Dr. Slaa Ndani ya Tabora akiimarisha chama,, awashukuru wanaKigoma

Sitachoka

JF-Expert Member
Nov 17, 2011
3,030
1,303
Habari zenu Watanzania natoa shukrani zangu kwa wale wapenda ukombozi
wanchi hii ambao mlikuwa mkiunga mkono ziara yangu ya kigoma ambayo
ilikuwa na mafanikio makubwa.

Tunamshukuru mungu ingawa tulikutana na vikwazo vidogo ambavyo vilipangwa
na vikundi vya watu wachache ili kukwamisha ziara yangu na sio mapenzi
ya watu wenyewe nikasema ziara inaendelea bira kusimama popote maana
tunataka ukombozi wa Taifa letu, Nimetoka kigoma salama na nipo Tabora
ziara inaendelea tutapeana habari zaidi

Nashukuru sana wakazi wa kigoma mabadiliko lazima mmeweza kunielewa
katika hotuba zangu sasa tunaendelea kukijenga chama naomba msimame imara watu wachache ambao wanataka
kupeleka nchi pabaya kwa maslai yao mkae nao mbali watu kama hao wabaya
sana.

Jumapili Mwanza atakuwa Mwenyekiti wa Chama Taifa Mh Freeman Mbowe Pia Morogoro Kutakuwa na Mkutano Mkubwa
Kichangani kuweza kuendeleza harakati za ukombozi na maeneo mbalimbali
Tanzania kutakuwa na mikutano nawatakia mikutano mema,
Tulianza na Mungu Tutamaliza na Mungu.

Source,, ofisi ya Dr. Slaa

 

waliosema haiwezekani kigoma watafute pa kujificha.mwanza itkuqa wapi na mda gn?wengine tuko sengerema .
 
Niko Mwz tayari kukutana na mwenyekiti wangu wa kudumu mpaka ukombozi upatikane!
 
Safi sana hakuna cha sikukuu wala nini kazi kwenda mbele, Sikukuu itafanyika siku ukombozi ukipatikana
Mkuu, chadema ndo inakufa hivyo. Wanahangaika sana kujisafisha lakini haiwezekani tena
 
Hii nchi inahitaji kuokolewa kutoka kwenye mkoloni mweusi
Wametunyonya vya kutosha 52 years hakuna hospital hata moja ambayo mtu anaweza akatibiwa
Vizuri, huduma mbalimbali kama CT-scan ikapatikana bila kwenda kuunga follen ya malipo
Kenya wana hospitali tena nzuri, shule nzuri, mazingira ya elimu mazuri
Hapa tz ni blaaa blaa tuu wanapeana vyeo kwa kujuana
 
tabora yazizima, mapokezi makubwa tabora,

mtatulaghai sana mwaka huu???? Kiukweli huyu mzee ameshachoka,
alikuwa wapi enzi ya ujana wake ameshezeeka ndio anaonekana mtu wa maana.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…