DR. SLAA Vs MAKAMBA

W.J. Malecela my friend you are not missing something rather the whole thing. Let's assume CCM ilishinda kihalali alafu tuashum 2005 ilikua baseline kwa Mwl aliyefukuzwa kazi Makamba na Dr. Slaa(PhD). Tuchukue uchaguzi wa 2010 kama reference point yetu kwa analysis, na indicator iwe ni status ya chama in terms of number of MP seat gained, popularity and acceptance ya chama na stability ya chama 2010/2011.

Then make the math yourself kabla hujaandika hiyo comment yako.


Jaribuni kuwa critical na msiwe washabiki

- Well, you make a lot of sense, isipokuwa one point tu kwamba uchaguzi huu kwa CCM haukuwa na anything to do na Chadema, rather than a referendum of CCM against Itself, Chadema walikuwa ni beneficiary tu wa CCM's aganist CCM.

- Otherwise, you have a strong argument ila ni mapema mno kuitumia we are not there yet!


William @ NYC, USA.
 
hata baba yako leo akiiona hii post atafadhaika sana.
Hivi baiskeli ya mbao inaweza kuwa na kasi kuliko Landcruiser vx?acha woga maisha yanawezekana hata bila kumlamba viatu JK

- Mkuu are saying your baba has something to do na your thinking? ha! ha! ha! Hilarious!

William @ NYC, USA.
 
Kudadeki yani kwa kuwashindanisha tu Makamba lazma anashangilia.. maana alizan utamshindanisha na mtoto wa Mwisho wa Dr Slaa.
 
Indeed you are missing something!

Does international standards allow vote rigging? If you refer to international standards you should also measure the election process won by him on the same international standards.


Hapo umenena. Hongera sana
:bored::bored:
 
Sikupenda sana kuaminin tena harakaharakla kuwa hata watu wazima na wasomi wazuri kama wewe unatoa arguments za kidhalilishaji namna hii.lakini sikushangai kwa kuwa wewe ni mmoja ya wanywa maji ya bendera wazuri mlio kamatwa akili na makamba kuwa kazi ni moja tu.yaanim kushinda uchaguzi.yawezekana japo sina uhakika sana kuwa kama sio makamba hungekuwa hapo ulipo sasa.ploe kwa kutumiwa na vuvuzela.
 
Mwenye mikakati bora inayomsaidia kufikia lengo ndiye kiongozi bora,
hao wengine mikakati yao si mizuri ndio maana wanaandamana ilhali haipo kwenye ilani ya chama chao.
 
Sikupenda sana kuaminin tena harakaharakla kuwa hata watu wazima na wasomi wazuri kama wewe unatoa arguments za kidhalilishaji namna hii.lakini sikushangai kwa kuwa wewe ni mmoja ya wanywa maji ya bendera wazuri mlio kamatwa akili na makamba kuwa kazi ni moja tu.yaanim kushinda uchaguzi.yawezekana japo sina uhakika sana kuwa kama sio makamba hungekuwa hapo ulipo sasa.ploe kwa kutumiwa na vuvuzela.

- Great thinking at best!

William @ NYC, USA.
 
BAADA YA KUWALINGANISHA WENYEVITI WA VYAMA VIWILI VIKUBWA HAPA NCHINI KWA KUDADISI UTENDAJI WAO WA KAZI YAANI KIKWETWE(CCM) Vs MBOWE (CHADEMA), LEO NINAOMBA MAONI YENU NI NANI KIONGOZI BORA KWA NAFASI YA UKATIBU WA CHAMA KATI DR.SLAA(CHADEMA) NA MAKAMBA(CCM)?

VIGEZO
utawala bora
uwajibikaji
uzalendo
ubunifu
uadilifu
busara katika kazi
kuheshimu utawala wa sheria na demokrasia.
TOA MAONI YAKO
Kama huna cha kutuhabarisha ni heri uishie kusoma mawazo ya Great Thinkers!! Swali kama hili ilnashusha hadhi JFGreat Thinkers!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Slaa ni jembe katika sifa zote ulizotaja hapo! Makamba kwangu mimi naona ni mlopokaji na anayefanya vitu kibabe na hata visivyomuhusu. Makamba kusema shy rose ana hawara chadema na pia anavaa nguo fupi ni ukosaji wa hoja za msingi.NI MTAZAMO TU......
 
BAADA YA KUWALINGANISHA WENYEVITI WA VYAMA VIWILI VIKUBWA HAPA NCHINI KWA KUDADISI UTENDAJI WAO WA KAZI YAANI KIKWETWE(CCM) Vs MBOWE (CHADEMA), LEO NINAOMBA MAONI YENU NI NANI KIONGOZI BORA KWA NAFASI YA UKATIBU WA CHAMA KATI DR.SLAA(CHADEMA) NA MAKAMBA(CCM)?

VIGEZO
utawala bora
uwajibikaji
uzalendo
ubunifu
uadilifu
busara katika kazi
kuheshimu utawala wa sheria na demokrasia. TOA MAONI YAKO

NI KWELI WAKATI MWINGINE NI LAZIMA VIWEPO VIGEZO VYA WAZI ILI WATU WANAPOONGEA WAWE WANAONGOZWA NA KUELEWA UWEZO WAO. PAMOJA NA KUSIKILIZA MANENO YAO PIA TUONE SIFA ZAO BINAFSI KAMA WANAVYOONEKANA MACHONI MWA WATU.
Indicator
Dr. Wilbrod Slaa
Score
Mh.Makamba, Captain Mstaafu Mgosi
Score
utawala bora (10%)
5
10%
1
2%
Uwajibikaji (20%)
5
20%
2
8%
Uzalendo (20%)
5
20%
2
8%
Ubunifu (10%)
5
10%
1
2%
Uadilifu (10%)

5
10%
3
6%
Busara katika kazi (10%)
5
10%
1
2%
Kuheshimu utawala wa sheria (20%)

5
20%
2
8%
TOTAL SCORE

100%

36%

Rating Scale: 5=excellent, 4=very good 3= good 2= poor 1= Very poor(weak)


 
Makamba labda umshindanishe na Maalim Seifu Sharrif Hamad, lakini kumshindanisha na Dr Slaa ni sawa na unashindanisha Bajaj ( Makamba ) na Caterpillar ( Dr Slaa. )

Ama kweli watanganyika akili zenu ni finyu saana Maalimu huwezi kumlinganisha na baba yenu juliasi nyerere na mtanganyika nyeyote.Hebu nendeni butiama mukamuulize juliusi jinsi alivokuwa akimuogopa maalimu.Dr.slaa na Makamba ni sawa tuu,mi sioni tofauti yao wote ni wasema ovyo hawana elimu wanaongea zaidi kwa mihemkwo,makamba kasoma kivukoni while slkaa kasomna upadre
 
Mwacheni Makamba wa watu kwani siku hizi amekaa kimya ....yupo kwenye foleni loliondo tusubiri arudi kwanza.
 
Back
Top Bottom