Dr. Slaa na Mbowe wajibikeni mauaji M4C: Makonda

ACHEBE

JF-Expert Member
Mar 14, 2008
348
0
Nimemsikiliza Makonda na Heche mdahalo Ch 10. Makonda katoa hoja ya kuwa mawaziri waliojiuzulu kwa madhila ya operesheni tokomeza wetufundisha
Wanasiasa kujifunza kuwajibika inapotokea matatizo kwenye shughuli tumazozisimia.... Huu ni ukiri mzuri...

Kisha akaendelea kwa kutoa wito kwa Dr. Slaa(Mzee wa Gongo) na Freeman Mbowe(Mzee wa Nyumba ndogo) wawajibike kwa mauaji yaliyofanyika chini ya OP M4C!
 
thatha

JF-Expert Member
Apr 29, 2011
15,342
2,000

Mod, thread yangu ya kwanza mmeiondoa pls hii iachani. It is not fair kuondoa kwa kupendelea magwanda!

Ni kweli kabisa, M4C nayo imeua watu sana ile.
 
Dec 11, 2010
3,322
0
Naona umehangaika sana kuanzisha thread tangu asubuhi baada ya kipindi. kwa kuwa huna unalolijua juu ya mauwaji yaliyotokea kwenye M4C pata dondoo zikusaidie kidogo.

1. M4C ya Morogoro aliuwawa kijana muuza magazeti mwenyeji wa Muheza mkoani Tanga, alikuwa anaitwa Ally Zona. Huyu alikutwa na tundu la risasi kisogoni, aliuwawa na polisi. Polisi ndio walirusha risasi ikamuuwa akiwa kwenye shughuli zake za kuuza magazeti baada ya Polisi kutaka kusambaratisha maandamano ya Chadema.

2. Mwandishi wa habari Daud Mwangosi aliuwawa mbele ya Inspector Kamuhanda, polisi walikuwa wanasambaratisha kikao cha ndani cha ufunguzi wa tawi kijiji cha Nyololo mkoani Iringa. baadae aliyekuwa waziri wa ulinzi na usalama akasema bomu lililofyatulia bila weledi ndio lilisambaratisha tumbo la Mwangosi na kusababisha kifo chake.

Baadae mwenyekiti wa ccm (JK) akiwahutubia wajumbe wa kamati kuu mkoani Dodoma akasema "...Na nyinyi acheni kuwatumia polisi kudhibiti nguvu ya upinzani fanyeni mikutano mjibu hoja zao..."

Unaweza kuhangaisha ubongo wako kidogo kwa kuchambua mantiki ya ulichokiandika halafu ujione kama miaka minne ya supplementary zisizoisha pale Muccobs kama una sifa ya kuwa GT.
 
MOSSAD II

JF-Expert Member
Apr 14, 2013
3,972
1,195
Nimemsikiliza Makonda na Heche mdahalo Ch 10. Makonda katoa hoja ya kuwa mawaziri waliojiuzulu kwa madhila ya operesheni tokomeza wetufundisha
Wanasiasa kujifunza kuwajibika inapotokea matatizo kwenye shughuli tumazozisimia.... Huu ni ukiri mzuri...

Kisha akaendelea kwa kutoa wito kwa Dr. Slaa(Mzee wa Gongo) na Freeman Mbowe(Mzee wa Nyumba ndogo) wawajibike kwa mauaji yaliyofanyika chini ya OP M4C!

Mod, thread yangu ya kwanza mmeiondoa pls hii iachani. It is not fair kuondoa kwa kupendelea magwanda!

kwa nini wasijiuzulu kikwete, pinda na kinana maana sera zao za ccm ndiyo zimesababisha watu wasio na hatia wapigwe tu na kuuawa kwenye oparesheni tokomeza majangili?
 
MOSSAD II

JF-Expert Member
Apr 14, 2013
3,972
1,195
Nimemsikiliza Makonda na Heche mdahalo Ch 10. Makonda katoa hoja ya kuwa mawaziri waliojiuzulu kwa madhila ya operesheni tokomeza wetufundisha
Wanasiasa kujifunza kuwajibika inapotokea matatizo kwenye shughuli tumazozisimia.... Huu ni ukiri mzuri...

Kisha akaendelea kwa kutoa wito kwa Dr. Slaa(Mzee wa Gongo) na Freeman Mbowe(Mzee wa Nyumba ndogo) wawajibike kwa mauaji yaliyofanyika chini ya OP M4C!

Mod, thread yangu ya kwanza mmeiondoa pls hii iachani. It is not fair kuondoa kwa kupendelea magwanda!

sasa kwa nini wasijiuzulu kikwete, pinda na kinana maana sera zao za ccm ndiyo zimesababisha watu wasio na hatia wapigwe tu na kuuawa kwenye oparesheni tokomeza majangili?
 
jogi

JF-Expert Member
Sep 25, 2010
25,614
2,000
Yaani mizunguko yooote wanamsaka kamanda Mbowe na Dr. Slaa. mpaka sasa ccm haijui ni nini kinaifelisha.
 
Mr Dhaifu

JF-Expert Member
Jul 14, 2012
774
250
Nimemsikiliza Makonda na Heche mdahalo Ch 10. Makonda katoa hoja ya kuwa mawaziri waliojiuzulu kwa madhila ya operesheni tokomeza wetufundisha
Wanasiasa kujifunza kuwajibika inapotokea matatizo kwenye shughuli tumazozisimia.... Huu ni ukiri mzuri...

Kisha akaendelea kwa kutoa wito kwa Dr. Slaa(Mzee wa Gongo) na Freeman Mbowe(Mzee wa Nyumba ndogo) wawajibike kwa mauaji yaliyofanyika chini ya OP M4C!

Mod, thread yangu ya kwanza mmeiondoa pls hii iachani. It is not fair kuondoa kwa kupendelea magwanda!
Huu ni wenda wazimu wa Makonda hivi mwenye jukumu la kutoa ulinzi kwenye mikusanyiko kama mikutano ni Slaa na Mbowe nilifikiri waambie ma Rpc na wenyeviti wa kamati za ulinzi za mikoa wawajibike kwa kujiuzulu aelewe kazi ya chama nikutoa taarifa ya mikutano police basi aweke ukilaza wake huko.
 
Benaire

JF-Expert Member
Dec 13, 2011
1,957
1,500
Dr.Slaa na Mbowe ni viongozi wa CHADEMA......Kama hao waliouawa wamepigwa au kuteswa na wanachadema kutokana maagizo mazuri au mabaya ya viongozi hao basi wawajibike!
HII HAIPISHANI NA KUSEMA KWENYE OPERESHENI TOKOMEZA KWA KUWA HADI NG'OMBE WALIUAWA,BASI WACHUNGA NG'OMBE WOTE WAWAJIBIKE WAKATI WALIOTEKELEZA AMRI NI WENGINE.
 
JERUSALEMU

JF-Expert Member
Sep 19, 2012
2,939
2,000
UKIWA CCM UNA KAZI! lazima elimu yako uweke pembeni na ujifunze kusema usicho amini au kilicho sasahihi.unakuwa mtumwa wa zama mpya.kwahiyo Makonda anamini wale mawaziri wamejiondoa wenyewe? IMEBIDI WAFUKUZWE TENA BILA HURUMA UPEPO NDANI YA CHAMA CHENU UNAVUMA VIBAYA.
 
Hakikwanza

JF-Expert Member
Dec 11, 2010
4,021
2,000
Mtu mwenyewe anaitwa makonda, kweli star tv wamepoteza muda hewani kumwita huyo bweghe
 
m4cjb

JF-Expert Member
Jul 23, 2012
7,374
2,000
Acha mambo yako wewe, M4C imeua watu wengi sana, naungana na Makonda kwa huyu jamaa wa DUBAI na mshirika wake wote wazee wa chini waige mfano wa mawaziri waliojiuzulu

Mumeishiwa hoja mmeamua kuja ni visiasa vyenu vyepesi kama hivi? mliwatuma policcm waue then mje na uharo kama huu? Nchimbi,Mwigule,IGP na Kamuhanda walitakiwa kuwa wamefukuzwa kitambo kwa mauaji waliyofanya.Damu za waliouawa zitawaandama popote na zimeshaanza na Nchimbi!
 
Maseto

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
913
500
nimekuwa nikisema kuwa kuna aina nyingi za kuomba;kwa kulala kama marehemu Matonya,kwa kupita kwa mkongojo kwa kuigiza kama kipofu na hii njia anayotumia Makonda.
Makonda anaomba cheo kwa CCM
 
MCHUMIPESA

JF-Expert Member
Mar 11, 2012
2,090
0
Nimemsikiliza Makonda na Heche mdahalo Ch 10. Makonda katoa hoja ya kuwa mawaziri waliojiuzulu kwa madhila ya operesheni tokomeza wetufundisha
Wanasiasa kujifunza kuwajibika inapotokea matatizo kwenye shughuli tumazozisimia.... Huu ni ukiri mzuri...

Kisha akaendelea kwa kutoa wito kwa Dr. Slaa(Mzee wa Gongo) na Freeman Mbowe(Mzee wa Nyumba ndogo) wawajibike kwa mauaji yaliyofanyika chini ya OP M4C!

Mod, thread yangu ya kwanza mmeiondoa pls hii iachani. It is not fair kuondoa kwa kupendelea magwanda!

vijana wa ccm mmelaaniwa!!!!! Yaani hamtumii akili kufikiri zaid ya kkurupuka ndo maana nchi yetu inazidi kuwa maskini sku had sku kisa haya manyang'au ccm kuwa mambumbumbu! Sasa embu tuambie M4C iliuaje watu?? Uvccm ni sawa na genge la wahuni flani linaloongozwa na kibaka mropokaji makooonda
 
MCHUMIPESA

JF-Expert Member
Mar 11, 2012
2,090
0
tatizo vijana wengi wa ccm hasa hawa uvccm wanallaaaana,ni sawa na genge la wahuni linaloongozwa na kibaka makooonda,huyu jamaa n mropokaji na hana hata point ya kumsikiliza zaid ya mipasho! Tusitegemee kupata maendeleo TZ kwa viongozi vilaza aka waropokaji wasiotumia akili kufikir n nn cha kuongea.ccm na waropokaji wakubwa na ni matapeli wakuogopwa!
 
Hebie

JF-Expert Member
Jul 29, 2012
1,347
2,000
Nimemsikiliza Makonda na Heche mdahalo Ch 10. Makonda katoa hoja ya kuwa mawaziri waliojiuzulu kwa madhila ya operesheni tokomeza wetufundisha
Wanasiasa kujifunza kuwajibika inapotokea matatizo kwenye shughuli tumazozisimia.... Huu ni ukiri mzuri...

Kisha akaendelea kwa kutoa wito kwa Dr. Slaa(Mzee wa Gongo) na Freeman Mbowe(Mzee wa Nyumba ndogo) wawajibike kwa mauaji yaliyofanyika chini ya OP M4C!

Mod, thread yangu ya kwanza mmeiondoa pls hii iachani. It is not fair kuondoa kwa kupendelea magwanda!

Mv islanders maelfu walikufa nani alijiudhuru? matokeo ya form 4 mwaka jana nani alijiudhuru? mgomo wa madaktar watu walikufa nani alijiudhuru? mabom mbagala,g/mboto nani alijiudhuru? kwa nini usianzie kwa hao watawala ndy wawe mfano? CCM WIZI MTUPU.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom