<br />This is all what I am talking about.
<br />
ubishi wanabisha ila ukweli wanaujua
<br />This is all what I am talking about.
<br />Slaa na yeye atoke nyuma ya pc yake aingie kitaa,we've to rule our own destiny
Umasaburi noma sana..........Dr. kaandika kwenye wall yake ya foolsbook, ww unasema ni tamko!!!Kwa hiyo kauli aliyosema inatusaidiaje watanzania? Kwanini asingenyamaza kimya kama ndiyo hivyo? Tatizo watanzania tuna ushabikii wa kijinga. Mkipenda kitu basi mnakisifia tu hata kama ni kibovu. Na hilo ndo lililompa kura nyingi Kikwete mwaka 2005. Hata pale ambapo wanaomfahamu walisimama kusema the guy is Silly, watu hamkusikia wala kuelewa. Sasa ukijiuliza hapa unapinga nini, unaweza kujibu kitu gani? Kutuambia sisi kwamba Kikwete hana uwezo wa kusemea matatizo ya wananchi, kumemaliza vipi tatizo la mafuta, umeme, maji na mengineyo Lukuki? Think aloud guy. Usikurupuke tu.
Dr Slaa kwenye wall yake ya facebook anaandika hivi:
"Tunaye Rais asiyependa kusemea matatizo ya wananchi wake. Matatizo wanayoyapata Wananchi kwa sasa ni matunda ya uongozi mbovu usiojali maslahi ya wananchi wake".
Kwangu mimi hii si kauli ya msingi ya kutolewa na Dr Slaa. Sisi wananchi tunalijua hilo, na haisaidii kutueleza hayo hivi leo, tunataka atupe suluhu ya hayo matatizo na si blabla hizi ambazo hazina mshiko kwetu. Watu tunaumia halafu upinzani wanaleta story kama hizi? Ni nani atakayesimama, kuwasemea wananchi, kama chama kikuu cha upinzani ndo kinapiga porojo badala ya kutenda.
Updates:
Guys, hoja yangu hapa ni kwamba kwa nafasi yake Dr. Slaa ana nguvu kushinda hata ya maaskofu wanaompa rais masaa 24 atoe majibu na anatekeleza. Kwa nafasi yake Dr. Slaa hapaswi kuendeleza ngonjera za wakati wa uchaguzi wakati sisi tupo kwenye crisis. Kama katibu wa chama anao uwezo kupitia chama chake kuiagiza serikali itekeleze majukumu yake kabla yeye hajatumia nguvu ya umma. Inatusaidia nini kutuhubiria habari hizohizo day and night na sisi tunaendelea kuumia? Tunataka viongozi wetu watuonyeshe njia na si kuwa walalamishi kama sisi.

Acha kuchemka kaka/dada kwani mtu kutoa maoni ni dhambi? Mwache Dr wa ukweli ana uwezo na akili kuliko wanaccm wote wasioelewa kinachoendelea, Jk ni part ya hayo matatizo, hawezi kusema chochote, kwani yupo ikulu kwa sababu ya visima vya mafuta.Kwa hiyo kauli aliyosema inatusaidiaje watanzania? Kwanini asingenyamaza kimya kama ndiyo hivyo? Tatizo watanzania tuna ushabikii wa kijinga. Mkipenda kitu basi mnakisifia tu hata kama ni kibovu. Na hilo ndo lililompa kura nyingi Kikwete mwaka 2005. Hata pale ambapo wanaomfahamu walisimama kusema the guy is Silly, watu hamkusikia wala kuelewa. Sasa ukijiuliza hapa unapinga nini, unaweza kujibu kitu gani? Kutuambia sisi kwamba Kikwete hana uwezo wa kusemea matatizo ya wananchi, kumemaliza vipi tatizo la mafuta, umeme, maji na mengineyo Lukuki? Think aloud guy. Usikurupuke tu.