Dr. Slaa: Watanzania wanataka "Safari ya Uhakika"

Dr. Slaa: Watanzania wanataka "Safari ya Uhakika"

Akihojiwa kuhusu hali ya kisiasa nchini Katibu Mkuu wa CHADEMA alisema watanzania wanatakiwa kuwa makini kuliko kipindi chochote,watoe adhabu stahiki kwa CCM.Alienda mbali zaidi na kusema watanzania wanahitaji safari ya uhakika kufika kwenye kilele cha mafanikio.Alisisitiza kuwa hakuna sababu ya safari ya matumaini wakati nchi imejaa rasilimali ambazo mataifa ya kigeni wanazitolea macho."Kuwa na CCM ni kuishi kwa matumaini,hujui na huna uhakika wa mlo,ajira,shule,soko nk,sasa unahitaji kuishi kwa matumaini na rasilimali zote hizi?" alihoji Dr.Slaa.Kauli hii ni pigo kwa Lowasa na kuonekana kufeli dakika za mwanzo

Hiki kibabu hakijaleta kibomu kingine cha hadithi ya ufisadi! Maana anaishi kwa kuleta skendo tu bila utatuzi wa shida za maendeleo ya wananchi.
 
Akihojiwa kuhusu hali ya kisiasa nchini Katibu Mkuu wa CHADEMA alisema watanzania wanatakiwa kuwa makini kuliko kipindi chochote,watoe adhabu stahiki kwa CCM.Alienda mbali zaidi na kusema watanzania wanahitaji safari ya uhakika kufika kwenye kilele cha mafanikio.Alisisitiza kuwa hakuna sababu ya safari ya matumaini wakati nchi imejaa rasilimali ambazo mataifa ya kigeni wanazitolea macho."Kuwa na CCM ni kuishi kwa matumaini,hujui na huna uhakika wa mlo,ajira,shule,soko nk,sasa unahitaji kuishi kwa matumaini na rasilimali zote hizi?" alihoji Dr.Slaa.Kauli hii ni pigo kwa Lowasa na kuonekana kufeli dakika za mwanzo

Hakusikia hotuba nzima kasema nchi haiwezi kuwa omba omba huku kuna rasilimali
 
Aisee ukawa wataambulia makoko upepo wa lowasa ni zoazoa
 
Akipitishwa Lowassa itakuwa ndio mwisho wa UKAWA.
Hali inaonyesha Lowassa anakubalika kwa Wananchi, CCM na hadi serikalini.

Kwakuwa watanzania wengi ni mangombe ndo mana hata hawajui wanachotaka yapo kama malofa yanafata upepo
 
Ni kweli kabisa,watu wanahitaji kupona wewe unasema waendelee kuishi kwa matumaini,watu wanahitaji kufanikiwa wewe unawaletea safari ya matumaini badala ya ufumbuzi.

Wananchi tutafika lini na hii safari ya matumaini ambayo mwisho wake haujulikani?.
 
safari ya matumaini ni yakusindikiza ccm makaburini sisi UKAWA hatuwaogopi mafisadi macadam watanzania wanawafaham so kama wanabahatisha Kauli mbiu ni ileila kula ccm Kuala UKAWA sauti mnazozisikia zisiwatishe kw maana ni za wambolezaji ccm
 
Lowassa anakubalika sana.
Jana kila kona niliyopita watu wanasikiliza hotuba yake.
Nadhani ataleta matumaini mapya.

Wewe sema watanzania siku hizi wako makini, hawaaminishwi kitu bila kusikiliza. Ukiona watu wamemsikiliza, baada ya hapo wanatafakari na kutoa maamuzi, tena maamuzi magumu
 
Cc Hatuwezi Tukaishi Kwa Matumaini Kama Wagonjwa Wa Vvu, Tunataka Uhakika Wa Mambo Yajayo,
 
Lowassa anakubalika sana.
Jana kila kona niliyopita watu wanasikiliza hotuba yake.
Nadhani ataleta matumaini mapya.
Watu walijaa kusikia kuhusu RICHMOND kama yy anabisha hakuhusika au kuiba si vinginevyo, tofauti yy alienda kuonyesha NYUSO ZILE ZILE amabazo watanzania wana mashaka nazo na hawana imani nao ndo kumbe wako nyuma yake, maanayake nn ni kwamba hii nchimtunaenda kukabidhi majambazi yaliyofukuzwa seriaklini kwa uporaji wa mali umaa sasa yanarudi kwa gear ya safari ya matumaini, hii ni hatari kuliko hatari zote zilizowahi kuonekana katika nchi hii , WATANZANIA TUAMKE, WE ANGALIA WALE WOTE WALIOKUWA PALE JANA ( WTE WOTE NI NUMBER HATARI KWA RASILIAMLI ZA NCHI HII, YULE ALIYESEMA SIASA ZA MAJI TAKA KARUDI BAADA YA KUONA SWAIBA KARIBIA APEWE NCHI NA WAJINGA WACHACHE, OLE WENU
 
Lowassa anakubalika sana.
Jana kila kona niliyopita watu wanasikiliza hotuba yake.
Nadhani ataleta matumaini mapya.
Nakubaliana na wewe kwamba EL anakubalika nami namkubali,lakini napingana
na mawazo ya akipita kugombea kule ccm utakuwa mwisho wa ukawa.Ukawa si urais tu.
EL ni mmoja lkn nafasi za wabunge na madiwani ni nyingi,Ukawa ikichukua zaidi ya nusu ya wabunge
nchi hii itapona hata kama EL atakuwa rais maana itakuwa vigumu bunge kupitisha mazingaombwe.
 
Lowassa anakubalika sana.
Jana kila kona niliyopita watu wanasikiliza hotuba yake.
Nadhani ataleta matumaini mapya.
kumsilkiliza ni kutaka kujua kama alivyoahidi kutujuza kashfa ya richmond alihusika au scapegoat.je kwa mara ya kwanza anaweza kuwaambia watz jambo muhimu,kwani mtia nia ni bubu ,kumbuka ni miongoni mwa kumi bora bubu bungeni.baada ya kumsikiliza nimehuzunishwa na kufedheheshwa sana ameshidwa kujisafisha.si wakati matumaini wa kupeana matumaini ni wakati wa kutumia resources zetu ,bandari etc.hana mipango yoyote endelevu .,tumemsikiliza ni mwizi kama nyoka wenye makengeza msaka pesa.haumuungi mkono.jiandikishe chukua hatua jawabu ni UKAWA
 
Akipitishwa Lowassa itakuwa ndio mwisho wa UKAWA.
Hali inaonyesha Lowassa anakubalika kwa Wananchi, CCM na hadi serikalini.

Mkuu kwan CCM hakuna Truly Leader?
Opportunist wa nn ktk nchi yetu? Kwan yy ni mgeni ktk hii nchi..?

CCM wapo wazuri sana but nje ya hii Govt na mtandao wao. Mkijipanga vzr mkatoa Mtu safi ktk ya wanachama wenu 1.5M walio ndani ya CCM zaidi ya miaka 25.. Mtalitendea Taifa heshima.

Tanzania tunaipenda sote na ni ya wate.
 
Lowassa anakubalika sana.
Jana kila kona niliyopita watu wanasikiliza hotuba yake.
Nadhani ataleta matumaini mapya.

Mkuu kusikiliza ni sehemu ya kujifunza. Mwanasiasa yeyote akiwa live, Watanzania wanapenda kumsikiliza toka enzi za Late Hon Mwalimu.

Hon JK akiwa na Hon EL - Mtandao 2005, porojo zilitawala. Miaka 10 inaisha,
Jana member mwenzake Boyz II Men, kachukua mic, same song! hakuna jipya...!
Hakuna mkakati wowote...!
 
Back
Top Bottom