Dr. Slaa na Mnyika kuonja Segerea?

Balozi Chriss

Senior Member
Jan 21, 2011
154
0
Nyambafu wewe Mwanaharakatihuru,umetumwa nini?Nwy asante kwa kujiweka wazi jinsi ulivyo punguani wa mawazo.Kama unajielewa upo ktk Tanzania ipi basi katafute habari nyingine ya kutuhabarisha.
Usifanye hili jukwaa kama hayo magroup ya FB(Mzumbe).
 
MKANKULE

JF-Expert Member
Dec 8, 2011
420
195
tena wakipelekwa segerea ni kuwaongezea publicity hao ni watu ambao wamejitoa hata kufa kwa ajili ya haki za watu wengi hawaogopi kitu ndugu yangu. wamenifanya hata mimi nisiogope mahakama wala jela. wewe mwanaharakati gani muoga hvyo,wanaharakati ni watu majasiri na hawana hata chembe ya uoga tena jela ni rafiki yao. inawezekana hujawahi kwenda hta polisi kwasababu ya uanaharakati wako. vyo kweli
 
london

JF-Expert Member
Sep 12, 2010
221
0
Hili jeshi la polisi linatia aibu kweli ndiyo maana siku zote wanaambiwa wao hawatumii akili, wakiamrishwa tu hata jambo ambalo haliko kisheria wao wanakurupuka tu. Sasa kwanza kisa cha kutaka kuwakamata akina Mnyika na Dr. Slaa kinatokana na nini? Kwani wanatuhumiwa kwa kosa gani la kijinai? Kuuleza umma kwamba wanawindwa kutaka kuuawa? Hivi ipo sheria gani inayomlazimisha mtu ku-register tuhuma za jinai kituo cha polisi kama mwenyewe hataki kufanya hivyo? Mbona watu wengi tu wameumizwa na polisi na wengine wameuliwa ndugu zao mbona sijawahi kumsikia waziri au jeshi la polisi likiwataka hao wanaolituhumu jeshi la polisi kuua wafike kituo cha polisi kufungua kesi? Kwanza kesi zote za jinai hazifunguliwi na mtu bali zinafunguliwa na jamhuri na kwanza huwezi ukamlazimisha mtu kuwa shahidi au kutoa maelezo kama hataki, ila akikubali kutoa ushahidi au maelezo yanayohusiana na kosa la jinai atatakiwa kufika mahakamani kutoa ushahidi au km ipo sababu ya msingi ya kutofika mahakamani basi waendesha mashitaka wataiomba mahakama ipokee ushahidi wa maandishi, mahakama ikiridhia basi ushahidi unatolewa. Polisi walitakiwa kuwapuuza tu Dr. Slaa etc km hawataki kutoa ushahidi kwani itakula kwao km hawataki hao wanaowajua kupanga mipango wakawa huru uraiani. Vinginevyo sasa polisi wanataka kuwaundia kesi Dr Slaa na wenzake kesi ya uchochezi, na waseme hivyo kwamba wanawataka polisi kwa ajili ya tuhuma za uchochezi na si kuwalazimisha tu kufika kituo cha polisi bila kuelezea wanakwenda kufanya nini? Vinginevyo hawawatendei haki.
 
Mwanaharakatihuru

JF-Expert Member
Mar 21, 2012
477
0
tena wakipelekwa segerea ni kuwaongezea publicity hao ni watu ambao wamejitoa hata kufa kwa ajili ya haki za watu wengi hawaogopi kitu ndugu yangu. wamenifanya hata mimi nisiogope mahakama wala jela. wewe mwanaharakati gani muoga hvyo,wanaharakati ni watu majasiri na hawana hata chembe ya uoga tena jela ni rafiki yao. inawezekana hujawahi kwenda hta polisi kwasababu ya uanaharakati wako. vyo kweli
kiongozi segerea acha jamaa kule ni jehanamu watu wanafanya mambo ya kuchomwa moto usione misifa ya kwenda huko unaweza ukarudi huku kwisha kabisa
 
Doreen22

JF-Expert Member
Jun 2, 2012
473
0
Wananchi hawajalala babu!
Muda wowote kuanzia leo dr slaa na John Mnyika watajikuta ndani ya sege dansi kwa kudharau mamlaka halali ya jeshi la polisi na Kwasasa wanasakwa vijana kazi wameingia mtaani.

Kulikuwa na ubishi wakamatwe lini ikaonekana ijumaa ndio. Siku nzuri kwani jamaa watajiju hadi juma tatu
 
FUSO

JF-Expert Member
Nov 19, 2010
24,332
2,000

wawe na busara segelea wanaishi nyani au kima? kama segelea wanapelekwa binadamu wenye tuhumu mbalimbali why not Dr. Slaa au mnyika. Kama Nelson Mandela alikaa Lupango miaka yote ya ujana wake why not Mnyika?

Serikali inayofirisika huwa inatengeneza vitu kama hivi ili kuwaogopesha wanaopigania haki - katika ukombozi wa kweli wa taifa lolote lile duniani lazima kuwepo watu watakao kuwa MBUZI WA KAFARA....ili wanaobaki wafaidi matunda.

Unapokuwa na taifa ambalo linadharau Elimu na Afya - basi ujue taifa mfu. taifa ombaomba ndo tulipofika -
 
Doreen22

JF-Expert Member
Jun 2, 2012
473
0
Wananchi hawajalala Mheshimiwa!
Muda wowote kuanzia leo dr slaa na John Mnyika watajikuta ndani ya sege dansi kwa kudharau mamlaka halali ya jeshi la polisi na Kwasasa wanasakwa vijana kazi wameingia mtaani.

Kulikuwa na ubishi wakamatwe lini ikaonekana ijumaa ndio. Siku nzuri kwani jamaa watajiju hadi juma tatu
 
Doreen22

JF-Expert Member
Jun 2, 2012
473
0
Kwanini mnalizungumzia gereza kama sehemu sijui ya wapi, utafikiri iko mwezini, kama gereza limefunga au limemuweka kizuizini mtu asiye na hatia ya kweli, si Wananchi walivunje, wabomoe kabisa, huyo mtu atolewe, awe huru
kiongozi segerea acha jamaa kule ni jehanamu watu wanafanya mambo ya kuchomwa moto usione misifa ya kwenda huko unaweza ukarudi huku kwisha kabisa
 
Najijua

JF-Expert Member
Nov 5, 2010
1,039
1,250
Kama hawajui ndio watakuwa wanakuwa Catalyst ya wananchi kudai haki zao kwa nguvu
 
Mwanaharakatihuru

JF-Expert Member
Mar 21, 2012
477
0
Kama hawajui ndio watakuwa wanakuwa Catalyst ya wananchi kudai haki zao kwa nguvu
Mkuu hayo yanawezekana libya sio tanzania kila mtu na mambo yake chezea maji washa washa na risasi wewe mmefanya nini dr ulimboka alipo pigwa nusu kuffa hakuna kitu tz kila mtu kivyake
 
Doreen22

JF-Expert Member
Jun 2, 2012
473
0
Kwani kuna kazi gani kuagiza zana, wakishika silaha, na sisi tunazakwetu, mbona majambazi wanawapa jambajamba wakiwa nao kwenye mapambano na huwa wanakuwa wachache!
Mkuu hayo yanawezekana libya sio tanzania kila mtu na mambo yake chezea maji washa washa na risasi wewe mmefanya nini dr ulimboka alipo pigwa nusu kuffa hakuna kitu tz kila mtu kivyake
 
Doreen22

JF-Expert Member
Jun 2, 2012
473
0
Kwani kuna kazi gani kuagiza zana, wakishika silaha, na sisi tuna za kwetu, mbona majambazi wanawapa jambajamba wakiwa nao kwenye mapambano na huwa wanakuwa wachache!
Mkuu hayo yanawezekana libya sio tanzania kila mtu na mambo yake chezea maji washa washa na risasi wewe mmefanya nini dr ulimboka alipo pigwa nusu kuffa hakuna kitu tz kila mtu kivyake
 
jogi

JF-Expert Member
Sep 25, 2010
25,589
2,000
Sasa ndio watajua maana ya neno dhaifu vizuri

RichardBrunwick
26 January 2012 2:33PM
Tanzania's Kikwete is one of the most pathetic African leaders of our times. He is a peacetime leader for a country known to be one of the richest in the world in terms of natural resources, yet he leades the world with begging. Foreign companies have known Tanzania to be a free land in which you can go in and take all you can without being asked a question. I really don't get the mind set of its leaders especially their prsident Mr. Kikwete, a Muzungu worshiper. Having worked with the UNDP in that country for 8 years, I realized how inneficient and corrupt the country's leadership is. His ministers that requested bribes from BAE have never been tried despite the damning evidence against them. British TAX payers must stop funding this man's corruptin and foreign trips. His human rights record is horrible. Mr. Kikwete had no business of going to Davos to ask for foreign aid. Already his country is the world third leading foreign Aid dependant nation. He should be embarassed to say to the world that people are poor. His people living "hand to mouth " is his own is own ignorance and stupidity.That is hiw own problem, Brits are having their own problems he must realize that. We cant bankroll his foreign trips. He should make good use of his country's wealth. Instead of letting his corrupt officials and foreigners loot his country, he needs to think before letting himself be a global loughing stock. I read in one of the regional (kenyan) publication the mockery nature related to his frequent foreign trips. Palestinian, Haiti, Lebanon, Somalia and even Rwanda economies are more robust that of Tanzania. We must question the nations that welcomes this "Joker's" request for AID. He needs to be on a "no-fly" list so he can be serious. Hopefully the billionaires questions what he has done with the Money he has received for decades. The Arab spring should turn into the African summer and get rid of the Kikwete likes

Recommend (58)
Responses (1)
Report
Link LindaCroucher
26 January 2012 3:50PM
Response to RichardBrunwick, 26 January 2012 2:33PM
This man did not deserve to be a head of state. He has no credibility. How can a head of state be bribed suits? We must write Downing Street and our parliament, and let them know that Aid to some of these african countries ought to STOP. nyerere the founding president of tanzania was a visionary even though his socialist policies failed, but he was a nationalist and a true patriot.
Kenya, Rwanda, Ghana have seen far and are on the roll to economic dependence. Kikwete, and his chrony of rulling elites getting richer and richer. These people have no electricity yet the country has so many dams and rivers. There should be a policy to bar all corrupt leaders and their children from stepping into the EU.
I dont blame Kikwete, i blame Tanzaians for letting this happen. They should be 100% responsible for their poverty and suffering. We just dont need them to come for Aid. We have many Brits out of work, and that money should pay for their Unemployment Benefit

Recommend (11)
Responses (0)
Report
Link LindaCroucher
26 January 2012 4:01PM
African problem is more than foreign aid. They are not ready for economic transformation. In Tanznaia today, they have started the leadership inheritance in which the old guards passess on the torch to their children. we should not expect anything serious from African nations. If it means our money, lets cut it off. We have so many social problems to deal with people's own created misery
because they will never have free elections without someone stffing ballot boxes and ready to let the whole country in flames as long as they remain in power and their children in top american and british schools
 
Daudi Mchambuzi

JF-Expert Member
Nov 25, 2010
54,836
2,000
Muda wowote kuanzia leo dr slaa na John Mnyika watajikuta ndani ya sege dansi kwa kudharau mamlaka halali ya jeshi la polisi na Kwasasa wanasakwa vijana kazi wameingia mtaani. Kulikuwa na ubishi wakamatwe lini ikaonekana ijumaa ndio. Siku nzuri kwani jamaa watajiju hadi juma tatu

mkuu unaagopa sana segerea??
Hata layman anajua hakuna sheria inayoweza kutumika kuwakamata watu hawa ili hali iyo unayoisema ina amri ya jeshi hata ukitumia akili ya darasa la nne utagundua kwamba it was merely statement iliyotolewa na nchimbi na hao viongozi wa jeshi.
Pia hata kama jeshi lingekuwa na mamlaka ya kuwa apprehend wanasiasa hawa basi hii ingekuwa ni fursa ya pekee ya kuendeleza harakati za M4C huko magereza na ingempa Mnyika fursa ya kujua matatizo ya mahabusu na wafungwa na kuyawasilisha bungeni kiuhalisia.
Usiwe muoga. A coward is a liar shakespeare wrote a poem.
 
Gurtu

JF-Expert Member
May 15, 2010
1,236
1,500
Muda wowote kuanzia leo dr slaa na John Mnyika watajikuta ndani ya sege dansi kwa kudharau mamlaka halali ya jeshi la polisi na Kwasasa wanasakwa vijana kazi wameingia mtaani.

Kulikuwa na ubishi wakamatwe lini ikaonekana ijumaa ndio. Siku nzuri kwani jamaa watajiju hadi juma tatu

Kwa kweli kama serikali ya Tanzania imefikia hatua ya kufanya unayoyaandika, basi serikali ya namna hiyo imefikia kilele cha uwendawazimu. Ni serikali gani ambayo haiwezi kuwakamata wezi ( mfano wezi wa EPA), haiwezi kuwakamata wanasafirisha binadamu wenzao (rejea Waethiopia waliokufa hivi karibuni), nk. Wakati inashindwa kakamata watuhumiwa wanaohusika na niliyoyataja hapo juu, inajipa ujasiri wa kuwakamata viongozi wa kisiasa wenye nyadhifa na hadhi zao mbele ya jamii badala ya kuwaita mahakamani. Nadhani uwendawazimu wa kiwango hiki unapatikana tu Tanzania.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom