Dr Slaa ndani Kinampanda

Kumbe mkuu hivyo ni viwanja vyako????

 
singida mjini itakua lini kwa mwenye ratiba wakuu tumewamiss makamanda
 
Pamoja sana makamanda,uzeni sera na elimu ya uraia kwa mtindo uleule.
 
Kumbe mkuu hivyo ni viwanja vyako????

kamanda hapo vilikuwa viwanja vjangu miaka ya 89,90 na 2008-2010.
hapo panahitaji ukombozi lakini si watu wagumu sana ni waelewa sema walikuwa hawajaonjeshwa mapishi tofauti na ya mama.
m4c nafikiri ikifika pale itasafisha uchafu kibao.
 
DR. anawakomboa wanyiramba kwa nguvu zote.Magamba wanahaha kumnyamazisha.Big up presida, Mungu yu pamoja nawe
 
Akili zako zina alama kama avator yako so we cannot blame you hakika
 

Kweli ww unasadifu jina lako
 
Makamanda wapitishe mchango wa kumsaidia shangazi yake Mwigulu yule mwenye maradhi ya ukoma aliye telekezwa na Mwigulu pale kambi ya Sukamahela.Kijana pamoja na kujiita 1st class Economist na waziri wa fedha wa CCM bado ana mnyanyapaa shangaziye kwa maradhi ya ukoma? Kweli ana laana.
 

Kama ilivyo ID yako mnajaribu kudilute ukweli na kupandikiza fujo ili M4C isifanikiwe lakini imekula kwenu kama mweka hazina wenu ndo anasponsor show mwambie haiulizi.
 
Magwanda wamefika mkutano umeaanza
 

Aisee !!!....ana dhambi sana!
 
jamani kuna taarifa nimezipata kuhusu mkutano wa chadema iramba katika kijiji cha ndago kwamba kuna vurugu zimetokea na mpaka sasa watu wawili wamedhibitika kufariki dunia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…