Ziroseventytwo
Platinum Member
- Mar 27, 2011
- 9,471
- 17,977
Sasa wakujibu kwani wao madaktari? Iwapo unataka jibu si uende hospitali ukamuulize daktari wake?Jibuni swali acheni maneno yenu ya siyokuwa na maana,mtu ameuliza swali nyinyi mnajibu kama waimba taarabu msiwe hivyo wakuu komaeni kwenye siasa.
kwanza mada yenyewe haijatolewa kama swali bali maoni au taarifa.Jibuni swali acheni maneno yenu ya siyokuwa na maana,mtu ameuliza swali nyinyi mnajibu kama waimba taarabu msiwe hivyo wakuu komaeni kwenye siasa.