Dr. Slaa tafadhali tumia busara tuiondoe CCM 2015

Dr. Slaa tafadhali tumia busara tuiondoe CCM 2015

Wagalatia kazi mnayo.Yesu aliwafanya wapatanishi kati ya nuru na giza? Aliwafanya wapatanishi kati ya shetani na Mungu? Wapatanishi kati ya fisadi na Slaa?

Unajichanganya sasa! Kupatana ni lazima huyo mtu unayepatana naye awe ni mtu ambaye mlitofautiana hapa mwanzo, huwezi patana na mtu ambaye hamjawahi kosana. Elewa hilo.
 
Ukishazungumza Lowasa ni sawa na CCM. Ukizungumzia CCM huwezi mtoa Lowasa. Hapa CDM wamechemka. Hapa ni CCM A na CCM B. No more CHADEMA ndugu zangu. Tusidanganyike. Tena kwqngu mimi CCM wameonyesha kutubu kwa kuyamwaga majizi na sasa wamekuwa malaika. Sisi ndiyo tumeyakumbatia tena kwa tamaa zetu. Ikulu tungefika na Slaa tuu na si vinginevyo. Tumeshakuwa wachafu kuliko CCM mkubali mkatae.
shida ni serikali ya ccm
 
Back
Top Bottom