Dr. Slaa Ndani ya Tabora akiimarisha chama,, awashukuru wanaKigoma

aende zake kwani kaua chama halafu anajikosha tu shauri yake atakoma mwaka huu yeye ndiye katumwa na ccm ndio maana amelipia kadi yake miaka 30. halafu nyie vyanzo vya huyo mzee endelea kula tu ila msidanganye watu
mh.werema sina hata jina moja la mtu aliyeficha mabilioni uswiss..zitto
 
Jpili Mbowe na Wenje watakuwa katika uwanja wa s/msingi sweya karibu na SAUT Mwanza kuanzia saa 8 mchana
 
Katibu Mkuu CHADEMA Dr Wilbroad Slaa ameanza ziara rasmi ya kujenga chama mkoani Tabora kwa kishindo kikubwa!

Kiongozi huyo anayetikisa nchi kwa sasa ameanza ziara yake mkoani hapa kwa kulakiwa kwa Shangwe eneo la Kaliua ambapo mamia ya watu walijipanga kando kando ya barabara huku magari na pikipiki vikitumika kuongoza msafara wake.

Baada ya mapokezi Dr Slaa alihutubia mkutano mkubwa sana wa hadhara uliovunja rekodi ya mikutano yote ya kisiasa kuwahi kufanywa hapa KALIUA.

Dr Slaa ambaye akiwa Kigoma alipachikwa jina la SIMBA WA TANZANIA ameendelea kuzungumzia rasilimali za Taifa na kutaka serikali kuhakikisha wananchi wanafaidi matunda ya nchi yao.
 
Ebana ile nyomi nimeona kweli dr ni simba wa tanzania
 
Pigeni kazi makamanda,tupo pamoja na tunawaombea ulinzi kwa Mungu
 
Hii nchi inahitaji kuokolewa kutoka kwenye mkoloni mweusi
Wametunyonya vya kutosha 52 years hakuna hospital hata moja ambayo mtu anaweza akatibiwa
Vizuri, huduma mbalimbali kama CT-scan ikapatikana bila kwenda kuunga follen ya malipo
Kenya wana hospitali tena nzuri, shule nzuri, mazingira ya elimu mazuri
Hapa tz ni blaaa blaa tuu wanapeana vyeo kwa kujuana

KUKOMBOLEWA SANA, KENYA 90 PERCENT YA WANANCHI WAO WANAJUA KUSOMA NA KUANDIKA, WANAVYUO VIKUU ZAIDI YA AROBAINI VYA SERIKALI KAMA SIJAKOSEA kutokana na hotuba ya UHURU KENYATA (RAIS ) KATIKA SHEREHE ZA MIAKA 50 YA UHURU WA KENYA
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom