...jiheshim mkuu...Sipo uwanjani unamaanisha nini? Au meniletea mkeo home ili ani keep busy?
Nilikuwa ninatamani huyu mzee prof Mlambiti kutumika kama mshauri kwa maendeleo ya nchi hii. Ninamkumbuka sana pale SUA lectures zake na vitabu vyake vya uchumi na ujasiliamali. Hongera CDM kwa kumtumia huyu mzee ni kichwa.Ratiba inaonesha hivi 5:00 kuwasili nyamalango, 5:10-5:30 ufunguzi wa kongamano na utambulisho, 5:45-6:00 uwasilishaji mada na Fred mpendazoe na prof Mlambiti. 6:30 dr Slaa, 7:00-8:00 maoni na maswali kwa Dr Slaa. Naona msafara wa magari na pipikipiki (bodaboda) unaingia viwanjani wanamsindikiza Slaa. Tayari kaishafika uwanjani.
...jiheshim mkuu...
...anadai JK ameisha enda nje ya nchi zaidi ya mara 325, na amejaribu kufwatilia kwamba izo safari hazijaleta manufaa yoyote. Anadai hatuhitaji kujadili symptoms bali root cause za maendeleo. Na hizo root cause mojawapo ni VISION, DETEMIRNATION ya wananchi wasiokuwa waoga. Serikali haina vision. Unaweza kuwa na capital, qulified labour bila kuwa na human and political will hautakuwa na matunda yoyote. Tunahitaji honest and intergrity leader. Anaongelea wale waliochafua kwenye mitandao kwamba alilala kwenye hotel na mke wake pamoja na mtoto wake wa miezi miwili kwa zaidi thamani ya shs laki 2. Anasema mchakato wa pesa CDM ni wa wazi....Anaendelea kusema ni Tanzania pekee ndio inaweza ruhusu NDEGE kutua kwenye makampuni yao ya madini bila kufuata system ya ulinzi kujua.
Naona ana vitabu mbalimbali vya uchumi anavisoma hapa mbele ya umati wa watu...amegusia juu ya JK kuhongwa suti tano ili agawe rasilimali za nchi na amekaa kimya bila kukanusha. Mkinipa uraisi naenda kuisafisha ikulu, yamkini sasa hivi anakisafisha chama. Na ndio maana anapata maadui wengi. Anadai CCM wanakurupuka kwamba nimeoa mke wa mtu, ebo kwani hakuna sheria? Hizo ni akili fupi. Mara slaa amemlipa mke wake mil 10 za kutengeneza system ya kompyuta. Anadai walioona hayo malipo walete risiti. Anadai mke wake ni mtaalamu wa kutengeneza mfumo wa kompyuta na alikuwa kiongozi wa ku-coordinate system katika nchi za kiafrika. Kama ikitokea akakisaidia chama hata akilipwa mil 20, CCM wanashikwa na kiherehere kipi? MUNGU IBARIKI AFRICA, MUNGU IBARIKI TANZANIA. Amemaliza anakaribisha maswali.

Mimi sina ukuu, halafu najua ninacho kifanya.
Unajua athari ya kumfanya mtu aonekane mwongo? Au kwako ni kawaida? Kama sipo anaposema sipo maana yake anajua aliponiacha siwezi kutoka.
...samahani kwa kukuita "mkuu"...nia yangu ili kuwa ni kujaribu kukuomba ujaribu kupunguza ukali wa maneno unayotumia ili heshima ya JF isishuke...humu JF wanapita watu wa kila aina wakubwa kwa wadogo,tukieendelea hivi itafika wakati kujitambulisha kama mwana JF itakuwa aibu,tustahimiliane,tushindane kwa hoja ili na wadogo zetu wanaopita humu wapate mazuri ya kujifunza...Mimi sina ukuu, halafu najua ninacho kifanya.
Unajua athari ya kumfanya mtu aonekane mwongo? Au kwako ni kawaida? Kama sipo anaposema sipo maana yake anajua aliponiacha siwezi kutoka.
Huu ni utoto sasaSipo uwanjani unamaanisha nini? Au meniletea mkeo home ili ani keep busy?
Chadema rocks bwana! Kwa watu wenye akili na 2liokwenda shule 2nalielewa hili,ila hv vishoko mzoba sijui vime2mwa na magamba,,m2kome!! Chadema mwili mzima!