Dr slaa si lolote si chochote

Imechukua muda kukuelewa ,kama si kurudia kusoma mara tatu ungenisababishia ban,kazi nzuri ila...
 
Kamuulize rais wako kuwa Dr.Slaa ni nani atakwambia kwa kinagaubaga.Gamba wewe,umetumwa kuja kutupotezea muda hapa JF?

Hujamwelewa mleta mada! Kwa kifupi anawakumbusha CCM waachane na kupigana na Dr Slaa na badala yake watimize ahadi zao za kampeni za 2010 kuleta maisha bora.
Ukweli ni kuwa nguvu wanazotumia CCM kupambana na Dr Slaa na CDM, kama wangezigeuzia kutatua kero zetu, tungefika mahala angalau. Wapigane na Ufisadi, wahamasishe umoja nk. mshikamano wa Kitaifa n
 
Sangarara kasema ukweli, wakati wa mkutano wa wanafunzi wa UDSM pale mabibo uliohutubiwa na Dr Slaa na Zitto kabwe mwaka 2011 nilisema, ccm hata wakimpa Dr Slaa sumu ya panya akapotea hawaponi na hili wimbi la mabadiliko yanadaiwa na wananchi
 
Mkuu, unajua mpaka sasa siamini kama molemo kanitukana??

Pole Mkuu, yawezekana Molemo yuko pub anapata mbili tatu, sasa aliposoma heading tu, zikaruka kidogo.
Molemo, mtake radhi Sangarara.
 
kichwa cha habari na habari havitangamani!

Hapana Mkuu, kichwa cha habari ni ambigous, hakina tafsiri moja tu kama wengi mnavyofasiri, tafsiri yake ni hadi usome content yenyewe.
 
Leo ndo nimeamini kwamba JF gt ni wachache mno wengi ni wakurupukaji..Nashangaa sana wanao mtukana mkuu Sangarara

Ni kweli lakini title yake ndiyo inasababisha atukanwe...hajaiweka vizuri.
 
Sangarara kasema ukweli, wakati wa mkutano wa wanafunzi wa UDSM pale mabibo uliohutubiwa na Dr Slaa na Zitto kabwe mwaka 2011 nilisema, ccm hata wakimpa Dr Slaa sumu ya panya akapotea hawaponi na hili wimbi la mabadiliko yanadaiwa na wananchi

Yupo sahihi! Anakumbusha kuwa,CCM,wao wanadhani 'WAKIMMALIZA' DR Slaa,basi watakuwa wamemaliza mapambano! Wanasahau kuwa,kwa sasa,hawapambani na DR pekee,kwani umma mkubwa hauko upande wao!
 
Sina ulazima wa kukubaliana na mawazo ya Mleta mada ila nampongeza mbinu na utaalamu alotumia kuleta hoja yake imeonesha ni Great thinker wa viwango vya JF japokuwa baadhi ya Makamanda uchwara wameishia kuonesha Upoyoyo wao. Tutumie njia hii kuwabaini waliotumia vyeti vya wengine!
 
kama nilivyo fahamu kuwa molemo ni kilaza

Just imagine mtu kama huyu anakuwa kiongozi wako halafu anapelewa kesi yako. Kama kashindwa kusoma thread hii ambayo haifiki hata page mbili (2) za counter book ataweza kweli kusoma utetezi wako wenye kurasa za kutosha?

Imenishangaza sana kwa kweli.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Na mama yako?
 
Kwa kweli si chochote si lolote alimsaliti YESU mtoto wa Mariam....................
 
Yaani Dr Slaa kwa Magamba ni kama pepo na Jina la Yesu...hamlali mnawaza Dr tuuu basi....Kagueni na nyumba zenu masika inakuja mtavujiwa...shauri yenu
 
umeongea vema sana mkuu.
Ila naona kama title yako ina ukakasi sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…