Dr. Slaa ni mpini wa kuiondoa CCM, historia kujirudia

Candid Scope

JF-Expert Member
Nov 8, 2010
11,883
6,884
MTE5NTU2MzE2MjgwNDg5NDgz.jpg
tutu2.jpg
Frederick_Chiluba.jpg

Martin Luther King, Jr., Desmond Tutu, Frederick Chiluba

"Dr. Slaa halitakuwa jambo geni kama Ukawa watamsimamisha apeperushe bendera yao kugombea kiti cha Urais Tanzania. Hilo latokana na hulka ya ukweli na unyofu wa moyo wa viongozi wenye asili ya dini wafanyapo kutetea haki za msingi za wanyonge bila kutafuta kujinufaisha au kutokuwa tayari kurubuni na ahwana hofu ila humtegemea Mungu ndiye kinga na ngao yao.

Chadema imekua na kukomaa zaidi tangu Dr. Slaa agombee urais awamu iliyopita, na alitikisa nchi hadi CCM kubabaika. Alimwaga ukweli bila waga. Hayuko tayari kurubuniwa wala kutetereka kwa vile azima ni kutetea watu si masilahi binafsi.

Katika historia tumeshuhudia mchungaji wa makanisa ya Baptisti nchini Marekani Martin Luther King, Jr kwa mgongo wa kanisa na msukumo wa moyo wa kujitolea kwa ajili ya wengine alifanikiwa kuigeuza mioyo migumu ya wazungu na kuridhia kuondoa sheria ngumu za kibaguzi nchini humo.

Askofu Desmond Tutu wa Afrika Kusini ni kiongozi pekee mpigania haki za Waafrika kupinga ubaguzi wa rangi kutetea hadharani kwa nguvu zote na kilichomsaidia kutoshikwa kuunganishwa na akina Mandela ni wadhifa wake wa Kanisa. Kamwe hatasahaulika katika historia ya ukombozi wa kupinga ubaguzi nchini humo.

Hayati Rais wa Zambia aliyemwondoa Kaunda madarakani back ground alitokana katika mgongo wa makanisa ya kipendekoste.

Je, historia kujirudia kwa Tanzania CCM kuondolewa kwa njia hiyo?
 
DR.SLAA ndo raisi mtarajiwa hakuna mwenye uwezo kupambana naye wagombea uraisi ndani ya ccm wote 40 mpaka mamvi hakuna mwenye sifa za kuwa raisi wa tanzania .ndani ya ccm hakuna aliye msafi mwenye uwezo wa kumwonyeshea mwenzako kidole huo ndo ukweli japokuwa unauma.
DR.SLAA WATANZANIA TUNA IMANI KUBWA NA WEWE .
 
Padri slaa,sijui kwanini aliacha upadri?najiuliza sipati jibu

alishajibu aliacha upadri kwa sababu zake binafsi na kufuata taratibu zote za kanisa .hizo porojo zenu za padri zimeshapitwa na wakati leta nyingine.
DR.SLAA NDO RAISI MTARAJIWA WA TANZANIA 2015.
 
mchungaji wa makanisa ya
Baptisti nchini Marekani Martin Luther King, Jr
kwa mgongo wa kanisa
alifanikiwa
kuigeuza mioyo migumu ya wazungu na kuridhia kuondoa sheria ngumu za kibaguzi nchini humo.

Askofu Desmond Tutu wa Afrika Kusini ... kilichomsaidia..ni wadhifa wake wa Kanisa.

Chiluba..back ground alitokana katika mgongo wa makanisa ya kipendekoste.

Je, historia kujirudia kwa Tanzania CCM kuondolewa kwa njia hiyo?

Hoja ina ukakasi.

Umesema hao walibebwa na makanisa, sasa je kwani Dr Slaa pia anabebwa na kanisa?hapa napata chenga hapa.
 
alishajibu aliacha upadri kwa sababu zake binafsi na kufuata taratibu zote za kanisa .hizo porojo zenu za padri zimeshapitwa na wakati leta nyingine.
DR.SLAA NDO RAISI MTARAJIWA WA TANZANIA 2015.
photo%2B3.JPG

Dk%2BSlaa%2B,%2Bmkewe%2BJosephine%2Bna%2BMeya%2Bwa%2BIndianapolis.JPG

Tunahitaji mtu mwenye moyo na uchungu wa nchi hii bila kutanguliza masilahi binafsi kama walivyo wanasiasa wengine.
 
Hoja ina ukakasi.

Umesema hao walibebwa na makanisa, sasa je kwani Dr Slaa pia anabebwa na kanisa?hapa napata chenga hapa.

Hoja si kubebwa na wanakanisa ila walio na background ya dini katika maisha yao.
Martin Luther ambaye alikuwa pastor wa Buptist church aliamua kupumzika uchungaji na kujishughulisha na utetezi wa haki za wamarekani weusi.

Frederick chiluba wa Zambia wakati anagombea hakuwa mtumishi wa makanisa ya pentekoste alikokuwa anafanya awali, alijiondoa ili kuingia ulingo wa siasa.

Kimsingi soma maudhui ya habari vizuri.
 
Ukisema kwa mgongo maana yake kwa kuwekwa mgongoni yaan kubebwa au kusaidiwa na hayo makanisa.

mchungaji wa makanisa yaBaptisti nchini Marekani Martin Luther King, Jr kwa mgongo wa kanisaalifanikiwa

Askofu Desmond Tutu wa Afrika Kusini ... .ni wadhifa wake wa Kanisa.

Chiluba..katika mgongo wa makanisa ya kipendekoste.

Je, historia kujirudia kwa Tanzania CCM kuondolewa kwa njia hiyo?

Ukisema kwa mgongo maana yake kwa kuwekwa mgongoni yaan kubebwa au kusaidiwa na hayo makanisa.

Tunasoma maudhui ya habari si ile ya ufafanuzi wa kila sentensi hutajua maudhui ya habari inahusu nini. Great thinkers hujadili maudhui ya habari si kuibua neno au sentensi kuwa ndio kigezo cha mada.
 
Slaaa ni kiongozi mzuri na ni presidential material tatizo moja kubwa ni kuwa lacks first lady material (current wife) on his side who also can play a significant role for the betterment of our country
 
alishajibu aliacha upadri kwa sababu zake binafsi na kufuata taratibu zote za kanisa .hizo porojo zenu za padri zimeshapitwa na wakati leta nyingine.
DR.SLAA NDO RAISI MTARAJIWA WA TANZANIA 2015.
free dom is kaming lowasa ni kamanda mwe unyumbu kazi
 
Kilichomuondoa Dr.Slaa UKAWA ni MAGUFULI/PENGO project. Kwa ambao hawajui game vizuri suala la UKAWA kumuweka Mlutheri Lowasa kugombea UKAWA kimsingi liliivuruga UKAWA ndani kwa ndani bila kuwa wawazi. Kuna baadhi ya watu kama DR.Slaa alikuwa upinzani kwa niaba ya Kanisa. Mpango mkubwa wa kanisa ulikuwa iwe isiwe lazima warudi madarakani.. so kama CCM wangemuingiza mtu ambaye sio Mkatoliki mjue SLAA angebaki UKAWA na huenda angegombea urais. Issue ni ujio wa magufuli kipenzi cha Pengo...... hata waliompinga lowasa kwa kigezo cha ufisadi kwa ndani haikuwa hivyo.... walikuwa wanagombea maslahi mengine.....
so mtake msitake Dr.SLAA = Pengo's project
 
Back
Top Bottom