Dr Tulia Ackson Miaka yote aikuwa wapi?

Shetani hajawahi kuwashinda watu wa Mungu na kamwe hataweza, ataishia kuwanyanyasa kwa muda tu na mwisho shetani huumbuka.
 
Wacha kuwa na kiherehere kwani waamuzi wa suala hili wako huko jimboni na matokeo tutayasikia.
 
Wacha kuwa na kiherehere kwani waamuzi wa suala hili wako huko jimboni na matokeo tutayasikia.
ni uzi wa kitambo uliokuwa na swali ambalo majibu yake tayari yameanza kutoka , huyu hakufadhili ngoma bure , Style yake ni ya nipe nikupe
 
Anaandaliwa kuwa speaker huyo maana aliopo aliopo hajui kwa nini yupo pale!!! Atakuwa mstaafu akiwa ndani ya Bunge
Kama anaandaliwa kuwa Spika wa Bunge atuambie Je Ndugai atakuwa naibu wake? Maana mwezi uliopita JPM alipita Kongwa na kumpa baraka Ndugai kwa ajili ya jimbo na Uspika.
 
Dr. Tulia Alikua bonge la lecturer, nakumbuka ndiye aliotuweka sawa kwenye first year orientation ya UDSL maana tulikua very exhausted, I Will always remember her for that,,, na namwomba akimaliza siasa arudi nyumbani UDSL.
UDSL ndo wapi mkuu?
 
Kaka Tulia ashanyakuwa Mbeya.

Mbeya imegundua imechelewa sana.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…