MUSSA ALLAN
JF-Expert Member
- Oct 13, 2013
- 18,925
- 13,259
kati ya slaa na lukuvi,ole sendeka na wasira ni yupi hasa aliyefilisika kisiasa:israel:
Mkuu Slaa amechoka sana, Akili ya yule Mzee inabidi ipumzishwe sasa.
kati ya slaa na lukuvi,ole sendeka na wasira ni yupi hasa aliyefilisika kisiasa:israel:
Dr Slaa atuambie ile safari yake ya kujifunza nchini Marekani kwanini Josephine Mshumbusi alilipiwa gharama zote na Chadema? Chadema ilimlipia Joesphine Mshumbusi kama nani ndani ya chadema?
Khaa!! Bora asonge mbele na ukawa kwani cDm ilikufa tokea walipomfanyia fitna ZZKsonga mbele ukawa
Mkuu Slaa amechoka sana, Akili ya yule Mzee inabidi ipumzishwe sasa.
Kwa vile yeye ni mwanaume tena wa UKAWA, hawezi kujua maana ya first lady. Hivi utamlinganisha na wanawake wengine huyu mama anayelala Ikulu?
Rais wako ni Dr Slaa au Pro Lipumba? au CDM ndo mnaendeleza changa la Macho hadi kwa UKAWA UNITED?Rais wangu Dr.slaa hapo umenena
salma yupi? Huyu ambaye ndani ya ccm anaheshimika na kuogopwa kama ukoma? Maana hata akijamba nasikia akina nape humwambia pole kwa kuumia..Babu kachemka,naona kamshidwa kinana sasa ameamua kuchuana na salma.
kusema na ukwel chadema wamechuja kimtindo maana kweny matawi yao yamejaa migogoro tupu na kupigana mabiti ya ajabu ajabu tu tena kama huyo slaa ndo chanzo cha migogoro kwa ubwatukaji wak huo.
Mkuu, kwangu namuonaga Dr Slaa ni mtu aliyefilisika kisiasa