Dr. Slaa Ndani ya Tabora akiimarisha chama,, awashukuru wanaKigoma

Mbaga Michael

Verified Member
Nov 17, 2011
2,883
1,250
Habari zenu Watanzania natoa shukrani zangu kwa wale wapenda ukombozi
wanchi hii ambao mlikuwa mkiunga mkono ziara yangu ya kigoma ambayo
ilikuwa na mafanikio makubwa.

Tunamshukuru mungu ingawa tulikutana na vikwazo vidogo ambavyo vilipangwa
na vikundi vya watu wachache ili kukwamisha ziara yangu na sio mapenzi
ya watu wenyewe nikasema ziara inaendelea bira kusimama popote maana
tunataka ukombozi wa Taifa letu, Nimetoka kigoma salama na nipo Tabora
ziara inaendelea tutapeana habari zaidi

Nashukuru sana wakazi wa kigoma mabadiliko lazima mmeweza kunielewa
katika hotuba zangu sasa tunaendelea kukijenga chama naomba msimame imara watu wachache ambao wanataka
kupeleka nchi pabaya kwa maslai yao mkae nao mbali watu kama hao wabaya
sana.

Jumapili Mwanza atakuwa Mwenyekiti wa Chama Taifa Mh Freeman Mbowe Pia Morogoro Kutakuwa na Mkutano Mkubwa
Kichangani kuweza kuendeleza harakati za ukombozi na maeneo mbalimbali
Tanzania kutakuwa na mikutano nawatakia mikutano mema,
Tulianza na Mungu Tutamaliza na Mungu.

Source,, ofisi ya Dr. Slaa

Katibu Mkuu CHADEMA Dr Wilbroad Slaa ameanza ziara rasmi ya kujenga chama mkoani Tabora kwa kishindo kikubwa!

Kiongozi huyo anayetikisa nchi kwa sasa ameanza ziara yake mkoani hapa kwa kulakiwa kwa Shangwe eneo la Kaliua ambapo mamia ya watu walijipanga kando kando ya barabara huku magari na pikipiki vikitumika kuongoza msafara wake.

Baada ya mapokezi Dr Slaa alihutubia mkutano mkubwa sana wa hadhara uliovunja rekodi ya mikutano yote ya kisiasa kuwahi kufanywa hapa KALIUA.

Dr Slaa ambaye akiwa Kigoma alipachikwa jina la SIMBA WA TANZANIA ameendelea kuzungumzia rasilimali za Taifa na kutaka serikali kuhakikisha wananchi wanafaidi matunda ya nchi yao.
 

swagazetu

JF-Expert Member
Nov 28, 2013
4,089
2,000
Habari zenu Watanzania natoa shukrani
zangu kwa wale wapenda ukombozi
wanchi hii ambao mlikuwa mkiunga
mkono ziara yangu ya kigoma ambayo
ilikuwa na mafanikio makubwa
tunamshukuru mungu ingawa tulikutana na vikwazo vidogo ambavyo vilipangwa
na vikundi vya watu wachache ili
kukwamisha ziara yangu na sio mapenzi
ya watu wenyewe nikasema ziara
inaendelea bira kusimama popote maana
tunataka ukombozi wa Taifa letu, Nimetoka kigoma salama na nipo Tabora
ziara inaendelea tutapeana habari zaidi
nashukuru sana wakazi wa kigoma
mabadiliko lazima mmeweza kunielewa
katika hotuba zangu sasa tunaendelea
kukijenga chama naomba msimame imara watu wachache ambao wanataka
kupeleka nchi pabaya kwa maslai yao
mkae nao mbali watu kama hao wabaya
sana,
Jumapili Mwanza atakuwa Mwenyekiti
wa Chama Taifa Mh Freeman Mbowe Pia Morogoro Kutakuwa na Mkutano Mkubwa
Kichangani kuweza kuendeleza harakati
za ukombozi na maeneo mbalimbali
Tanzania kutakuwa na mikutano
nawatakia mikutano mema,
Tulianza na Mungu Tutamaliza na Mungu,
Source,, ofisi ya Dr. Slaa

waliosema haiwezekani kigoma watafute pa kujificha.mwanza itkuqa wapi na mda gn?wengine tuko sengerema .
 

mpk

JF-Expert Member
Sep 26, 2012
3,120
2,000
Niko Mwz tayari kukutana na mwenyekiti wangu wa kudumu mpaka ukombozi upatikane!
 

Lizaboni

JF-Expert Member
Feb 21, 2013
33,903
2,000
Safi sana hakuna cha sikukuu wala nini kazi kwenda mbele, Sikukuu itafanyika siku ukombozi ukipatikana
Mkuu, chadema ndo inakufa hivyo. Wanahangaika sana kujisafisha lakini haiwezekani tena
 

Lokissa

JF-Expert Member
Nov 20, 2010
7,447
2,000
Hii nchi inahitaji kuokolewa kutoka kwenye mkoloni mweusi
Wametunyonya vya kutosha 52 years hakuna hospital hata moja ambayo mtu anaweza akatibiwa
Vizuri, huduma mbalimbali kama CT-scan ikapatikana bila kwenda kuunga follen ya malipo
Kenya wana hospitali tena nzuri, shule nzuri, mazingira ya elimu mazuri
Hapa tz ni blaaa blaa tuu wanapeana vyeo kwa kujuana
 

kababu

JF-Expert Member
Mar 14, 2013
1,593
2,000
tabora yazizima, mapokezi makubwa tabora,

mtatulaghai sana mwaka huu???? Kiukweli huyu mzee ameshachoka,
alikuwa wapi enzi ya ujana wake ameshezeeka ndio anaonekana mtu wa maana.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom