata robo tu .Ni kwa juhudi za Dr Tulia sasa Mbeya inakwenda kujengwa Barabara za njia nne kutoka igawa Mbeya hadi Tunduma kwa km 237.9. kazi hii maandalizi yake yameshakamilika na pesa ipo Tayari .miradi mingi sana imejengwa mkoani Mbeya kuanzia shule , zahanati, vituo vya afya ,maji kila sehemu, barabara za mitaa n.k .sasa Mbeya inapendeza na kung'aa kwa maendeleo kila sehemu.wafanyabiashara wanafanya biashara kwa amani na utulivu tofauti na hapo awali jiji lilipokuwa chini ya uongozi wa CHADEMA ambapo lilitawaliwa na mivurugu ya kila aina isiyo koma wala kuwa na kikomo.
Dr Tulia ameviwezesha vikundi mbalimbali vya akina mama na vijana Kupata mitaji kwa kuvipatia pesa za kutosha.ni Dr Tulia aliyewapa vijana wengi sana bodaboda na bajaji ambazo zinawasaidia katika kujipatia kipato cha kila siku, Ni Dr Tulia amekuwa akiwasaidia wajane ,yatima na wazee misaada ya kila aina ambayo imeleta tabasamu na matumaini kwao.
Ndio maana Mbeya kwa umoja wao na kwa kauli moja wameamua kwenda na Dr Tulia tena uchaguzi ujao,wameamua na wamejiandaa kumpigia kura za ndio kwa kishindoo uchaguzi ujao.
Daah!? hayo mengine wacha nikuachie mwenyewe,Nyie wapumbavu mkiongozwa na Sugu hakuna chochote mlichokifanya mbeya mjini zaidi ya wizi tu. Tulia trust imekuwa mkombozi wa wanambeya. Tulia ni mbunge wa milele wa Mbeya mjini
Itakuwa unaota usingizini wewe .Kazi anayoifanya Dr Tulia pale Mbeya mjini ni kubwa sana ambayo Sugu hata angepewa miaka mia asingeweza kuifanya hata robo tu .Ni kwa juhudi za Dr Tulia sasa Mbeya inakwenda kujengwa Barabara za njia nne kutoka igawa Mbeya hadi Tunduma kwa km 237.9. kazi hii maandalizi yake yameshakamilika na pesa ipo Tayari .miradi mingi sana imejengwa mkoani Mbeya kuanzia shule , zahanati, vituo vya afya ,maji kila sehemu, barabara za mitaa n.k .sasa Mbeya inapendeza na kung'aa kwa maendeleo kila sehemu.wafanyabiashara wanafanya biashara kwa amani na utulivu tofauti na hapo awali jiji lilipokuwa chini ya uongozi wa CHADEMA ambapo lilitawaliwa na mivurugu ya kila aina isiyo koma wala kuwa na kikomo.
Dr Tulia ameviwezesha vikundi mbalimbali vya akina mama na vijana Kupata mitaji kwa kuvipatia pesa za kutosha.ni Dr Tulia aliyewapa vijana wengi sana bodaboda na bajaji ambazo zinawasaidia katika kujipatia kipato cha kila siku, Ni Dr Tulia amekuwa akiwasaidia wajane ,yatima na wazee misaada ya kila aina ambayo imeleta tabasamu na matumaini kwao.
Ndio maana Mbeya kwa umoja wao na kwa kauli moja wameamua kwenda na Dr Tulia tena uchaguzi ujao,wameamua na wamejiandaa kumpigia kura za ndio kwa kishindoo uchaguzi ujao.
Mkuu mbona unamkatisha tamaa mwenzio😆😆Wengi tuliamini Sugu alikuwa hasikilizwi kwa sababu alikuwa anatoka upinzani, kumbe sio! Ile barabara kuu ya ajali nyingi za kutisha kutoka Mbeya kwenda Tunduma sie tuliamini sasa imepata mwarobaini ambaye ni Tulia Aksoni kumbe tulikosea sana, hamna kitu kabisa.
Hiyo barabara ndio haizungumzwi kabisa, bora Sugu alikuwa anaipigia kelele. Hvi nyie wabunge wa Mkoa wa Mbeya hasa nyie ambao mpo kando kando ya hiyo barabara eti mnaendesha matambiko ya kupunguza ajali wakati hiyo barabara ni nyembamba kupishana tu shida inataka ipanuliwe angalau njia nne, lakini mmekazana na waganga wa kienyeji!
Sisi wananchi tunamshangaa Tulia, ye ndio angekuwa mstari wa mbele kwenye hili kwa sababu wanasema ana nguvu serikalini sasa hata yeye ziiiii! Sasa tofauti yake na Sugu ipo wapi?
Mambo mengi Tulia pale Mbeya ni kama umeshindwa na ndio maana badala kupambana unakazania Marathon tu, maana ndio kitu unakijua zaid!
Sasa tumeshaamua jimbo halitagawanywa, utagombea hapo hapo Mbeya mjini ili tukufundishe adabu.
Kwani Chawa Tulia kafanya nini?Nyie wapumbavu mkiongozwa na Sugu hakuna chochote mlichokifanya mbeya mjini zaidi ya wizi tu. Tulia trust imekuwa mkombozi wa wanambeya. Tulia ni mbunge wa milele wa Mbeya mjini
Tulia Ackson bila mbeleko ya Serikali sidhani kama ana uwezo wa kushinda hata UdiwaniMnajifariji sana,amshukuru magufuli na ubunge wa sandakalawe.mama mwenyewe hamkubali uyo bi kiroboto.ndo mana alikwenda concert la sugu Moto chini.jiulize
Itakuwa unaota usingizini wewe .Kazi anayoifanya Dr Tulia pale Mbeya mjini ni kubwa sana ambayo Sugu hata angepewa miaka mia asingeweza kuifanya hata robo tu .Ni kwa juhudi za Dr Tulia sasa Mbeya inakwenda kujengwa Barabara za njia nne kutoka igawa Mbeya hadi Tunduma kwa km 237.9. kazi hii maandalizi yake yameshakamilika na pesa ipo Tayari .miradi mingi sana imejengwa mkoani Mbeya kuanzia shule , zahanati, vituo vya afya ,maji kila sehemu, barabara za mitaa n.k .sasa Mbeya inapendeza na kung'aa kwa maendeleo kila sehemu.wafanyabiashara wanafanya biashara kwa amani na utulivu tofauti na hapo awali jiji lilipokuwa chini ya uongozi wa CHADEMA ambapo lilitawaliwa na mivurugu ya kila aina isiyo koma wala kuwa na kikomo.
Dr Tulia ameviwezesha vikundi mbalimbali vya akina mama na vijana Kupata mitaji kwa kuvipatia pesa za kutosha.ni Dr Tulia aliyewapa vijana wengi sana bodaboda na bajaji ambazo zinawasaidia katika kujipatia kipato cha kila siku, Ni Dr Tulia amekuwa akiwasaidia wajane ,yatima na wazee misaada ya kila aina ambayo imeleta tabasamu na matumaini kwao.
Ndio maana Mbeya kwa umoja wao na kwa kauli moja wameamua kwenda na Dr Tulia tena uchaguzi ujao,wameamua na wamejiandaa kumpigia kura za ndio kwa kishindoo uchaguzi ujao.
Kodi inakusanywa na serikali,mbunge anapeleka ombi ,sasa sugu alipeleka maombi hayajatekelezwa kwa figisu za ccm ulitaka afanyejeItakuwa unaota usingizini wewe .Kazi anayoifanya Dr Tulia pale Mbeya mjini ni kubwa sana ambayo Sugu hata angepewa miaka mia asingeweza kuifanya hata robo tu .Ni kwa juhudi za Dr Tulia sasa Mbeya inakwenda kujengwa Barabara za njia nne kutoka igawa Mbeya hadi Tunduma kwa km 237.9. kazi hii maandalizi yake yameshakamilika na pesa ipo Tayari .miradi mingi sana imejengwa mkoani Mbeya kuanzia shule , zahanati, vituo vya afya ,maji kila sehemu, barabara za mitaa n.k .sasa Mbeya inapendeza na kung'aa kwa maendeleo kila sehemu.wafanyabiashara wanafanya biashara kwa amani na utulivu tofauti na hapo awali jiji lilipokuwa chini ya uongozi wa CHADEMA ambapo lilitawaliwa na mivurugu ya kila aina isiyo koma wala kuwa na kikomo.
Dr Tulia ameviwezesha vikundi mbalimbali vya akina mama na vijana Kupata mitaji kwa kuvipatia pesa za kutosha.ni Dr Tulia aliyewapa vijana wengi sana bodaboda na bajaji ambazo zinawasaidia katika kujipatia kipato cha kila siku, Ni Dr Tulia amekuwa akiwasaidia wajane ,yatima na wazee misaada ya kila aina ambayo imeleta tabasamu na matumaini kwao.
Ndio maana Mbeya kwa umoja wao na kwa kauli moja wameamua kwenda na Dr Tulia tena uchaguzi ujao,wameamua na wamejiandaa kumpigia kura za ndio kwa kishindoo uchaguzi ujao.
Hata Sa100 amepata huu ugonjwa.Anajisahaulisha kwamba yuko hapo alipo kwa "upepo" wa Hayati JPM.
Ngoja tuone.
Time will tell.
Umeongea sahihi kabisaItakuwa unaota usingizini wewe .Kazi anayoifanya Dr Tulia pale Mbeya mjini ni kubwa sana ambayo Sugu hata angepewa miaka mia asingeweza kuifanya hata robo tu .Ni kwa juhudi za Dr Tulia sasa Mbeya inakwenda kujengwa Barabara za njia nne kutoka igawa Mbeya hadi Tunduma kwa km 237.9. kazi hii maandalizi yake yameshakamilika na pesa ipo Tayari .miradi mingi sana imejengwa mkoani Mbeya kuanzia shule , zahanati, vituo vya afya ,maji kila sehemu, barabara za mitaa n.k .sasa Mbeya inapendeza na kung'aa kwa maendeleo kila sehemu.wafanyabiashara wanafanya biashara kwa amani na utulivu tofauti na hapo awali jiji lilipokuwa chini ya uongozi wa CHADEMA ambapo lilitawaliwa na mivurugu ya kila aina isiyo koma wala kuwa na kikomo.