Dr. Slaa ni mpini wa kuiondoa CCM, historia kujirudia | Page 2 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Dr. Slaa ni mpini wa kuiondoa CCM, historia kujirudia

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Candid Scope, Jun 26, 2015.

 1. Candid Scope

  Candid Scope JF-Expert Member

  #1
  Jun 26, 2015
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 11,893
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  [​IMG] [​IMG] [​IMG]
  Martin Luther King, Jr., Desmond Tutu, Frederick Chiluba

  "Dr. Slaa halitakuwa jambo geni kama Ukawa watamsimamisha apeperushe bendera yao kugombea kiti cha Urais Tanzania. Hilo latokana na hulka ya ukweli na unyofu wa moyo wa viongozi wenye asili ya dini wafanyapo kutetea haki za msingi za wanyonge bila kutafuta kujinufaisha au kutokuwa tayari kurubuni na ahwana hofu ila humtegemea Mungu ndiye kinga na ngao yao.

  Chadema imekua na kukomaa zaidi tangu Dr. Slaa agombee urais awamu iliyopita, na alitikisa nchi hadi CCM kubabaika. Alimwaga ukweli bila waga. Hayuko tayari kurubuniwa wala kutetereka kwa vile azima ni kutetea watu si masilahi binafsi.

  Katika historia tumeshuhudia mchungaji wa makanisa ya Baptisti nchini Marekani Martin Luther King, Jr kwa mgongo wa kanisa na msukumo wa moyo wa kujitolea kwa ajili ya wengine alifanikiwa kuigeuza mioyo migumu ya wazungu na kuridhia kuondoa sheria ngumu za kibaguzi nchini humo.

  Askofu Desmond Tutu wa Afrika Kusini ni kiongozi pekee mpigania haki za Waafrika kupinga ubaguzi wa rangi kutetea hadharani kwa nguvu zote na kilichomsaidia kutoshikwa kuunganishwa na akina Mandela ni wadhifa wake wa Kanisa. Kamwe hatasahaulika katika historia ya ukombozi wa kupinga ubaguzi nchini humo.

  Hayati Rais wa Zambia aliyemwondoa Kaunda madarakani back ground alitokana katika mgongo wa makanisa ya kipendekoste.

  Je, historia kujirudia kwa Tanzania CCM kuondolewa kwa njia hiyo?
   
 2. DuppyConqueror

  DuppyConqueror JF-Expert Member

  #21
  Oct 12, 2017
  Joined: Mar 30, 2014
  Messages: 9,155
  Likes Received: 4,387
  Trophy Points: 280
  Unahitaji kuweka nguvu nyingi sana ili kumshawishi mtu kuwa move walioifanya kumuweka Lowassa haikuwa ni kwa maslai binafsi ya Mwenyekiti...
   
 3. Samweli Mathayo

  Samweli Mathayo JF-Expert Member

  #22
  Nov 8, 2017
  Joined: Aug 1, 2017
  Messages: 1,371
  Likes Received: 1,234
  Trophy Points: 280
  Punga kabisa wewe
   
 1. This site uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
  By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.
  Dismiss Notice
 1. This site uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
  By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.
  Dismiss Notice
Loading...