Dr Slaa Vs Lowassa

Mods mjulisheni Zitto, kuwa Dr.Slaa sio mtu tena ni taasisi yeye heshima kimataifa. Na wapambe wooooote mpeni taarifa hii ''Yuda'' wenu
 
Mods, igandisheni hii sred iwe page ya kwanza ili watu wapige kura kwa urahisi - maana inafika page za mbele watu wengine kuitafuta inakuwa ngumu
 
Hivi wale wanaojiita marafiki wa manywele wanajisikiaje wapisoma huu uzi????!!!
 
kuna watu wana ID kumi inakuweje?
 
Mod's tunaomba muigandishe hii hoja katika first page ili watu waione kwa urahisi kushiriki upigaji wa kura tafadhali.
 
kuna kura zilizokua zinaendelea humu jf tangu muda tu kati ya dr slaa vs lowassa kwa ahadi may 21 watatoa matokeo,tunaomba ile treand irudishwe
 
Mnakaa hapa mnajidanganya, mnajitekenya na kucheka wenyewe. Ingieni hapa muone kura za wenzenu Maoni Yako
 
mkuu naona gazeti reeeefu kwani Nyerere nae alikua msafi kwa Akili yako?
mbona padri katuhumiwa sana kuanzia kuchukua Mke na ruzuku bila kusahau kujikopesha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…