Dr. Slaa: Watanzania wanataka "Safari ya Uhakika"

Dr. Slaa: Watanzania wanataka "Safari ya Uhakika"

Lowassa anakubalika sana.
Jana kila kona niliyopita watu wanasikiliza hotuba yake.
Nadhani ataleta matumaini mapya.
kumsilkiliza ni kutaka kujua kama alivyoahidi kutujuza kashfa ya richmond alihusika au scapegoat.je kwa mara ya kwanza anaweza kuwaambia watz jambo muhimu,kwani mtia nia ni bubu ,kumbuka ni miongoni mwa kumi bora bubu bungeni.baada ya kumsikiliza nimehuzunishwa na kufedheheshwa sana ameshidwa kujisafisha.si wakati matumaini wa kupeana matumaini ni wakati wa kutumia resources zetu ,bandari etc.hana mipango yoyote endelevu .,tumemsikiliza ni mwizi kama nyoka wenye makengeza msaka pesa.haumuungi mkono.jiandikishe chukua hatua jawabu ni UKAWA
 
Kama kura zingekuwa zinapigwa JF basi hata mbongo fleva angeshinda uchaguzi wa Rais. Uchaguzi wa Rais na wabunge unategemea grassroots votes na sio keyboard votes.Kufikiri ki Ali Nacha hakutawafikisha popote.
 
UKAWA ni uhakika. Tumechoka kuishi kwa matumainiiiiiiiiiii!!!!!!!!!
 
Hiki kibabu hakijaleta kibomu kingine cha hadithi ya ufisadi! Maana anaishi kwa kuleta skendo tu bila utatuzi wa shida za maendeleo ya wananchi.
mafisadi wamekuteketeza hata hujitambui ! poor you !
 
ni hivi , kuishi kwa matumaini ni kama vile watu wenye ngoma wanavyoishi kwa vidonge daily , je hii ni hali ya kujivunia jamani ?
 
Nitakuwa wa mwisho kuamini kuwa hiyo ni kauli ya Dr Slaa ... CHADEMA na UKAWA wanatakiwa waangalie mtanange wa ndani ya CCM then ndo waje na data zilizokamilika; sasa hivi inaonekana kama UKAWA nayo ni katka timu za CCM...Grrrrrrrrrrrrrrrrrrr

Hujulikani popo au Ndege.
 
Naomba watalamu wa lugha wanifafanuli matumizi ya kauri hizi mbili

1, Niwakati gani unakuwa na MATUMAINI,
2 Niwakati gani unakuwa naa UHAKIKA

Na je unapokuwa natarajia kitu kukipata yapasa kuwa na uhakika au matumaini,
 
nikikumbuka uchakachuaji wa maoni ya watanzania kwenye katiba mpya na kashfa ya escrow na majigambo yashabani gurrumo sina hamu na mgombea yeyote wa ccm.
 
Endelea na ukombozi Mh slaa raisi wetu watanzania


UKAWA kwanza, MBATIA AU MBOWE ndo mpango hiki kibabu kinavyokomalia kwenda ikulu wakati hata mfumo wenyewe haukitaki kinapoteza muda na kusafisha njia tu.
 
Mhe,raisi wangu dr slaa,ninaanza kukupa majukumu mara tu uingiapo ikulu naomba tupia macho kwenye mashamba ya katani ndg zetu wanateseka sana!
 
nikikumbuka uchakachuaji wa maoni ya watanzania kwenye katiba mpya na kashfa ya escrow na majigambo yashabani gurrumo sina hamu na mgombea yeyote wa ccm.


hatutaki ccm wala ukawa tunamtaka mtu mwenye dir ya taifa hili tumechoka siasa za vyama zisizo na tija afrika maana tumebakia kubadirisha vyama pasipo na faida kwa waafrika, hata kama atakuwa mgombea binafsi tutampa tu.(we need a person)
 
wanachi vipaombele vyao ni barabara,maji kilimo cha uhakika na elimu, nyie mnakoa na ufisadi tuuuuu kila kona,watawanyima kula then mlalamike ,kumbe hamkujua watu wanataka nini kwa sasa,chukua ushauri wa bule.
 
Akipitishwa Lowassa itakuwa ndio mwisho wa UKAWA.
Hali inaonyesha Lowassa anakubalika kwa Wananchi, CCM na hadi serikalini.
Wewe unaugua ugonjwa hatari wa EPIDOMIA wahi hospitali haraka iwezekanavyo. Huo ugonjwa ni balaa. Unafanya uwezo wako WA kufikiri kuwa kama NYANI yaani mwana wewe ni NYANI kabisa!
 
Zamu hii Iwe mvua iwe Jua, kuwe na upepo kuwe shwari raisi watanzania niiiiiiii:
PETER WILLBROAD SLAAAAAAAAA!
HII NI NCHI YA KIDEMOKRASIA BHANA. WANANCHI NDIO WENYE MAAMUZI JUU YA NANI AWE RAISI WAO. YALE YA UKIPITISHWA NA CCM UMEKUWA RAISI HAYANA TENA NAFASI KATIKA KIZAZI HIKI CHA DOT COM. HAPA RAISI NI SLAAA! SLAAA! SLAAA! TUOMBE UHAI TU OCTOBER 25 SIO MBALI.
 
Peterrrrrrrrrrrrrrr!
Willbroaaaaaaaaaaadddddddd!
Slaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!
The incoming president of
tanzaniaaaaaaaaaaaaaaaaa!
 
Magambaa chaliiiiiii! Manyang'au makubwa a.k.a mazombi.
 
hatimaye wagonjwa wamepata rais wao anataka waishi kwamatumaini Dr.njoo utupeleke kwenye kwenye safari ya uhakika,,,,,,,,
 
Akihojiwa kuhusu hali ya kisiasa nchini Katibu Mkuu wa CHADEMA alisema watanzania wanatakiwa kuwa makini kuliko kipindi chochote, watoe adhabu stahiki kwa CCM. Alienda mbali zaidi na kusema watanzania wanahitaji safari ya uhakika kufika kwenye kilele cha mafanikio.

Alisisitiza kuwa hakuna sababu ya safari ya matumaini wakati nchi imejaa rasilimali ambazo mataifa ya kigeni wanazitolea macho;

"Kuwa na CCM ni kuishi kwa matumaini, hujui na huna uhakika wa mlo, ajira, shule, soko nk, sasa unahitaji kuishi kwa matumaini na rasilimali zote hizi?" Alihoji Dr.Slaa.

Kauli hii ni pigo kwa Lowasa na kuonekana kufeli dakika za mwanzo

Nakulilia Mama Tanzania,
Walionajisi na kuchezea hovyo maziwa yako,
Leo wanathubutu kusimama na kutangaza kukuheshimu na kukulinda,
Waliowatenda vibaya wana wako watiifu leo wanajinasibu kuwa wanawapenda na kuwa ndiyo tumaini lao la sasa,
Ee! Mama Tanzania, Ona uovu na dhihaka hii,
Wajaze wana wako watiifu ufahamu wa kuliona jambo hilo mapema,
Wasiduwazwe kwa kupewa shibe ya siku moja ili mwanao aliyekunajisi apate fursa ya kuendelea kukunajis,
 
Back
Top Bottom