Dr Slaa yuko sahihi kabisa. Sasa hivi tunaishi kwa matumiani, maana kuna wengi waTZ wanakula mlo mmoja kwa siku, hawajui kesho itakuweje. Sasa fisadi anataka tuendelee kuishi katika hali hii hii bila mabadiliko, ina maana yeye hawezi kutuondoa hapa tulipo sasa. Ujue mtu anayeishi kwa matumani hana uhakika wa kesho, Ndiyo maana watu wengi wagonjwa mahuhtuti na wengine kama wenye ukimwi (sina maana kuwanyanyapaa) wanaambiwa wanaishi kwa matumaini. Sasa fisadi ametuibia kiasi cha kutosha na anaona haitoshi bado tunapumua ndiyo sasa anataka tupelekwe kwenye hali mbaya zaidi ya umahututi. Kama ni kudanganya walidanganya 2005, kwa sasa NOOOOOOOOOOOO