Dr. Slaa ndani ya Manispaa ya Sumbawanga leo 1/6/2015

Dr. Slaa ndani ya Manispaa ya Sumbawanga leo 1/6/2015

Watanzania wamechoshwa na siasa za Padre Mzinifu

Pole sana mkuu, mkeo anafanya uzinzi then anakuja kukuhadithia..!! Eeeeeh, hebu twambie alizini naye kwa style gani, chuma mboga siyo??

BACK TANGANYIKA
 
Mkuu mwambie apite pande za katandala ndo home
 
dr. slaa ndio msumari dhabiti utakaochoma gurudumu la ccm na kupasuka vipande vipande.
 
Haka kazee kameshachoka mnakasumbua kugombea urais? Aachwe apumzike jamani
 
Magamba, Nape amewaambia muinamishe mitungi muue panya. Wanazidi kukitafuna chama. Kwa maana hiyo ccm ni ukoo wa panya
 
Usibishe hataki kuwa na viongo wazinzi kama slaa.kwanini hana mke
 
Mke wako wa leo alikuwa mke wa mwenzio zamani na inamaana kila mtu anaishi na mke wa mtu labda kama mke Wako ulimkuta bikira mm nawashangaa Sana mnaomlaumu dr slaa kwamba ameoa mke wa mtu wakati huo kuna watu humu ndani

Hadi wanakufa hawawajui Baba zao
 
11163934_1590898237852902_8141348461660129581_n.jpg

Kwa hisani ya Mh. Tundu Lissu ukarasa ake wa faceboo!
 
Ni kweli huyu mheshimiwa kwa upande wa siasa hafai tena awaachie akina mnyima„kafulila„mbowe, abaki kuwa mshauri wa chama tu au mnasemaje wazee
 
Back
Top Bottom