Dr. Slaa na Mpenzi wake kubariki ndoa nchini Canada

sirluta

JF-Expert Member
Nov 28, 2012
6,325
2,487
Aliyekuwa katibu mkuu wa CHADEMA Dr. Wilbroad Slaa na Josephine Mushumbusi kubariki ndoa nchini Canada kabla ya sikukuu ya Pasaka itakayoadhimishwa mwishoni mwa mwezi wa tatu.

Chanzo: Gazeti
 
Wacha waendelee kutumbua fedha za watanzania kupitia ccm
 
Kwa mjibu wa kanisa katoliki la Roma Dr. Slaa hawezi kubariki wala kufunga ndoa kwa sababu zifuatazo:-
1. Kuna sacramenti saba ambazo ni:
1. Ubatizo
2. Kipaimara
3.Ekarist takatifu
4.upadri
5. Mpako wa mwisho
6.
7. Ndoa

Dr. SLaa alikura sacrament ya nne ambayo ni upadri, ukiisha kura sacrament hiyo, sacrament ya saba ambao ni ndoa siyo halali. Kwa hiyo Dr. Slaa hawezi kufunga ndoa sehemu yoyote ndani ya kanisa katoliki.
 
Kwa mjibu wa kanisa katoliki la Roma Dr. Slaa hawezi kubariki wa kufunga ndoa kwa sababu zifuatazo:-
1. Kuna sacramenti saba ambazo ni:
1. Ubatizo
2. Kipaimara
3.Ekarist takatifu
4.upadri
5. Mpako wa mwisho
6.
7. Ndoa

Dr. SLaa alikura sacrament ya nne ambayo ni upadri, ukiisha kura sacrament hiyo, sacrament ya saba ambao ni ndoa siyo halali. Kwa hiyo Dr. Slaa hawezi kufunga ndoa sehemu yoyote ndani ya kanisa katoliki.

Aisee...ya kweli haya?
 
Hizo sakrament ni mafundisho potofu yasiyokuwepo kwenye Biblia takatifu, dr yuko huru
We mbona hunaakili? Mtu amesha sema "kwa mjibu wa kanisa katoliki" kama unachuki na kanisa hilo katie moto makanisa hayo jadili maada msenz.i wewe!
 
Kwa mjibu wa kanisa katoliki la Roma Dr. Slaa hawezi kubariki wala kufunga ndoa kwa sababu zifuatazo:-
1. Kuna sacramenti saba ambazo ni:
1. Ubatizo
2. Kipaimara
3.Ekarist takatifu
4.upadri
5. Mpako wa mwisho
6.
7. Ndoa

Dr. SLaa alikura sacrament ya nne ambayo ni upadri, ukiisha kura sacrament hiyo, sacrament ya saba ambao ni ndoa siyo halali. Kwa hiyo Dr. Slaa hawezi kufunga ndoa sehemu yoyote ndani ya kanisa katoliki.

Unanipoteza mkuu......which is which......
 
Uwongo mtupu, kipa imara imeandikwa wapi ktk Biblia? Hizo ni kama sanamu tu ambazo mbele ya Mungu ni machukizo tu.
 
Back
Top Bottom