Dr. Slaa ziarani Marekani

Dr. Slaa ziarani Marekani

Jenerali Ambamba

JF-Expert Member
Joined
Sep 8, 2014
Posts
3,344
Reaction score
2,537
Dr. Slaa jana alianza ziara ya siku 9 chini Marekani ambako amealikwa na Gavana wa jimbo la Indiana.

Akiwa huko Dr. Slaa atakutana pia na maprofesa mbali mbali na kutoa mihadhara mbalimbali kuhusu masuala ya uwekezaji, uchumi nk. pia Dr. slaa atakutana na viongozi mbali mbali wa serikali ya Marekani.

Hongera sana Dr. Slaa...
 
Hongera yake. Tunaomba akirudi huko aanze ziara mara moja ya kuimarisha chama.
 
Hongera yake. Tunaomba akirudi huko aanze ziara mara moja ya kuimarisha chama.

Chadema siyo Ccm ziara zote Kinana, sisi tuko site tunapiga mzigo. Tunampa nafasi Dr kufikiria jinsi ya kuongoza nchi ilyoharibiwa na magamba kila sekta!
 
Kila lakheri Dr, nenda salama na Mungu akurejeahe salama.

Tumemiss sana zile hotuba makini toka kwa mtu makini. Imekuwa heri kwetu hata zile hotuba mbovu za kila mwisho wa mwezi zinazotolewa na Mmiliki wa Viwanda vya porojo hatujazipata otherwise ingekuwa Stress tupu hapa ndani..!!

Nenda Kamanda Mungu akutangulie na akufanikishie safari yako kulingana na mipango yako.

BACK TANGANYIKA
 
Tunangoja picha kama zile za beji ya NASA, zawadi ambayo hajapewa yoyote duniani kasoro Rais wa USA na Slaa peke yake.

Kwi kwi kwi teh teh teh.
 
Saccos kwa kuchoma pesa nawakubali.Ngoja October muone ruzuku yenu itakavyoporomoka.Lazima kila mtu atachagua mlango wa kutokea.Wamburu kivyao na Wachaga kivyao.
 
Haha haaa acha uongo ww,mbna nimemuona leo Ufipa,mnajificha afu mnasingizia safar sio,ajitokeze atueleze kw nn chama kina pukutika kila kukicha?
 
Ngoja tusubirie mapicha sasa, speech kali, misafara ya magari na mapokezi ya nguvu.
 
Back
Top Bottom