Lukolo
JF-Expert Member
- Dec 2, 2009
- 5,143
- 3,196
- Thread starter
- #21
Kwa hiyo kwa mtizamo wako unataka nani afanyie kazi kero za watanzania, kama si wapinzani? Hivi kwa mtizamo wako kazi ya wapinzani ni nini? Tunawahitaji zaidi wapinzani wakati wa crisis kama huu. Wao wanatakiwa watujie na majibu mbadala na waiagize serikali kutekeleza. Hivi unajua kwamba wapinzani wakitaka wanaweza kumwondoa Kikwete magogoni? Unafikiri yeye Kikwete haogopi? Kwanini wasitumie nguvu yao hii kuiagiza serikali kutelekeleza mambo yenye maslahi kwa wananchi as fast as possible?Aya angeandika "vituo vya mafuta vifunguliwe haraka iwezekanavyo" ungekuja kusema dr. Katema cheche... We badalaka hizo nguvu kutumia kwa EWURA unamlaam mtu asiye na dola. Watu walishatoa mapendekezo juu ya nini kifanyika kuhusiana na bei ya mafuta nchini kupitia bajeti ya kambi ya upinzani, jana bungen watu wamesema wana mpaka ushahid wa watu wa serikalin wamepokea rushwa kuhusu sakata hili, hakuna lolote lililofanyiwa kazi. Wadanganyika bwana...!