Ni kweli dr Slaa kafichua ufisadi lakini nadhani siyo peke yake. Tofauti tu ni kwamba yeye alizua moto bungeni na kwenye mikutano ya hadhara. Ukisoma magazeti, ukinukuu thread nyingi hapa JF hasa za MM utakubali kwamba siyo dr Slaa peke yake. Wote wapewe sifa
dr slaa anaongoza na kuwakilisha kundi lililo ndani ya system (dola) na nje ya system (umma mzima) kueleza yale yasiyobeba tunu za taifa....
haifurahishi hata kidogo ukiambiwa mtaa mzima watoto wamefeli eti wako ndiyo amefaulu...
inauma pia unapona majirani kutwa washinda kwako kuomba hela za matibabu....
na huwezi kuwanyima, maana ndio hao tunaokula nao, tunaosherehekea nao, tunaozikana nao...watoto wao ndiyo wanacheza na watoto wetu muda mwingi ambapo hatupo nyumbani, ndio wanaotuazima dada zao watulelee watoto wetu.....ndio watakuwa wakwe zetu...ndio wanaoamulia kesi zetu za ndoa wake zetu wanapotutuhumu kuwa tumezidisha lager (kupiga masiwa)
kibaya sie tunafanya kazi kwa bidii, tumejiendeleza kwa bidii.....tuna nafuu lkidogo lakini ni nukweli kwamba the majority huishi wakitegemea how do we arrange for them...
tunawajibika vyema, tunalipa kodi ipasavyo, na TRA wanakusanya kodi, na wao wenyewe wanashangaa zinakwenda wapi...siku hizi hata wakitumwa wakamfilisi mtu wa chadema hawana hamu kwani hata wao hawakumtuma kikwete apeleke makusanyo kwa ROSTAM...bali walimtuma ajenge shule, aajiri walimu, atoe dawa hospitali, ajenge barabara, atetee wanyonge na si vinginevyo....
inafikia kipindi mtanzania ambaye ana nafasi katika jamii anakuwa termed as fisadi japo hajahusika...hii itatufanya tuchomewe kwenye nyumba zetu.....
its time to side with wananchi!!!!!but we always need to use one microphone....that is dr slaa....
we need to use political platform..that is chadema...
God bless!!