Dr. Slaa Receives A State Reception In Alabama Capitol !

"Honey twende na mimi nikaone,nipige na picha pia,kule bukoba watajuaje niko kwa Obama?"

Kauli yako inaonyesha ni ya wivu wa kike zaidi,kuliko kuonyesha uGT wako'
 
Ee mungu tusaidie nchi yetu ili iwe mahala pema kwa wote na siyo ccm wanaotumia ujinga wa akili zetu kutufanya misukule.
 

Unajuwa wewe ni mjinga sana tena sana akili haifikii hata ubongo wa kuku.

Hivi mimi nimchukie au nimwonee wivu Josephine kwa lipi hasa? Hivi una ufahamu wowote mimi nimetumia resource zangu ngapi kuhakikisha Chadema inashika dola?

Kwa akili yako ya kijinga wale Wachina wakienda kule Marekani huwa wamwaga ung'eng'e tu? Kingereza wanaongea mpaka machokoraa wewe ndio umeona sifa ya kumpachika Josephine! !

Ptuuuuuuuuuuu.
 

grow up.!
Acheni kujadili ujinga, kwa yeyote anayefahamu haya mambo atatambua kuwa hakuna ubaya wowote ule kwa josephine kuwa kwenye hii ziara, ila ni utoto tu unawasumbua.!
Jadilini mambo ya msingi mfano: ziara hii ina tija yeyote kwa chama??
Huo ujinga ujinga mwingine waachieni vijana wa mwigulu watukanane mpaka wachoke!
 
Dr Slaa ana potezea hao
viongozi wa hilo jimbo muda wao tu; hivi kiongozi wa chama kwenda
kujikomba komba kwa Wamarekani ina faida gani kwa CHADEMA?

kwa kiwango chako cha akili huwezi jua kuna faida gani, lakini wenye akili wanajua significancy ya hii ziara.!?
 

Wewe huwezi kuyafungia mawazo yangu kwenye cells kumbe nyinyi ndio mliomharibu huyu Josephine kwa kumpachika u first lady hewa matokeo yake amevimba kichwa na kuwa kiburi na kuanza kutukana watu wenye heshima zao hapa.

Ni lazima Dr Slaa amdhibiti huyu Mwanamke sasa, kama hawezi akae pembeni Chadema ni taasisi kubwa watu wapo wa kuvaa viatu vyake.
 

Huyo ndio slaa na chadema yake bwana. Kaomba appoitment kapewa namuona pale anaonyesha makaratasi ya vilio vyake vya njaa.
 
Huyo ndio slaa na chadema yake bwana. Kaomba appoitment kapewa namuona paole anaonyesha makaratasi ya vilio vyake vya njaa.

Siasa haziendi hivi kaka, kosoa lakini usitoke kwenye mantiki, JK kila kukicha yeye ni safari za Marekani tu na anatumia kodi zetu.
 
Inavyonekana ilikuwa ziara binafsi ndiyo maana unamuona Dr.Slaa yupo na Girlfriend wake.
 
Siasa haziendi hivi kaka, kosoa lakini usitoke kwenye mantiki, JK kila kukicha yeye ni safari za Marekani tu na anatumia kodi zetu.

Jk anakwenda kwa ajili ya watanzania sasa slaa analipi jipya kama sio kufilisi chama chake na kutumia kodi zetu vibaya?
 
Na hii ni hatari sana kwa mtu anayetazamiwa siku moja kuwa kiongozi mkuu. Hata Mkapa madhambi yake mengi chimbuko lilikuwa Anna. Huyu mama asipodhibitiwa atakuja kuwa janga kwa CDM na taifa.
 
Siasa haziendi hivi kaka, kosoa lakini usitoke kwenye mantiki, JK kila kukicha yeye ni safari za Marekani tu na anatumia kodi zetu.
Ametoka kwenye mantiki gani alichosema CHAMVIGA, ni ukweli mtupu.
 
Last edited by a moderator:
Teh teh teh! Haki ya mungu JF kuna vituko huyu naye anajitapa anaisaidia Chadema, sijui Sabodo atasemaje.
 
Na hii ni hatari sana kwa mtu anayetazamiwa siku moja kuwa kiongozi mkuu. Hata Mkapa madhambi yake mengi chimbuko lilikuwa Anna. Huyu mama asipodhibitiwa atakuja kuwa janga kwa CDM na taifa.

Hii ndio maana tunaoitakia mema nchi hii tunalikemea kwa nguvu zote na kwa sauti kali kabisa, Dr Slaa akishindwa kumdhibiti huyu mwanamke aliyepungukiwa adabu basi na yeye akae pembeni atupishe hatuitaji mdhaha kwenye hili.
 
Mipango bora ya maendeleo huanzia Alabama, na sio State House kwa wengine!
 

pure 'utoto'.!
Ni utoto tu ndio unawasumbua..
 
Inavyonekana ilikuwa ziara binafsi ndiyo maana unamuona Dr.Slaa yupo na Girlfriend wake.

kwa hiyo inamaana jeikei alivyokuwa ameenda nje kubembea na mama salma ile ilikuwa ni 'picnic' tu ya kifamilia alafu kurugenzi ya mawasiliano ikulu ikatudanganya mkuu yuko katika ziara ya kitaifa??
Is that right?
 
Sasa hiyo ndio "state reception" au kaomba appointment apeleke makaratasi yake ya ufataani?

Mijitu minngine mna mnana mtu ambae hanangiki.

Alipewa dakika ngapi na Gavana?SAMAHANI FAIZA KWANI MLIMANI CITY MMEPANGA KUILIPUA LINI?alshababu mkubwa weye
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…