Dr. Slaa na Mbowe wajibikeni mauaji M4C: Makonda

Kweli nimeamini kazi ya KICHWA siyo kufugia nywele peke yake,kama ndani ya KICHWA kupo wazi,umeshindwa kufikili hata kwa kutumia MASABULI.Kumbe Serikali yenu ya MaCCM,inaongozwa na kina W.SILAA?ndoo maana hata majeshi yote yanawasikiliza wao,hata Opresheni tokomeza maWAZIRI ilitolewa na SLAA na MBOWE.
 
Naona umehangaika sana kuanzisha thread tangu asubuhi baada ya kipindi. kwa kuwa huna unalolijua juu ya mauwaji yaliyotokea kwenye M4C pata dondoo zikusaidie kidogo.

1. M4C ya Morogoro aliuwawa kijana muuza magazeti mwenyeji wa Muheza mkoani Tanga, alikuwa anaitwa Ally Zona. Huyu alikutwa na tundu la risasi kisogoni, aliuwawa na polisi. Polisi ndio walirusha risasi ikamuuwa akiwa kwenye shughuli zake za kuuza magazeti baada ya Polisi kutaka kusambaratisha maandamano ya Chadema.

2. Mwandishi wa habari Daud Mwangosi aliuwawa mbele ya Inspector Kamuhanda, polisi walikuwa wanasambaratisha kikao cha ndani cha ufunguzi wa tawi kijiji cha Nyololo mkoani Iringa. baadae aliyekuwa waziri wa ulinzi na usalama akasema bomu lililofyatulia bila weledi ndio lilisambaratisha tumbo la Mwangosi na kusababisha kifo chake.

Baadae mwenyekiti wa ccm (JK) akiwahutubia wajumbe wa kamati kuu mkoani Dodoma akasema "...Na nyinyi acheni kuwatumia polisi kudhibiti nguvu ya upinzani fanyeni mikutano mjibu hoja zao..."

Unaweza kuhangaisha ubongo wako kidogo kwa kuchambua mantiki ya ulichokiandika halafu ujione kama miaka minne ya supplementary zisizoisha pale Muccobs kama una sifa ya kuwa GT.

Bravo comrade. You deserve to be a great thinker. Ulichoandika umeshusha hasira zangu maana mleta uzi sidhani kama hajui ni nani anapaswa kuwajibika kwenye mauaji yote bali anataka kuuza kejeli na matusi ndio maana kwenye mabano anaangaika kuandika mambo ya ajabu na kama anajtambua afadali asahihishe uzi wake maana kuna wengine watshindwa kuchangia kwa kuhofia kuwa associated with someone who thinks low
 
Hoja za Heche hazija niingia akilini!Kama ni huluma hakuna mtanzania anaependa kuona mtanzania mwenzie anapoteza maisha katika hali kama hiyo. Lakini yy ameona nihoja pekee ya kuikandamiza serikali!
 
Naona umehangaika sana kuanzisha thread tangu asubuhi baada ya kipindi. kwa kuwa huna unalolijua juu ya mauwaji yaliyotokea kwenye M4C pata dondoo zikusaidie kidogo.

1. M4C ya Morogoro aliuwawa kijana muuza magazeti mwenyeji wa Muheza mkoani Tanga, alikuwa anaitwa Ally Zona. Huyu alikutwa na tundu la risasi kisogoni, aliuwawa na polisi. Polisi ndio walirusha risasi ikamuuwa akiwa kwenye shughuli zake za kuuza magazeti baada ya Polisi kutaka kusambaratisha maandamano ya Chadema.

2. Mwandishi wa habari Daud Mwangosi aliuwawa mbele ya Inspector Kamuhanda, polisi walikuwa wanasambaratisha kikao cha ndani cha ufunguzi wa tawi kijiji cha Nyololo mkoani Iringa. baadae aliyekuwa waziri wa ulinzi na usalama akasema bomu lililofyatulia bila weledi ndio lilisambaratisha tumbo la Mwangosi na kusababisha kifo chake.

Baadae mwenyekiti wa ccm (JK) akiwahutubia wajumbe wa kamati kuu mkoani Dodoma akasema "...Na nyinyi acheni kuwatumia polisi kudhibiti nguvu ya upinzani fanyeni mikutano mjibu hoja zao..."

Unaweza kuhangaisha ubongo wako kidogo kwa kuchambua mantiki ya ulichokiandika halafu ujione kama miaka minne ya supplementary zisizoisha pale Muccobs kama una sifa ya kuwa GT.

Mkuu huna haja ya kuandika haya yote kwani yanajulikana jamaa kaandika propaganda inatakiwa ajibiwe kwa propaganda. Mwambie aweke picha kama anaweza ndiyo utajua Umburula wake.
 
Makonda leo nimejua wewe ni kapi.

Ulirudiarudia masomo Muccobs kwa sababu ya uelewa mdogo. Halafu leo unakuja na mawazo mgando ya kutoona ukatili wa serikali dhidi ya wananchi.
 
Imekaa vizuri maana naona zile pumba zimeanza kupungua kwenye jamvi. Amebaki huyu gamba mtoto asiyejua baba yake. Nenda kawaulize vizuri gamba wenzako akina ritz,simiyu,hammy, faiza na waume zenu ni nani muuaji na sababu gani wameua
 
Sijawai kuona wapuuzi kama Vijana wa BAVICHA kwani hawanaga point za kusema zaidi ya kutukana na kulalamika tu bila hoja za Msingi nandomaana mmekuwa mkiuwa Raia wasio na hatia ktk M4C yenu ile nandomaana tunasema Hao viongozi wenu wachumia Tumbo na Matapeli wawajibike sasa kama kweli wanajua na wana Democrasia yakweli, Manake CCM kazi yetu ni Kuwafundisha Democrasia yakweli na Siasa sio Propaganda za CHADOMO.
 
Kuuwa wauwe akina kamuhanda et al. Kijiuzuru wajiuzuru akina slaa!

Haya ni majanga kweli!!
Mleta mada ni hayuko na fahamu anaingiza tu maada na kujustfy kivyake. Hili ni Tatizo la vibarua wa CCM na washirika wao wanatumika tu kama hawana fahamu. Hii ni sawa na misukule kwani inafungiwa ndani na kuvuviwa uchawi ndo wanakaatu kufanya shughuli za anayemiwamiliki. Hata kama hujua hujuma zote zilizofanywa na CCM kupitia Mwigulu, Nchimbi, Polisi, Usalama wa Taifa na wasaliti wa Chadema kuuwa na kutesa raia na mwishowe wanasingizia ni Chadema. Inaumiza mtu yeyete hata kama ni muumini wa ccm, mfano mzuri ni kauli Lukuvu bungeni, Pinda, Mwigulu na wanaotoa shuhuda mbalimbali za kuteswa ili wawataje Mbowe/Slaa/lema kuhusika na hujuma walizofanya hawa washenz. Hebu waza koote kila anayeitakia mabaya Chadema hawawataki Dr. Slaa, wala mbowe na mnaleta maada mufilisi za kuhadaa uma ili mradi tu muone reputation zao zinashuka. Mnajua kwa nini mnawaandama hawa ni kwa sababu mmefika mwisho wa udhalimu na kuwanunua hamuwezi mnapost vimaada vya kijingakijinga ilimradi mnewataja negatively. Kuna viongozi wachafu kama CCm kuanzia mwenyekiti mpaka vitendaji vidogo vidogo? Muulize mwenyekiti idadi ya wake na vimada achilia mbali aliokwishazaa nao? Maisha ya mtu yaache yawe yalivyo ilimradi anatenda vyema kwa taifa lake.
Ifike mahali tuwe na uwezo wa kusimamia ukweli na haki na sio kama misukule,. Watu wanauliwa na kuteswa kwa mipango yenu ccm mnasingizia Mbowe na Slaa. Mfano mwingine ni yule kijana wa Arusha aliyekamatwa na kuteswa sana ili amtaje Lema kuwa ndiye aliyehusika na kulipua mabomu Kanisani Olasit na Mkutano wa Chadema andali CCM ikiongozwa na Mwigulu ndo iliyohusika kwa asilimia mia. Yaani Inaumiz sana kijana anateswa ili asimamie uongo huu. Hata kama wewe ni shetani utafika mahali unakuwa na huruma.
 
Sijawai kuona wapuuzi kama Vijana wa BAVICHA kwani hawanaga point za kusema zaidi ya kutukana na kulalamika tu bila hoja za Msingi nandomaana mmekuwa mkiuwa Raia wasio na hatia ktk M4C yenu ile nandomaana tunasema Hao viongozi wenu wachumia Tumbo na Matapeli wawajibike sasa kama kweli wanajua na wana Democrasia yakweli, Manake CCM kazi yetu ni Kuwafundisha Democrasia yakweli na Siasa sio Propaganda za CHADOMO.
Mnaochumua tumbo ni ninyi mnaosimamia upuuzi na ushenzi.Kuandamana ni kudai haki na ni haki ya kila Mtanzania, Kinachowawasha nini kuhujumu maandamano, mikutano na vikao manpiga mabomu watu wasio na silha? huu ni uoga wa kifisi. Anaye takuwa kuwajibika ni aliyeamuru polisi wafyatue risasi na mabomu. Hampati usingizi mnahaha CHADEMA wakishika dola hana pa kukimbilia mnatumia mbinu na hoja mufilisi na mapandikizi kama zityo ili mradi mdhoofishe harakati. kipindi hiki hamchomoki hata mkiweka maskani kuzimu kama mlivyozoea. Jeshi la polisi, CCM mkiongoza na kikosi cha mauaji Mwigulu Nchemba, Msaidizi wake Lukuzi na Emmanuel nchimbi ndo mnaliteketeza taifa. Woga wenu unamaliza rtoho zisizo na hatia sasa mahangaika kutafuta viongozi wa Chadema!! Mkafie mbali wehu ninyi!!
 
Nimemsikiliza Makonda na Heche mdahalo Ch 10. Makonda katoa hoja ya kuwa mawaziri waliojiuzulu kwa madhila ya operesheni tokomeza wetufundisha
Wanasiasa kujifunza kuwajibika inapotokea matatizo kwenye shughuli tumazozisimia.... Huu ni ukiri mzuri...

Kisha akaendelea kwa kutoa wito kwa Dr. Slaa(Mzee wa Gongo) na Freeman Mbowe(Mzee wa Nyumba ndogo) wawajibike kwa mauaji yaliyofanyika chini ya OP M4C!
waliouwawa kwenye M4C walioua na waliowatuma kuua wanajulikana serikali iwachukulie hatua
 
Na hii thread uhai wake ni mfupi na itakndolewa tu
...Hizi huwa haziwasumbui Mods ila Zinazomsema MM, unajua ni ngapi leo zilizofungwa au kuwa moved halafu closed immediately?
Hata ile waliyomjibu Kubenea waliiclose immediately baada ya kuijibu hawakutaka tuchangie. - Sijui waliogopa nini maana kwa maoni yangu majibu ya M. Mello yalikuwa mazuri na nadhani kama alikuwa mkweli hakukuwa na sababu ya kuzuia watu kuchangia aidha kwa kumkosoa au kumsupport maana hili ni jukwaa linalotaka watu wafikiri na wachambue ili kupata ukweli kwa uhuru kabisa. Kujieleza halafu ghafla unaclose discussion kunatufanya wengine tutafakari mara mbili ukweli wa maelezo uliyotoa hata kama yanatu-convice.
 
Mnaochumua tumbo ni ninyi mnaosimamia upuuzi na ushenzi.Kuandamana ni kudai haki na ni haki ya kila Mtanzania, Kinachowawasha nini kuhujumu maandamano, mikutano na vikao manpiga mabomu watu wasio na silha? huu ni uoga wa kifisi. Anaye takuwa kuwajibika ni aliyeamuru polisi wafyatue risasi na mabomu. Hampati usingizi mnahaha CHADEMA wakishika dola hana pa kukimbilia mnatumia mbinu na hoja mufilisi na mapandikizi kama zityo ili mradi mdhoofishe harakati. kipindi hiki hamchomoki hata mkiweka maskani kuzimu kama mlivyozoea. Jeshi la polisi, CCM mkiongoza na kikosi cha mauaji Mwigulu Nchemba, Msaidizi wake Lukuzi na Emmanuel nchimbi ndo mnaliteketeza taifa. Woga wenu unamaliza rtoho zisizo na hatia sasa mahangaika kutafuta viongozi wa Chadema!! Mkafie mbali wehu ninyi!!

Lazima Mbowe na Slaa wawjibike kwa M4C maana wamehamasisha watu wasitii sheria, Makengeza aliwahi kutangaza Siku ya kutotii sheria Tanzania,(Civil disobediance day) polisi kazi yao ni kudhibiti uvunjifu wa sheria, na wewe unavyotokwa povu na chuki yako dhidi ya polisi ni ujinga tu unaokusumbua, we unadhani kama hiyo chagadema yako ikichukua nchi ndio haitakuwa na askari? Nao wataitii serikali iliyopo madarakani, japo ni ndoto za mchana kwa chadema kushika dola.
 
5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom