Mtachemka tuu
..mmemkaribisha bundi ndani ya nyumba?mtarogeka mpaka vizazi vyenu nyie msio na fadhira wenye kuthamini mali na siyo utu...mnathubutu kumkejeli Dr.na kusahau mema yake yotee? Leo mnataka nchi hii?Loooo
Huo ni utoto, kama kweli mnamwona Dr. ni mali kiasi hicho kwanini msimchukuwe? Mimi nadhani hilo kwenu ndo bonge la goli la mkononi, kumpata Dr.Slaa, kiongozi mwadilifu mpambanaji, Mungu awape nini? Sasa kulalamikia CDM kwamba hawana akili, wamekaribisha bundi ndani, hiyo si faida kwenu? Iweje sasa mtokwe na mapovu, kutumia hela na hila za kila namna kuangaika na mtu mchafu asiye uzika, mjinga takataka kama Lowasa?
Ningekuwa mimi nishatangaza ushindi, na hata kampeini nisingepiga, za ninj kupoteza pesa wakati unayepambana naye ni kapi, mlilolikataa nyinyi waheshimiwa mliopewa haki ya kutawala, mnaojua kila jambo wengine sisi kajuha tu? Acheni kupoteza muda wenu na mali zenu kwa kuangaika na Lowasa!
Miaka 8 imepita toka ajiuzuru mmeshindwa kumtoa chamani, leo kwa utashi wake aamue kutoka ndo muanze kuvimba mshipa y shingo kumsema? MlikuwaIwapi? Acheni siasaza kitoto! Najua mna hofu, na lazima iwakae, kwani akiingia madarakani mbivu na mbichi hamtaacha kuziona, hakika ndo mtamjua ufisadi wake, nyinyi si mnatuimbia tu fisadi fisadi, yeye atawaonesha kwa vitendo! Siku zinaesabika!