VUTA-NKUVUTE
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 6,140
- 18,004
Pamoja na kutufarahisha kwa hotuba yako,unapaswa kutuomba radhi. Wengi wetu wamechekelea makombora ya hasara kwa Lowassa na wenzake ndani ya CHADEMA. Sasa Dr. Slaa ni lulu chamani na anapendwa kwelikweli.
Sasa anamiminiwa sifa na airtime ya kutosha. Leo ataunguruma tena. Kwa hapo,tunamshukuru na kumpenda. Lakini,anapaswa kutuomba radhi wanachama wa CCM.Hawezi kuachwa hivihivi.
Dr. Slaa ameiita CCM choo. Yaani nyumba ya uchafu mkuu. Yaani sisi ni maggots kwakuwa tupo kwenye kinyesi chooni. Haiwezekani. Haikubaliki. Ajitokeze mara moja kutuomba msamaha. Ama sivyo,tutamtenga!
Mzee Tupatupa wa Lumumba,Dar es Salaam