jingalao
JF-Expert Member
- Oct 12, 2011
- 35,053
- 28,245
Dr Slaa aliweza kuongeza idadi ya wabunge wa chadema kutoka watano mwaka 2005 hadi kufikia 23 mwaka 2010.hili ni ongezeko la wabunge 18.Kipindi hiki Chadema ilikuwa inasimama yenyewe kama yenyewe.
Kwa upande wa lowassa ameweza kuongeza wabunge wa chadema kutoka 23 hadi 34 huu ni wastani wa wabunge 11.Huku akisaidiwa na muungano wa UKAWA.Pia Chadema iliweza kuanguka katika majimbo kadhaa.
KWA UFUPI Ukitazama performance ya Slaa na Lowasa ndani ya Chadema utajionea ukweli kuwa Slaa ndiye angefaa kusimama ndani ya Ukawa.
Slaa ndiye aliyejenga msingi kama katibu mkuu...msingi huu ndio siri ya ushindi kwenye viti vya udiwani.