Otorong'ong'o
Platinum Member
- Aug 17, 2011
- 39,447
- 29,857
Mara nyingi Dr.Slaa amekuwa anikuu maneno ya Mwalimu Nyerere, juu ya nani ni mzalendo na zaidi kwamba kiongozi wa Watanzania anapaswa kuwa awe mtu muadilifu.
Msukule ni wewe uliyeambiwa ule nyasi ila ndege ya rais inunuliwe! Huna hata aibu tumeibiwa sana sihitaji hata kurudia!
By the way wewe msukule wambie mabwana zako wakukatie kidogo za Uswsisi usogeze maisha.
Mwanzo nilikuwa siamini kuwa kweli kuna watu "wanakosa usingizi" wakilisikia tuu jina la Dr. Slaa!.
Mimi sio mwana Chadema, ila haya usemayo kama ni kweli, then ni jambo jema!. Vifaa vya hospitali popote havilipiwi ushuru!. Hivyo usisingizie kuwa eti huo ushirikiano na dini fulani ni kwa lengo la kukwepa kodi!, umenoa!.
Tatizo lako Mkuu Ritz, ni ule tuu uoga wako kuhusu "2015" kuwa "jamaa anaweza kuwa!", hivyo sasa unaanza fitna kuwa hospitali msaada huo ni kwa sababu tuu wajapani wameahidiwa kuwa "2015 atakuwa!" ndia maana wanasaidia!.
Acha uongo, fitna na majungu!. 2015 litatimia lile tuu lililoandikwa!.
Ni "liandikwalo ndilo liwalo!" na sio "lisemwalo!".
Pasco.
Ndio mana wenye akili huwezi kuta wanapigia kelele swala la cdm wanajua ni wachumia tumbo wote na wana njaa mbaya hawa jama ni kweli mtaendelea kuwa wapinzani wazuri mpaka tutapopata wapinzani wa kweli
Mi huwa nashangaa sana kila siku hapa jf nawaona wale washabiki, wapenzi na wanachama wa Chadema wamejaa chuki, jazba, matusi, maneno ya kukera, uongo na uzushi na kukosa uzalendo. Hivi hii ndiyo hali halisi ilivyo ndani ya chama chao au ni kukata tamaa?
Mara nyingi Dr.Slaa amekuwa anikuu maneno ya Mwalimu Nyerere, juu ya nani ni mzalendo na zaidi kwamba kiongozi wa Watanzania anapaswa kuwa awe mtu muadilifu.
Mara nyingi Dr.Slaa amekuwa anikuu maneno ya Mwalimu Nyerere, juu ya nani ni mzalendo na zaidi kwamba kiongozi wa Watanzania anapaswa kuwa awe mtu muadilifu.
Wanaukumbi.
Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na maendeleo Chadema, Dr. Slaa anapenda sana kujinasibisha kwamba yeye ni mzalendo wa kupindukia, anayechukia vitendo vya ufisadi na anayeionea huruma nchi yetu.
Taarifa za uhakika kabisa zinathibitisha kwamba mwishoni wa mwezi Juni, mwaka 2013 Dr.Slaa na Mchumba wake walitembelewa na kundi la Wapani wapatao 20 nyumbani kwao Mbweni, Kinondoni ambapo wote kwa pamoja walikula cha jioni.
Dhumuni la ugeni huo wa Wajapani, ilikuwa ni kuthibitisha kama kweli Chadema kina mpango wa kujenga hospitali kubwa ya kisasa katika eneo la Mlalakuwa Dar es Salaam, Wajapani hao ndiyo walipangwa au kuteuliwa kujenga hospitali hiyo, wameakikishiwa pamoja na mambo mengine ya kimaslahi yao makampuni yao mengine, kwamba msimamizi wa hospitali hiyo ndiyo atakayekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mwaka 2015, kwa maana ya Dr. Slaa.
Mipango yote ya kujenga hospitali hiyo, inaratibiwa na Askofu mmoja anayemiliki Kanisa lake maeneo ya Kawe, Dar es Salaam, Askofu huyo amekuwa akifanya safari za Japani akiwa ameandamana na mchumba wa Dr. Slaa, Josephine, mpango unafanyanyika vifaa vyote vitakavyoingizwa kutoka Japani vipitie mikononi mwa Kanisa ili tu visitozwe kodi na serikali.
Ni Dr.Slaa huyu huyu, ambaye miaka michache iliyopita alitangaza orodha ya aibu ya mafisadi pale Mwembe yanga, leo hii anawakimbia Mamlaka ya Mapato nchini TRA.
Watu walafi (selfish) huwa hawafikirii kama unavyofikiria wewe. Huoni hata mshahara wa Katibu Mkuu wa CHADEMA alijipangia kwa maslahi yake and his fragmented family.
Kwani unadhani kwa umri wake huu yuko katika siasa kama Samalitan? Thubutu.
Pesa kwanza, wananchi baadaye.
Kama anakwepa kodi ni kosa kisheria. Sasa kwanini mzalendo Ritz na wenzako msipeleke ushahidi wa ukwepaji huo kwenye vyombo vinavyohusika kama polisi.na TRA ili afunguliwe kesi?
BY THE WAY KILA MTU ANAJUA CCM MMEKUWA MKITAFUTA NJIA ZA KUWAFUNGULIA KESI KISHA KUWAFUNGA JELA VIONGOZI WAKUU WA CHADEMA KWA MUDA MREFU. USHAHIDI UPO MWINGI SANA. SASA HII SI NDIO GOLDEN OPPORTUNITY?
"Ukiwa mwongo usiwe msahaulifu!"
Mwanzo nilikuwa siamini kuwa kweli kuna watu "wanakosa usingizi" wakilisikia tuu jina la Dr. Slaa!.
Mimi sio mwana Chadema, ila haya usemayo kama ni kweli, then ni jambo jema!. Vifaa vya hospitali popote havilipiwi ushuru!. Hivyo usisingizie kuwa eti huo ushirikiano na dini fulani ni kwa lengo la kukwepa kodi!, umenoa!.
Tatizo lako Mkuu Ritz, ni ule tuu uoga wako kuhusu "2015" kuwa "jamaa anaweza kuwa!", hivyo sasa unaanza fitna kuwa hospitali msaada huo ni kwa sababu tuu wajapani wameahidiwa kuwa "2015 atakuwa!" ndia maana wanasaidia!.
Acha uongo, fitna na majungu!. 2015 litatimia lile tuu lililoandikwa!.
Ni "liandikwalo ndilo liwalo!" na sio "lisemwalo!".
Pasco.
Hakuna majungu hizo ni fikra zako subiri nikuwekee picha za mikutano.
Wajapani wamepewa ahadi nyingi tu.
Vuta subira mkuu Pasco.