Siamini ninachokisoma hapa. Hii ni dalili ya woga. Jiulizeni kwanini mnapatwa woga sasa hivi? Haya mawazo mbona sikuyaona wakati ule na badala yake mlikuwa mnashabikia kuwa wasaliti wote watolewe ndani ya chama. Ninachokiona hapa ni kuwa mmeanza kuuona ukweli kuhusu tuhuma anazo pewa ZZK, Pamoja na nguvu aliyonayo kukisambaratisha chama hata Kama ni asilimia 15 tu. Msiposimamia NGO Irudi kuwa chama hata nyie mtanyolewa tu. Ombeni MUNGU muendelee kubaki ndani ya kiza, Siku mkaona mwanga tu, you are the next