Nimemsikiliza Makonda na Heche mdahalo Ch 10. Makonda katoa hoja ya kuwa mawaziri waliojiuzulu kwa madhila ya operesheni tokomeza wetufundisha
Wanasiasa kujifunza kuwajibika inapotokea matatizo kwenye shughuli tumazozisimia.... Huu ni ukiri mzuri...
Kisha akaendelea kwa kutoa wito kwa Dr. Slaa(Mzee wa Gongo) na Freeman Mbowe(Mzee wa Nyumba ndogo) wawajibike kwa mauaji yaliyofanyika chini ya OP M4C!
Mod, thread yangu ya kwanza mmeiondoa pls hii iachani. It is not fair kuondoa kwa kupendelea magwanda!
Ni kweli kabisa, M4C nayo imeua watu sana ile.

Huu ni wenda wazimu wa Makonda hivi mwenye jukumu la kutoa ulinzi kwenye mikusanyiko kama mikutano ni Slaa na Mbowe nilifikiri waambie ma Rpc na wenyeviti wa kamati za ulinzi za mikoa wawajibike kwa kujiuzulu aelewe kazi ya chama nikutoa taarifa ya mikutano police basi aweke ukilaza wake huko.Nimemsikiliza Makonda na Heche mdahalo Ch 10. Makonda katoa hoja ya kuwa mawaziri waliojiuzulu kwa madhila ya operesheni tokomeza wetufundisha
Wanasiasa kujifunza kuwajibika inapotokea matatizo kwenye shughuli tumazozisimia.... Huu ni ukiri mzuri...
Kisha akaendelea kwa kutoa wito kwa Dr. Slaa(Mzee wa Gongo) na Freeman Mbowe(Mzee wa Nyumba ndogo) wawajibike kwa mauaji yaliyofanyika chini ya OP M4C!
Mod, thread yangu ya kwanza mmeiondoa pls hii iachani. It is not fair kuondoa kwa kupendelea magwanda!
Acha mambo yako wewe, M4C imeua watu wengi sana, naungana na Makonda kwa huyu jamaa wa DUBAI na mshirika wake wote wazee wa chini waige mfano wa mawaziri waliojiuzulu