Dr Slaa Vs Lowassa kwenye matokeo ya ubunge!

Dr Slaa Vs Lowassa kwenye matokeo ya ubunge!

Kati ya jambo ambalo wana ccm wangependa kusikia na kwamba CDM imekufa hakika wangefanya sherehe nchi nzima lakni bahati mbaya kadri wanapandikiza chuki ndivyo watz wanavyo iamini cdm
 
Sikiliza we Jinga km unavojiita,
1. Safar hii kuna muungano wa ukawa si cdm pekee,so unapohesab wabunge hesab na wale wa cuf kwan pia ni impact ya lowassa through ukawa.
2. Kwa % ya kura za lowassa cdm itapata viti maalum 40,hili hulion we Jinga?
3. Hata ruzuku ya cdm na cuf zinapanda sasa kupitia mafanikio ya uchaguz huu is that not a gain?
4. Tumeangusha mawaziri na wabunge mizigo kwa lugha nyingne tutaongeza ufanisi wa serikal kwa kuondoa mizigo kwny sample space kwa hyo tumepunguza chance ya kuteuliwa mizigo kwny wizara na ndiyooo ztapungua bungen.
4. Hata ushnd wa Seif znz na kinachoendelea kwa ss,still unaweza kuuzungumza km sehem ya mchango wa lowassa.
5. Kwa Id yako na ulivofikir hujakosea chochote,ningeshangaa km ungefikir the other way!
Lowssa kura za urais alzopata ni za makundi ya ufisadi ya CCM, vijana waliodanganyika na watu wasiojielewakama wewe. Nakubali kuwa umasaini tu ndio ameweza kuongeza wabunge, ila ujue tangu mwaka jana ktk uchaguzi wa serikali za mitaa CDM ilifanya vizuri sana , hiyo ni kazi ya Dr. si Lowassa. Kama Lowassa asinge hamia CDM, Upinzani ungefikia hadi nusu ya wabunge wa JMT. Majimbo mengi yameenda CCM kwa wananchi kukata tamaa na CDM kukaribisha mafisadi. mifano hii ni majimbo ya Ilemela, Nyamagana, Mbulu, Bukombe, Kasulu,Uvinza, na mengine mengi. Lowasa asingekaribishwa upinzani ungekuwa na majimbo mengi sana!!!! ndio ukweli huo
 
Elimu ni muhimu kweli kama apo ndio unaona umetoa hoja kichwani bado ni mweupe sana ubongo wako haufanyi kazi

Yuko sahihi sana na wewe ndo umeonyesha ama ushabiki wa kipuuzi ama uelewa mdogo au haupo kabisa juu ya haya mambo. Na kwa taarifa yako tu, kama Msingemvuruga Slaa leo hii tungekuwa tunaongea mengine kabisa na hata kama tusingeshinda urais basi tungepata wabunge si chini ya nusu bunge. Msiwe mnabisha kilq kitu. Siasa ni upepo. Watu walikuwa wanaamini katika slaa na lipumba mnadhani watawa support tena?
 
poor analysis

slaa alikua katibu mkuu wa chadema

lowasa ni mgombea tu

slaa kawa chadema kwa almost miaka 10+

lowasa ana miez 2

nyie vijana wa ccm uwezo wenu ni mdogo sana

EL hajafanya kitu. Kakuta kila kitu kiko tayari yaani chakula kiko mezani tayari tena mboga saba na badala yake kakimwaga kilicho kingi kqbakiza ugadi dona na nyanya chungu Hizi sifa zamfaa?
 
Lowssa kura za urais alzopata ni za makundi ya ufisadi ya CCM, vijana waliodanganyika na watu wasiojielewakama wewe. Nakubali kuwa umasaini tu ndio ameweza kuongeza wabunge, ila ujue tangu mwaka jana ktk uchaguzi wa serikali za mitaa CDM ilifanya vizuri sana , hiyo ni kazi ya Dr. si Lowassa. Kama Lowassa asinge hamia CDM, Upinzani ungefikia hadi nusu ya wabunge wa JMT. Majimbo mengi yameenda CCM kwa wananchi kukata tamaa na CDM kukaribisha mafisadi. mifano hii ni majimbo ya Ilemela, Nyamagana, Mbulu, Bukombe, Kasulu,Uvinza, na mengine mengi. Lowasa asingekaribishwa upinzani ungekuwa na majimbo mengi sana!!!! ndio ukweli huo

Mkuu hiv unataka kutuaminisha kuwa wananchi wanaupinga ufisadi kias hcho??? Sisemi lowassa ni fisadi au lah sababu ni tuhuma tu had sasa,lkn heb nisaidie kwa kutumia maelezo yako kuwa wananchi wamewakataa kina wenje,kiwia nk kwa ufisad,vp kuhusu chenge,tibaijuka,muhongo,ngeleja na wengne hao wamepitishwa kwa sabab zp???
 
Dr Slaa aliweza kuongeza idadi ya wabunge wa chadema kutoka watano mwaka 2005 hadi kufikia 23 mwaka 2010.hili ni ongezeko la wabunge 18.Kipindi hiki Chadema ilikuwa inasimama yenyewe kama yenyewe.

Kwa upande wa lowassa ameweza kuongeza wabunge wa chadema kutoka 23 hadi 34 huu ni wastani wa wabunge 11.Huku akisaidiwa na muungano wa UKAWA.Pia Chadema iliweza kuanguka katika majimbo kadhaa.

KWA UFUPI Ukitazama performance ya Slaa na Lowasa ndani ya Chadema utajionea ukweli kuwa Slaa ndiye angefaa kusimama ndani ya Ukawa.

Slaa ndiye aliyejenga msingi kama katibu mkuu...msingi huu ndio siri ya ushindi kwenye viti vya udiwani.

Wanafiki wakubwa musio jua statistics. Kaa kimia tuu. Vipi kuhusu ongezeko la kura wakati wa slaa na lowassa?
 
Analysis yako si sahihi. Unatakiwa uanze 0 to 23 na 0 to 34. Huwezi kuanza na wabunge waliokuwepo kwa kuwa wakati wa uchaguzi wanakuwa si wabunge na kwa kweli kama ilivyojidhihirisha baadhi ya waliokuwa wabunge walipoteza viti vyao.
 
poor analysis

slaa alikua katibu mkuu wa chadema

lowasa ni mgombea tu

slaa kawa chadema kwa almost miaka 10+

lowasa ana miez 2

nyie vijana wa ccm uwezo wenu ni mdogo sana

Kwa mchanganuo wangu; ukiachana na mda wa kukaa ndani ya chadema, Tukitumia jina na umaarufu wa slaa na lowassa:
DR SLAA JINA NA UMAARUFU WAKE ULILETA MATOKEO CHANYA ZAID KWA KUONGEZA WABUNGE ZAID YA 18 NDANI YA CHADEMA ALIPOGOMBEA URAISI kuliko EDWARD LOWASSA AMBAPO JINA NA UMAARUFU WAKE UMESAIDIA KUONGEZA WABUNGE KUMI TU NDANI YA CDM.kwa hiyo dr slaa ni kidedea dhid ya lowassa ktk kuimarisha chama.

Nb:cuf wameinuka\WAMEFANIKIWA zaidi kupitia muungano wa UKAWA na si lowassa.

huo ni mtazamo wangu halisi;wenye mahaba na lowassa mnisamehe.
 
Wanafiki wakubwa musio jua statistics. Kaa kimia tuu. Vipi kuhusu ongezeko la kura wakati wa slaa na lowassa?

tunazungumzia wabunge na si nafasi ya urais.
Lakin hata hivyo uoni lowassa kawa na kura nying zaid kwa sababu ya ukawa? dr slaa kipind kile alikoma yeye kama yeye na chadema yake.
 
We kweli shenzi lao, kwan hao 23 wa slaa hawakurudi kwenye uchaguzi?! Si tumeshuhudia wengine wameanguka akina wenje, nyerere, Kahigi,nk. Hiv wewe jinga la lumumba hutambui kwa bunge lilivunjwa na kila chama kikaanza zero?! Ebu chukua wabunge wa slaa+lipumba make wote waligombea 2010 afu linganisha na wabunge wa lowassa ambaye pekeyake aliziwakilisha cuf na chadema. Jibu unalo
 
Lowssa kura za urais alzopata ni za makundi ya ufisadi ya CCM, vijana waliodanganyika na watu wasiojielewakama wewe. Nakubali kuwa umasaini tu ndio ameweza kuongeza wabunge, ila ujue tangu mwaka jana ktk uchaguzi wa serikali za mitaa CDM ilifanya vizuri sana , hiyo ni kazi ya Dr. si Lowassa. Kama Lowassa asinge hamia CDM, Upinzani ungefikia hadi nusu ya wabunge wa JMT. Majimbo mengi yameenda CCM kwa wananchi kukata tamaa na CDM kukaribisha mafisadi. mifano hii ni majimbo ya Ilemela, Nyamagana, Mbulu, Bukombe, Kasulu,Uvinza, na mengine mengi. Lowasa asingekaribishwa upinzani ungekuwa na majimbo mengi sana!!!! ndio ukweli huo

Nyomie washabiki wa cccm hamna chochote mnachotambua sana sana mnaumia kuona upinzani umekua mkali sana mwaka huu.. utake usitake impact ya lowasa ndani ya ukawa ni kubwa sana.. na ndo mana mkaenda kumrubuni dr ili mpunguze nguvu lkn wp.. na mwa taarifa tu majimbo mliyoshinda hamjashinda kihalali bali ni mabao ya mkono..bara kungekua na tume huru km zanzibar basi habari ingekua ingine mda huu... lowasa kaacha kumbukumbu kubwa sana kwa tz na nyie cccm mnalijua hilo.... pamoja na kashfa zote na matusi bado kawashinda..poleni sana
 
Elimu ni muhimu kweli kama apo ndio unaona umetoa hoja kichwani bado ni mweupe sana ubongo wako haufanyi kazi

Tathmini yake ingekuwa nzuri Kama angetaja na Idadi ya halmashauri ambazo upinzani umechukua.
 
Lowassa ameua tu Chadema yetu, sasa akina Lissu sidhani kama watakua na ujasiri wa kukemea ufisadi, maana wenyewe ndio mabingwa wa Kusafisha mafisadi.
 
Back
Top Bottom