DR SLaa zingatia sana diet!

Huu ushauri naomba uwafikie pia vigogo wa polisi. Wanatia aibu ni mitumbo yao!


Majeshi yote kwa ujumla, JWTZ, POLICE, MAGEREZA, IMMIGRATION, ZIMAMOTO nao wanatakiwa kuzingatia ushauri huu. Huwa naombea isitokee vita maana na hivyo vitambi itakuwa balaa!
 
nimesoma maisha ya mgombea urais wa marekani John MAccain'huyu jamaa hajabadilika tangu tulivyomwona kwenye uchaguzi miaka minne iliyopita yuko vilevile'namwomba sana DR slaa azingatie sana diet kwa sababu tunamwitaji sana 2015 aongoze nchi yetu'sijui kama anakunywa pombe lakini namshauri aache kabisa'vilevile aache kula red meat yaani nyama ya ngo'mbe'ale zaidi mboga za majani na ajiepushe na mambo yanayoweza kumpa strees''ni mawazo yangu tu jamani.
Hivi kama huna kitu cha kupost kwa nini usisome za wenzio ukajifunza vitu vya maana kwa akili yako kidogo kabisa kama kweli unayo unadhani DR. hana mshauri wake wa masuala ya afya?? au unataka ale anenepeane kama kiti moto ndio ujue ana afya?? huwa siku zote tunapiga kelele do not tackle personalities always tackle situation
 
Dr tunaomba pokea huo ushauri na fanyia kazi na hata km uko fiti bac endeleza hivyo hivyo.tunakuhitaji sana 2015.
 
Mzee wa watu anasoma jamani!! Hata anapokua kwnye mkutano akikaa kidogo anasoma. Sasa msomi kiukweli ( mwenye kutaka abstruct ideas kuwa tangible- a GREAT THIKER) kujazia munofu ya kijinga hamnaga! Ohoo! Yani unataka apate kitambi kama viongozi wengi wa tz?! Hiyo ndo uniqueness yake jombii. Alafu badilikeni nyie wa tz. Hamuoni ancient scientists walivyokua! Ah ujinga huu
 
unamaana Dr. anatumia supu ya mawe?
Angalau yeye anaonesha uzalendo kwa kutumia vya nyumbani kuliko zile suti za UK.

Mkuu mbavu zimepata fracture du! Aisee watu wengine ni proffesional comedian, hapa tu ndo umeandika je ungekuwa unazungumza!
 
na mama josephine asiache kuwa anampa ile kitu roho inataka huyu lovely presdaa wetu 2015.Nalog off
 
ahsante kwa kumshauri rais wetu. naamini wahusika akiwemo mchumba wake josephine watazingatia afya ya kiongozi wetu
 
Mcwe wakali sana. Ila jamani watu waache uchokozi! Maswala ya kupikia mtu ni more than private.
 
Wazo zuri lakini huwezi kuzuia uzee!

Chama kinatakiwa kimuangalie wameshindwa hata kumpeleka India kutibiwa mkono, kwa mabingwa wa mifupa
 
Wazo zuri kwa dr slaa.nafikiri awe mwangalifu hasa na vyakula.naogopa asije akawekewa sumu.kama wao kwa wao wanalishana sumu,kama jk aliwai sema walikuwa wanaogopana ata mtu akiacha glasi ya maji,je dr wa ukweli awawezi kumuwekea sumu?
 
Wasomi wengi hauwezi kukuta wana mijitumbo mikubwa hovyo hovyo kama muwajuavyo! Kwa hyo Dr aendelee kufuata taratibu za kumaintain huo mwili wake
 
Wazo zuri lakini huwezi kuzuia uzee!

Chama kinatakiwa kimuangalie wameshindwa hata kumpeleka India kutibiwa mkono, kwa mabingwa wa mifupa
CHADEMA sio ccm bwana, kwanini waende india wakati hospital wanazotibiwa watz zipo! CCM ni wakoloni wanapita tuu, wanajua siku zao si nyingi ndo maana hata mafua wanapelekana india kutalii.
 
Back
Top Bottom