Dr. Slaa: Mfuko wa cement utakuwa Tshs 5,000.. Ni KWELI 100%

Hoja hapa Dr.Slaa akichukuwa nchi mfuko wa cement utakuwa Tshs 5.000 ni kweli?

Hayo mambo ya matumizi ya dola siyo hoja kwenye huu uzi kafungue uzi takuja kujadili.
 
Mwanangu achana na mama yako mimi nitakununulia jojo. Hivi utapeli huu wa kisiasa ni kwa faida ya nani? Jamani wazee walisoma kwa fulugobe na sasa ni maprofesa. Jiulize jojo la dr. Sijala litapindua jua kweli
 
Mwanangu achana na mama yako mimi nitakununulia jojo. Hivi utapeli huu wa kisiasa ni kwa faida ya nani? Jamani wazee walisoma kwa fulugobe na sasa ni maprofesa. Jiulize jojo la dr. Sijala litapindua jua kweli
mjomba huu ni utafiti wa kisomi , sasa kama hujaambua kitu ni bora ujinyamazie kimya .
 
inawezekana kurejesha ujenzi ktk gharama zake halisi, hizi za wakati huu wa CCM ni ufisadi tu, wawekezaji wanyonyaji wakubwa
 
Tanzania ya Viwanda ndio sasa inapiga Hodi, akina Dongate Siment imewalemea .. ni Saa Yetu sasa
 
nakumbuka hii thread bado ipo na INAWEZEKANA
 
Cement 5000 inawezekana kama simenti ilikuwa inatoka Pakistan inakuja hadi tena inalipiwa ushuru nq bado bei iko ndogo kushinda simenti ya huku ujue inawezekana
 
wewe naona unataka kunitoa machozi tu, mpaka sasa pesa yangu nyingi sana imelala kwenye kiwanja nilichonunua nikitegemea kuanza ujenzi baada ya uchaguzi. I wish ningeizungusha pesa yangu saa hizi ningekuwa safi sana.
pole
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…