DR SLaa zingatia sana diet! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

DR SLaa zingatia sana diet!

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by rosemarie, Jan 3, 2012.

 1. rosemarie

  rosemarie JF-Expert Member

  #1
  Jan 3, 2012
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 6,767
  Likes Received: 1,023
  Trophy Points: 280
  nimesoma maisha ya mgombea urais wa marekani John MAccain'huyu jamaa hajabadilika tangu tulivyomwona kwenye uchaguzi miaka minne iliyopita yuko vilevile'namwomba sana DR slaa azingatie sana diet kwa sababu tunamwitaji sana 2015 aongoze nchi yetu'sijui kama anakunywa pombe lakini namshauri aache kabisa'vilevile aache kula red meat yaani nyama ya ngo'mbe'ale zaidi mboga za majani na ajiepushe na mambo yanayoweza kumpa strees''ni mawazo yangu tu jamani.
   
 2. Radhia Sweety

  Radhia Sweety JF-Expert Member

  #2
  Jan 3, 2012
  Joined: Aug 10, 2011
  Messages: 4,448
  Likes Received: 345
  Trophy Points: 180
  Huyu mzee tatizo lake konyagi mwitu.
   
 3. U

  Uwezo Tunao JF-Expert Member

  #3
  Jan 3, 2012
  Joined: Nov 14, 2010
  Messages: 6,947
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Big up mkuu, ni wazo zuri tena sanaaa!!

   
 4. rosemarie

  rosemarie JF-Expert Member

  #4
  Jan 3, 2012
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 6,767
  Likes Received: 1,023
  Trophy Points: 280
  Japo sisi waafrica hatuzingatii sana diet nashauri afikirie kazi iliyo mbele yake'
  Ajitoe mhanga ili akumbukwe na vizazi vijavyo
   
 5. Radhia Sweety

  Radhia Sweety JF-Expert Member

  #5
  Jan 3, 2012
  Joined: Aug 10, 2011
  Messages: 4,448
  Likes Received: 345
  Trophy Points: 180
  labda hana mtu wa kumpikia
   
 6. M

  Molemo JF-Expert Member

  #6
  Jan 3, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 13,287
  Likes Received: 580
  Trophy Points: 280
  awe na mtaalam kabisa atakayelipwa na chama kwa masuala ya afya
   
 7. F

  FJM JF-Expert Member

  #7
  Jan 3, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,088
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Huu ushauri naomba uwafikie pia vigogo wa polisi. Wanatia aibu ni mitumbo yao!
   
 8. Chakunyuma

  Chakunyuma JF-Expert Member

  #8
  Jan 3, 2012
  Joined: Apr 10, 2011
  Messages: 811
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Wazo zuri na kwakuwa huwa na pitia humu ataweza kusoma na kuzingatia ushauri huu.
   
 9. rosemarie

  rosemarie JF-Expert Member

  #9
  Jan 3, 2012
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 6,767
  Likes Received: 1,023
  Trophy Points: 280
  Yaani ni muhimu sana mkuu'tujue imebaki miaka mitatu na ushee'afya yake ilindwe sana kwa sababu ndio mtaji wetu
   
 10. Chakaza

  Chakaza JF-Expert Member

  #10
  Jan 3, 2012
  Joined: Mar 10, 2007
  Messages: 23,663
  Likes Received: 21,881
  Trophy Points: 280
  Wazo zuri,ila hata kwa macho tu,makamanda wa CDM wako fit na hakuna mwenye rekodi ya kuangukaanguka majukwaani
   
 11. Sr. Magdalena

  Sr. Magdalena JF-Expert Member

  #11
  Jan 3, 2012
  Joined: Aug 10, 2011
  Messages: 770
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 45
  2015 zamu ya wenzetu, tumegombea sisi sana sasa ni zamu ya mgombea kutoka Zanzibar.
   
 12. rosemarie

  rosemarie JF-Expert Member

  #12
  Jan 3, 2012
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 6,767
  Likes Received: 1,023
  Trophy Points: 280
  Mpaka 2015 muungano utakuwa ulishakufa'tuangalie zaidi nchi yetu tanganyika
   
 13. Mphamvu

  Mphamvu JF-Expert Member

  #13
  Jan 3, 2012
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 10,708
  Likes Received: 933
  Trophy Points: 280
  unamaana Dr. anatumia supu ya mawe?
  Angalau yeye anaonesha uzalendo kwa kutumia vya nyumbani kuliko zile suti za UK.
   
 14. Amavubi

  Amavubi JF-Expert Member

  #14
  Jan 3, 2012
  Joined: Dec 9, 2010
  Messages: 29,473
  Likes Received: 4,751
  Trophy Points: 280
  .....Habari na Hoja Mchanganyiko..........
   
 15. chipanga

  chipanga JF-Expert Member

  #15
  Jan 3, 2012
  Joined: Sep 17, 2010
  Messages: 661
  Likes Received: 141
  Trophy Points: 60
  Kula
  shavu hilo best!!
   
 16. rosemarie

  rosemarie JF-Expert Member

  #16
  Jan 3, 2012
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 6,767
  Likes Received: 1,023
  Trophy Points: 280
  wazo la maana lakini sijui kama viongozi wa africa wanafatilia hili
   
 17. Mwakalinga Y. R

  Mwakalinga Y. R Tanzanite Member

  #17
  Jan 3, 2012
  Joined: Oct 22, 2008
  Messages: 2,718
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 145
  wazo zuri sana hata kwa viongozi wengine wapigania haki hii ni muhimu sana
   
 18. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #18
  Jan 3, 2012
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  kuongoza nchi siyo swala sandakalawe....kwanza si wana nchi yao huku wanataka nini tena
   
 19. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #19
  Jan 3, 2012
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  +kulipiwa hotel
   
 20. Lunyungu

  Lunyungu JF-Expert Member

  #20
  Jan 3, 2012
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,836
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145
  Mzee Slaa yuko salama ki afya naamini na mazoezi anayafanya si mlevi na mla hovyo anatumia muda wake mwingi sana kusoma vitabu .
   
Loading...