Dr. Slaa, Upande wa Pili

Dr. Slaa, Upande wa Pili

Kivumah

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2008
Posts
2,427
Reaction score
1,060
Ni njia mojawapo ya ukomavu wa kisiasa, haina maana cdm na ccm ni maadui. Safi sana.
 
Baada ya hii picha, nikisikia Shyrose kajiunga cdm ntajuwa kweli Slaa, PhD wa kanoni bila bachelor's hata moja, mkali kwa totoz!
 
FaizaFoxy kama alivyosema Sacona kua ni ukomavu wa kisiasa na si uadui lakini dada yangu wewe naona unataka kutupeleka kwenye mambo mengine kabisa au tukuchukulie kama jina lako la pili linavyo jionyesha hapo juu? Faiz......Foxy!!
 
Upendavyo.
 
Baada ya hii picha, nikisikia Shyrose kajiunga cdm ntajuwa kweli Slaa, PhD wa kanoni bila bachelor's hata moja, mkali kwa totoz!

Acha mawazo mgando wewe,siasa sio uadui bali ni utofauti wa muono wa namna nzuri ya kuwatumikia wananchi, watu wa vyama vyote wanaendelea kuwa ndugu bila kujali jinsia ya mtu
 
Faizaa naona unatamani kweli ingekuwa ni wewe,.. uwe unahudhuria bwana mikutano yake unaweza ukaambulia walau mkono kama sio kushika hata kipande cha nguo yake...ila uvae vizuri sio kininja au magamba si unaona mwenzio kayavua ndo akapiga hiyo picha
 
Hawa chama gani?

sitta_mdee.jpg
 
Natamani iwe kamgonga huyo dada , nitaona kama Dakta kawatenda ccm woote.

Teh teh teh teh teh teh, uuuuuuuwiiiiiiiiiii, aaaaaaaaaaaaa, sina mbavu yaani kuanzia chairman had back bencheter?
nguvumali hapo juui umeua.....
 
cdm kunataharifa dk kafumaniwa na mke wa mtu tena,so wana cdm mliobaki msishabikie kama vpofu mfikiri pia yawezekana kanasa mtego koz nmesikia pia pichazake za fumanizi watu wausalama wanazo na alikua ikuli juzi akiomba chondechonde zisitolewe
 
Back
Top Bottom