Dr. Slaa: tunaye Rais asiyependa kusemea matatizo ya wananchi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Dr. Slaa: tunaye Rais asiyependa kusemea matatizo ya wananchi

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Lukolo, Aug 10, 2011.

 1. Lukolo

  Lukolo JF-Expert Member

  #1
  Aug 10, 2011
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 5,137
  Likes Received: 76
  Trophy Points: 145
  Dr Slaa kwenye wall yake ya facebook anaandika hivi:
  "Tunaye Rais asiyependa kusemea matatizo ya wananchi wake. Matatizo wanayoyapata Wananchi kwa sasa ni matunda ya uongozi mbovu usiojali maslahi ya wananchi wake".
  Kwangu mimi hii si kauli ya msingi ya kutolewa na Dr Slaa. Sisi wananchi tunalijua hilo, na haisaidii kutueleza hayo hivi leo, tunataka atupe suluhu ya hayo matatizo na si blabla hizi ambazo hazina mshiko kwetu. Watu tunaumia halafu upinzani wanaleta story kama hizi? Ni nani atakayesimama, kuwasemea wananchi, kama chama kikuu cha upinzani ndo kinapiga porojo badala ya kutenda.

  Updates:
  Guys, hoja yangu hapa ni kwamba kwa nafasi yake Dr. Slaa ana nguvu kushinda hata ya maaskofu wanaompa rais masaa 24 atoe majibu na anatekeleza. Kwa nafasi yake Dr. Slaa hapaswi kuendeleza ngonjera za wakati wa uchaguzi wakati sisi tupo kwenye crisis. Kama katibu wa chama anao uwezo kupitia chama chake kuiagiza serikali itekeleze majukumu yake kabla yeye hajatumia nguvu ya umma. Inatusaidia nini kutuhubiria habari hizohizo day and night na sisi tunaendelea kuumia? Tunataka viongozi wetu watuonyeshe njia na si kuwa walalamishi kama sisi.
   
 2. Manyanza

  Manyanza JF-Expert Member

  #2
  Aug 10, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 4,446
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  <br />
  <br />
  Ni kilichoandikwa ni tamko la Dr Slaa sio la CDM na wewe usifikirie kwa kutumia masaburi
   
 3. Remote

  Remote JF-Expert Member

  #3
  Aug 10, 2011
  Joined: May 20, 2011
  Messages: 14,878
  Likes Received: 1,563
  Trophy Points: 280
  Wewe ulitaka slaa ndio atoe suluhusho kwa kfupi sio jukumu lake, na pia kuhusu matatzo ya umeme solution aliongelea kwa kina kipindi cha kampeni.
   
 4. Lukolo

  Lukolo JF-Expert Member

  #4
  Aug 10, 2011
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 5,137
  Likes Received: 76
  Trophy Points: 145
  Haha!! mkuu umasaburi tena. Hiyo kali hahahaa. Sasa kama hana suluhisho anaongea nini? Kwani nani asiyejua kama Kikwete hana uwezo wa kusemea matatizo ya watu. Kwa kusema hivyo anataka sisi tufanyeje?
   
 5. Lukolo

  Lukolo JF-Expert Member

  #5
  Aug 10, 2011
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 5,137
  Likes Received: 76
  Trophy Points: 145
  Kwa hiyo kazi ya upinzani ni nini! Kutuambia kwamba Kikwete ni mbaya? Then, tukishajua? Tatizo la mafuta litakuwa limeisha?
   
 6. kichomiz

  kichomiz JF-Expert Member

  #6
  Aug 10, 2011
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 12,030
  Likes Received: 2,677
  Trophy Points: 280
  <br />
  <br />
  We ni mpumbavu Slaa ndio anaekusanya kodi?kwa akili yako unadhani serikali inaongozwa na slaa?tumia akili kufikili wewe.
   
 7. Saharavoice

  Saharavoice JF-Expert Member

  #7
  Aug 10, 2011
  Joined: Aug 30, 2007
  Messages: 2,644
  Likes Received: 131
  Trophy Points: 160
  HTML:
  
  
  Kwako wewe, vipi Kikwete ni mzuri? kale naye futari basi.
   
 8. B

  Baikoko Senior Member

  #8
  Aug 10, 2011
  Joined: Oct 11, 2010
  Messages: 108
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Kodi apewe Kaizari, suluhu atoe Mungu. Mitanzania bana...
   
 9. Msarendo

  Msarendo JF-Expert Member

  #9
  Aug 10, 2011
  Joined: Jan 29, 2011
  Messages: 9,155
  Likes Received: 3,346
  Trophy Points: 280
  Akupe suluhu kwani yeye ndiye rais..dr. Alikuwa anatoa maoni yake kama mwananchi wa kawaida.
   
 10. Lukolo

  Lukolo JF-Expert Member

  #10
  Aug 10, 2011
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 5,137
  Likes Received: 76
  Trophy Points: 145
  Kwa hiyo kauli aliyosema inatusaidiaje watanzania? Kwanini asingenyamaza kimya kama ndiyo hivyo? Tatizo watanzania tuna ushabikii wa kijinga. Mkipenda kitu basi mnakisifia tu hata kama ni kibovu. Na hilo ndo lililompa kura nyingi Kikwete mwaka 2005. Hata pale ambapo wanaomfahamu walisimama kusema the guy is Silly, watu hamkusikia wala kuelewa. Sasa ukijiuliza hapa unapinga nini, unaweza kujibu kitu gani? Kutuambia sisi kwamba Kikwete hana uwezo wa kusemea matatizo ya wananchi, kumemaliza vipi tatizo la mafuta, umeme, maji na mengineyo Lukuki? Think aloud guy. Usikurupuke tu.
   
 11. Lukolo

  Lukolo JF-Expert Member

  #11
  Aug 10, 2011
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 5,137
  Likes Received: 76
  Trophy Points: 145
  Nimeuliza nini na umejibu nini? Swali la msingi hili hapa:
  Toa jibu na si kuanzisha swali lingine lisiloendana na nilichouliza.
   
 12. Lukolo

  Lukolo JF-Expert Member

  #12
  Aug 10, 2011
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 5,137
  Likes Received: 76
  Trophy Points: 145
  Fine, kama yeye hana suluhu sasa anatuambia nini? Kujua kwamba Kikwete hana uwezo wa kuyasemea matatizo ya wananchi kunatusaidiaje wananchi ambaye hatuna maji, umeme, wala mafuta? Kwani yeye upinzani amefuata nini? Achukue hatua kama kiongozi wa upinzani!! Kama unaona Slaa hana suluhu ya matatizo ya watanzania, basi hujui kwanini Slaa yupo upinzani, yumkini hata yeye hajui kwanini yupo huko, ndo maana anatuletea poroja za wakati wa uchaguzi
   
 13. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #13
  Aug 10, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  JK Husema hivi-KELELE ZA MPANGAJIIIIII,basssi anapanda ndege ANAYEYA
   
 14. Lukolo

  Lukolo JF-Expert Member

  #14
  Aug 10, 2011
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 5,137
  Likes Received: 76
  Trophy Points: 145
  Fine, yeye ni mwananchi kama wananchi wengine, lakini mwenye status tofauti na mimi. Katika status yake tunategemea kauli yenye kutupa majibu, na si kauli inayoishia kuibua chuki na hasira bila kumaliza tatizo letu. Zito jana kasema wanajeshi waingie kwenye vituo vya mafuta wauze, wote tulishangilia, huyu anasema Rais hana uwezo wa kusemea matatizo ya wananchi, so what?
   
 15. F

  FJM JF-Expert Member

  #15
  Aug 10, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,088
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  @Lukolo,on the red: unataka solution? - Vacate magogoni, let Dr Slaa in, count 100 days and see the difference!
   
 16. Apollo

  Apollo JF-Expert Member

  #16
  Aug 10, 2011
  Joined: May 26, 2011
  Messages: 4,889
  Likes Received: 1,378
  Trophy Points: 280
  Slaa ni raia wa kawaida kama mimi na ana haki ya kusema mitazamo yake. Jamani hebu tuongee ukweli bila kutazama upande wowote, hapo Mh Slaa amedanganya? Sion kama amepotosha zaidi za kusema yaliyopo! Unafikiri JK ndio anaongeaga ya maana mf aliposema ''heheheee watanzania wanafikiri serikali inaweza kupaa angani ikaleta mvua za kutosha kujaza mabwawa'' mbele ya bbc swahili...?
   
 17. Lukolo

  Lukolo JF-Expert Member

  #17
  Aug 10, 2011
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 5,137
  Likes Received: 76
  Trophy Points: 145
  Heheheee, akimaanisha wapinzani ni wapangaji? Na wapinzani huwa wanajibu nini? Ndo majibu kama haya ya Dr. Slaa kwenye facebook!
   
 18. Lukolo

  Lukolo JF-Expert Member

  #18
  Aug 10, 2011
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 5,137
  Likes Received: 76
  Trophy Points: 145
  Hahaha, I wish I could live to see this movie!!
   
 19. Lukolo

  Lukolo JF-Expert Member

  #19
  Aug 10, 2011
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 5,137
  Likes Received: 76
  Trophy Points: 145
  Kwani hata JK aliposema yeye siyo wingu alidanganya? Haya ndo ninayoyakataa hapa, kwanini mtu atoe hoja ambazo hazina suluhisho ilihali kwa nafasi yake anaweza kufanya zaidi ya hapo?
   
 20. Eshacky

  Eshacky JF-Expert Member

  #20
  Aug 10, 2011
  Joined: Apr 26, 2011
  Messages: 966
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 45
  Aya angeandika "vituo vya mafuta vifunguliwe haraka iwezekanavyo" ungekuja kusema dr. Katema cheche... We badalaka hizo nguvu kutumia kwa EWURA unamlaam mtu asiye na dola. Watu walishatoa mapendekezo juu ya nini kifanyika kuhusiana na bei ya mafuta nchini kupitia bajeti ya kambi ya upinzani, jana bungen watu wamesema wana mpaka ushahid wa watu wa serikalin wamepokea rushwa kuhusu sakata hili, hakuna lolote lililofanyiwa kazi. Wadanganyika bwana...!
   
Loading...