mariavictima
Senior Member
- Jul 8, 2010
- 179
- 39
Siku Prof.Lipumba anarudi toka marekani,Dr.Slaa alikuwa anarudi pia toka anakojua mwenyewe.
Kuna uhusiano wowote kati ya maneno ya Nchemba na Safari ya Dr.Slaa?
Kwamba kafulia kiasi kwamba anaomba kutibiwa na serikali?
Mara nyingi safari zake za nje huwa anatoa taarifa,kwanini hii ilikuwa kimya kimya?
Dr.Slaa,toa ufafanuzi.
Ndo keshaanza kuwasogelea hivo,inabidi afungwe kamba aisee.
Hii nchi sasa imekwisha. kama kampeni zenyewe ndo yanazungumzwa mambo haya, kwa kweli hatuna viongozi, hatuna vyama, wala hatuna sera za kutupeleka kwenye neema
Siku Prof.Lipumba anarudi toka marekani,Dr.Slaa alikuwa anarudi pia toka anakojua mwenyewe.
Kuna uhusiano wowote kati ya maneno ya Nchemba na Safari ya Dr.Slaa?
Kwamba kafulia kiasi kwamba anaomba kutibiwa na serikali?
Mara nyingi safari zake za nje huwa anatoa taarifa,kwanini hii ilikuwa kimya kimya?
Dr.Slaa,toa ufafanuzi.
Huyu Nchemba bwegez kabisa.Yaani yeye hajui kwamba wanaolipia tiba za nje ni walipa kodi na sio CCM?
Siku Prof.Lipumba anarudi toka marekani,Dr.Slaa alikuwa anarudi pia toka anakojua mwenyewe.
Kuna uhusiano wowote kati ya maneno ya Nchemba na Safari ya Dr.Slaa?
Kwamba kafulia kiasi kwamba anaomba kutibiwa na serikali?
Mara nyingi safari zake za nje huwa anatoa taarifa,kwanini hii ilikuwa kimya kimya?
Dr.Slaa,toa ufafanuzi.
kama anawashwa hakuan haja ya kuongea na josephine atoe contact watu wamuite aje akunwe