Dr slaa si lolote si chochote

Dr slaa si lolote si chochote

Hii thred ni kipimo cha watu wenye akili na wale wanaotumia vichwa kufugia nywele only
 
unajua kujieleza ila hujui kiswahili sanifu. sema asili na siyo asiri.tena sema UMMA na siyo uma.uma inamaana tofauti kabisa na umma.lakini pia huyu Dr wa ukweli ni chaguo la wana CHADEMA na kiukweli kazi yake ya siasa na kUkijenga chama anaijua na ndio maana kila gamba mwenye akili timamu anajua kuwa huyu ndiye THE NEXT PRESIDENT OF THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA.
 
Ukisoma Mwanzo unaweza usimuelewe maana mimi nilitaka kutupa computer niliuzika sana, ila malizia uone alimaanisha nini usikurupuke

MIMI NIMESHA ITUPA huko computer yangu maana pumba zake zimenichefua.
 
Kwa wasomaji wa bibria watakumbuka kisa cha mfalme Daudi aliposhinda vita nyingi watu wakamshauri kuwa sasa awe anapumzika na kuwaachia vijana vita ndogondogo wakapigane nayeye akakubali. Huku akiwa kapumzika nyumbani akapita juu ya gorofa akaona mwanamke mzuri sana anaoga katika moja ya mabafu ya nyumba za watumishi wake akamtamani na kuagiza aletwe kwake. Kilichotokea ni kuwa alilala na mke wa mjakazi wake na matokeo yake ni mtoto haramu aliye sababisha mambo mengi sana mabaya katika utawala wa Daudi. Mtoto aliumwa sana hadi kufa, Daudi alilazimika kuua jemedali wake kwa hila na hiki ni chanzo cha utawala wa Daudi kupolomoka wanaojua vizuri wataandika aya na kitabu kinachoelezea kisa hiki katika biblia.

Kisa hiki hufundisha jambo muhimu sana katika maisha ya kisiasa kwamba uvivu unaweza kuleta anguko si maanishi kuwa CDM ni wavivu kiasi hicho lakini ni ile hali ya kutokuwa bussy kwa muda fulani na kulewa sifa kama Daudi. CDM ikiwa bussy na M4C haiwezi kutumbukia katika matatizo madogomadogo kama haya yanayokikumba sasa. Mfano mzuri sana ni Mh Lema yupo bussy akieneza M4C kwa kufanya mikutano nchi nzima, Mnyika busy na mambo ya kimaendeleo jimboni kwake na kutetea chama hao ni kwa uchache utaona kuwa hawajajitumbukiza kwenye migogolo. Wale wasiojihusisha na kazi za chama wanayo nafasi kubwa ya kuwa waasi, angalia hao waasi utaona walikuwa na sifa hizo pia.

Nashauri CDM kwa mapenzi mema kabisa anzisheni M4C kila kanda ipitie kila kijiji na kila anayeweza kuhusika ahusika kuanzia sasa mkianza kusikilizia na kukaa vikao sana mtagombana mno na ibrisi wenu atasherehekea kumbukeni vikao hujenga na hubomoa vilevile.

kumbukeni: Maksai asipofungwa joki na kupelekwa kazini akibaki tu huwa mharibifu shambani.

Nawasilisha.
 
Shetani anapowahubiria wateule ufalme wa mbinguni na kuwapa mikakati ya kuufikia.
 
Yaani ukitaka thread yako itembelewe na watu wengi kichwa cha habari weka neno DR SLAA halafu endelea kumwaga pumba, utawapata tu.

Kwa hiyo kwako wewe kutembelewa kwenye uzi wako na wadau wengi ndiyo furaha kwako hata kama thread yenyewe haina mantiki? kama ni hivyo basi hakuna maana ya kuwapo jf.
 
Maelezo yake nipeyapenda sana tu. Tatizo liko kwenye kichwa cha habari
 
Dr Slaa si lolote si chochote!! hivi mwandishi anayeshindwa hata kupata heading ya habari yake unampa umahiri upi? siku nyingine ajipange au aulize nini maana ya heading.

Na wewe pia ujifunze kutambua ujumbe umeelekezwa kwa nani.
 
siku hizi ukitaka umaarufu Tanzania hii mponde DR. Slaa tu.
 
Na wewe pia ujifunze kutambua ujumbe umeelekezwa kwa nani.
Mswahili bwana, badala ya kukiri udhaifu mkubwa na mapungufu ya kiuandishi hasa heading bado unataka kuleta ubishi, sijui watu wengine mnajifunza kupitia nini!? my self i learn through mistake.
 
Sikiza matola, nimekwisha kuzoea kujiposition kama perfectionist humu ndani, heading niliyotumia haina tatizo lolote lile, usitake kulazimisha kila mtu afanye kama unavyotaka wewe, hauna authority ya kumuwekea mtu yeyote standard kwenye jambo lolote lile, na wala usifikiri kujifunza kutoka kwenye makosa binafsi ndio njia pekee ya kujifunza, mimi najifunza kutoka kwenye yale nayofanya vizuri.

Do your home work properly
 
Ignored.
 
Dr Slaa si lolote si chochote!! hivi mwandishi anayeshindwa hata kupata heading ya habari yake unampa umahiri upi? siku nyingine ajipange au aulize nini maana ya heading.
mmh kweli naw dayz hauna tofauti na Molemo.
 
Kwanza hajui alichokiandika,pili,kichwa cha thread hakiendani na maudhui ukisoma kwa jicho la tatu
 
Kamuulize rais wako kuwa Dr.Slaa ni nani atakwambia kwa kinagaubaga.Gamba wewe,umetumwa kuja kutupotezea muda hapa JF?

Kuna watu wana vituko humu ndani. Weww unaisoma tu kichwa cha habari na kutoa majibu. Wengi hawasomi wafike mwisho wajue mtoa mada ana maana gani. Ingekuwa hadithi mnakodoa macho kwenye screen mpaka saa nane usiku.
 
Back
Top Bottom