Dr. Slaa, tuombe radhi CCM kwa kuita chama choo

Dr. Slaa, tuombe radhi CCM kwa kuita chama choo

Aombe radhi pia kwa kuihusisha CCM na ufisadi kwa miaka yote,kwa sababu CCM sio mafisadi wala hawajawahi kuwa na kashfa yoyote ya kifisadi ukitoa ile ya iliyomuhusisha yule Nyota ing'aayo alieingia UKAWA ambaye yeye Slaa ndio ametuambia ndieye fisadi pekee nchini(satire)

kweli ukipenda noma hata kipofu utasema chongo. escrow, twiga kupanda ndege, epa, rada sio skendo?
😛eace:
:car:
 
Nadhani Dr.Slaa anapoteza mda wake bure,laiti angejua......atajutia mda anaopoteza.Watz walishaamua na ni vigumu kuwabadilisha.
 
choo kimehamia chadema ccm safi

Ukweli unaweza kusema hivyo lakini alisema mafisadi hawa wametengenezwa na ccm, kwa hiyo inakuwa kama ni kama alipata malezi mabaya, kwa upande ungine ina maana angelelewa vizuri Ccm, asingefisadi.
 
sipati picha lipumba na slaa wangekuwa bado ukawa ...ingekuwa bonge la timu ccm sijui wangekuwa na hali gani
 
Pamoja na kutufarahisha kwa hotuba yako,unapaswa kutuomba radhi. Wengi wetu wamechekelea makombora ya hasara kwa Lowassa na wenzake ndani ya CHADEMA. Sasa Dr. Slaa ni lulu chamani na anapendwa kwelikweli.

Sasa anamiminiwa sifa na airtime ya kutosha. Leo ataunguruma tena. Kwa hapo,tunamshukuru na kumpenda. Lakini,anapaswa kutuomba radhi wanachama wa CCM.Hawezi kuachwa hivihivi.

Dr. Slaa ameiita CCM choo. Yaani nyumba ya uchafu mkuu. Yaani sisi ni maggots kwakuwa tupo kwenye kinyesi chooni. Haiwezekani. Haikubaliki. Ajitokeze mara moja kutuomba msamaha. Ama sivyo,tutamtenga!

Mzee Tupatupa wa Lumumba,Dar es Salaam

Kama amewafurahisha awaombe radhi ya nini? Na hakusema mpo kwenye kinyesi alisema nyinyi ni kinyesi kinachonuka na hamfai kuhamishiwa ndani.
 
Pamoja na kutufarahisha kwa hotuba yako,unapaswa kutuomba radhi. Wengi wetu wamechekelea makombora ya hasara kwa Lowassa na wenzake ndani ya CHADEMA. Sasa Dr. Slaa ni lulu chamani na anapendwa kwelikweli.

Sasa anamiminiwa sifa na airtime ya kutosha. Leo ataunguruma tena. Kwa hapo,tunamshukuru na kumpenda. Lakini,anapaswa kutuomba radhi wanachama wa CCM.Hawezi kuachwa hivihivi.

Dr. Slaa ameiita CCM choo. Yaani nyumba ya uchafu mkuu. Yaani sisi ni maggots kwakuwa tupo kwenye kinyesi chooni. Haiwezekani. Haikubaliki. Ajitokeze mara moja kutuomba msamaha. Ama sivyo,tutamtenga!

Mzee Tupatupa wa Lumumba,Dar es Salaam

si ndo lisasi yenu kisa kutuponda chadema? Ebu awakomeshe
 
We nawe. Waambie kwanza CHADEMA wamuombe msamaha Lowassa kwa kumwita joka la mdimu king maker wa ufisadi hapa nchini. Na wakimaliza hapo waende tena wakapige magoti kwa Sumaye mtu waliyekuwa wanamwita kuwa ni waziri mkuu bomu kabisa aliyewahi kutokea katika nchi yetu, Fisadi na ambaye serikali yake ilisimamia mauaji ya Waislam wasiokuwa na hatia kule Zanzibar. Na wakimaliza hapo wahamie kwa......The list goes on and on. Kimsingi ninachotaka kusema ni kwamba hoja yako haina mashiko na ni ule ule ushabiki tuliouzoea siku zote!

kwa maoni yangu mimi naona wakusakamwa hapo sio Sumaye bali ni aliyekuwa mkuu wa nchi na amirijeshi mkuu, hapo kuna kitu unakwepa
 
Choo kipo CCM ila CDM imempokea Lowassa mwenye kinyesi coz ametoka CCM. Kimsingi, matusi haya ni makubwa kwa CCM kuliko kwa CDM na Ukawa
tatizo CCM hawaelewi Dr. alivyosema siasa ni sayansi, nionavyo mimi kama kweli ni sayansi basi Dr. alidhamiria kuwachafua ccm. na wao bila kuelewa wanashabikia. ccm wanatakiwa wabaki kichwa chini kama wanaamini siasa ni sayansi.
 
Back
Top Bottom