Dr. SLAA sasa atoa facts suala la CCM & silaha, amvaa Amiri Jeshi Mkuu na Mwenyekiti

Dr Slaa, kaja na Series mpya ndio kwanza tupo Episodes 1 kuna Episodes 20.
 
Stress za wake+kuvaa gwanda kipindi cha joto=Alzheimer's disease
 
Akimaliza muhula wake tumpeleke Kikwete moja kwa moja The Hague.

Jasusi,
Mungu katupa vichwa kwa ajili ya kufikiri, ebu tumia vizuri kutumia kichwa chako Dr Slaa, anakulisha porojo na wewe unakubali tu.
 
Last edited by a moderator:
Kuna tetesi kuwa baadhi ya vyombo vya serikali kama polisi, UWT,mahakama na nyinginezo zimeanza kuitosa CCM. Hii ni kwa vile wanaogopa maagizo mengi yamekuwa hayatekelezeki au la ni hatari kwa usalama. Stay tunn.
 
Labda hao ndio baadhi ya wahuni walioshiriki kumteka Dr. Ulimboka. Aibu kubwa kwa CCM kuanzisha kundi la kigaidi chini ya ulezi wa Mwigulu.

Inaonekana mwanzo watekaji walishindwa kutumia bunduki kwasababu maganda na residue vingethibitisha ni silaha ya namna gani na inamilikiwa na nani.

Wasiwasi wangu sasa ni kama CCM/serikali imeanza kuingiza silaha kisirisiri bila usajili basi maisha ya Dr. Ulimboka na wengine yapo hatarini
 
Inaonekana mwanzo watekaji walishindwa kutumia silaha kwasababu maganda na residue vingethibitisha ni silaha ya namna gani na inamilikiwa na nani.

Wasiwasi wangu sasa ni kama CCM/serikali imeanza kuingiza silaha kisirisiri bila usajili basi maisha ya Dr. Ulimboka na wengine yapo hatarini

Ya its very true
 
Dr Slaa amedhihirisha kwa watanzania anataka msaada wa matibabu, hapa anazungumzia bastola moja number J137 hivi bastola moja kuingia nchini ndio unafanya press conference na kutoa tuhuma nzito na kuihisisha CCM kuidhibiti CDM? Hivi tumezungukwa na nchi ngapi zilizoathirika na vita na hatimae silaha kutapakaa sehemu mbalimbali katika miji yetu iliyopo pembezoni mwa nchi.Gun trafficking ni tatizo hata kwa nchi zilizoendelea hivi hapa anataka kutueleza hizo nyaraka ndio za hiyo bastola?

Kwanza kabisa wewe ndio kabsaaaaaaaaa unahitaji MATIBABU ya ugonjwa wako wa Akili tena uliokithiri..
Pili unakurupuka kusoma bila kutafakari... hpa Dokta hajaongelea bastola wala bunduki moja.... ametolea mfano wa J137 kama mfano wa bunduki nyingi zilizoingizwa na CCM nchini pasipo halali....... kama unabisha prove him wrong sio kutoa unrelated references.
Tatu vita inayoongelewa na Dokta hpa ni kati ya nyie CCM na vyama upinzani pamoja na taasisi zote zile zinazopinga harakati zenu chafu za kufilisi taifa hili katika kila nyanja..... eg mlivyofanya kwa Kubenea, Ulimboka, Illemela etc
Nne..... eti Gun Traffickin ni tatizo!!! ...... So What....? Kwa kua ni tatzo tuache silaha ziingie tu..!????

Nyie ndio wale mlionunua vyeti vya chuo

mas.abur.i
 
Jasusi,
Mungu katupa vichwa kwa ajili ya kufikiri, ebu tumia vizuri kutumia kichwa chako Dr Slaa, anakulisha porojo na wewe unakubali tu.
Mimi naamini, aisee! Ametoa hadi namba ya silaha! Na kwamba imekutwa mikononi mwa CCM!
 
Last edited by a moderator:
Hii stori ya Dr Slaa, inabidi tuiweke kwenye dodoso la Sensa.
 
Nyinyiem kubalini tu kuwa hamkubaliki tena,sepeni tu msing'ang'anize vurugu nchini.
 
Mbona hapa kuna upuuzi mtupu.
Andiko lote haluna fact hata moja kusubstantiate hizi serious allegations.

Ndo matatizo ya monologue, wanakijiji watshangilia tu Dr Slaa.
Leo akija mtu akasema CDM wameficha mabomu sehemu fulani kwa kujiandaa na uchaguzi , bila vielelezo si mtaamini ? Au siyo
Broo, samahani lakini.
Mi naona arguments zako zina mapungufu sana ya uelewa!
Sijajua km unatangulia kusoma kabla ya kujibu!
Unaongeleaje silaha moja wakati hiyo ni sample tu?.
 
Kuna tetesi kuwa baadhi ya vyombo vya serikali kama polisi, UWT,mahakama na nyinginezo zimeanza kuitosa CCM. Hii ni kwa vile wanaogopa maagizo mengi yamekuwa hayatekelezeki au la ni hatari kwa usalama. Stay tunn.
hii ni kweli mkuu.
 
Back
Top Bottom