Wanyamwezi wanatia AIBU sana wana mlilia FISADI!
Mimi ni mnyamwezi na nafahamu mazingira na khulka za wanyamwezi, juu ya alichofanya Rostam...CCM ISAHAU JUU YA USHINDI WA HAKI KATIKA MKOA WA TBR ktk chaguzi yoyote ijayo. Ni doa na pigo kubwa sana kwao CCM TBR, waila kwa wasioufahamu vema mkoa ule...wanaweza kudai kwamba CCM inaweza kuwa hai kwa miaka 10 ijayo.
Dr Slaa mnapaswa mmuweke mtu ambaye ni kweli anatoka TBR, asipandikizwe mtu kinadharia kuwa ni mzawa wa TBR...wale hawachelewi kumsusa. Pelekeni mtu asilia ya mkoa ule na walau anajua lugha ya kinyamwezi na shupavu, MTASHINDA.
Yaani mkija Igunga hata mimi ccm nitawapigia kura lakini sitahama chama kwani haya yote ni nguvu na jasho lenu WANA CHADEMA kuwafichua mafisadi
Red:katoliki wanawanyima rahaaa sana,maana unaweka maneno ambayo ayana maana.kama daktari wa ukatoliki slaa ni maarufu agombee igunga. mrema alishinda temeke kwa kishindo.
slaa sio lolote kwa mrema. akigombea igunga atashindwa.
.Huo udini ni wako mwenyewe sasa unataka kusingizia watu bure.Si useme tu.....Mbona muiran aliweza kuwa mbunge kwa miaka kibao? Sema waweke mislamu kwa vile TBR inawaislamu kibao!
Naitwa matumbo bin matumbo,ni mzaramo niliebadili kabila jana saa 7 mchana kuwa mnyamwezi.. Napenda kujitokeza mbele yenu wana jamvi kutangaza nia ya kugombea ubunge wa jimbo la igunga kwa tiketi ya chama cha magamba..
Ni msomi niliyebobea hasa kwenye sanaa ya maigizo ,nna shaada ya kwanza toka royal colege-kariakoo/msmbaz,pia digrii ya uzamivu ya cookery toka kingston online international university-jamaica,..pia nna p.h.d ya siasa toka muslim university of mbumbumbus-moro..najua wengi sasa awalali wakitokwa udenda na nafas hii ila nawaomba wasahau kwani nimeshaaidiwa na mfalme wa igunga rost tamu kumwakilisha/kumrithi..nitarudi kumwaga sera,ngoja kwanza nikameze pilton km waziri tyson ili nipate nguvu ..
Mbona muiran aliweza kuwa mbunge kwa miaka kibao? Sema waweke mislamu kwa vile TBR inawaislamu kibao!
Mtanisamehe bure lakini jana nimewadharau sana wana Igunga, kweli vya bure gharama!! na kwa mentality ile hakuna haja ya kupoteza fedha kwenye uchaguzi, wamuombe tu tajiri wao awatangazie Kibaraka wake atakayewaongoza wana Igunga kwa niaba yake.
Nimesikia wengine eti wanasema Igunga ni Wanyamwezi! Kwa taarifa wananchi wa Igunga ni mchanganyiko, yaani Wasukuma, Wanyamwezi na Wataturu.
Yaani mkija Igunga hata mimi ccm nitawapigia kura lakini sitahama chama kwani haya yote ni nguvu na jasho lenu WANA CHADEMA kuwafichua mafisadi[/QUOTE]
Nadhani umekomaa. Hata mwl. Nyerere katika uhai wake alimpigia kura mbunge wa upinzani naye akabaki CCM.