Dr Slaa: Mama Salma ni mama wa nyumbani!

kusema na ukwel chadema wamechuja kimtindo maana kweny matawi yao yamejaa migogoro tupu na kupigana mabiti ya ajabu ajabu tu tena kama huyo slaa ndo chanzo cha migogoro kwa ubwatukaji wak huo.
 
Dr slaa ni babu wa nyumbani pia


"Chadema iki ingia Ikulu Bangi na Gongo itaruhusiwa kuuzwa"-Dr Slaa
 
Dr Slaa atuambie ile safari yake ya kujifunza nchini Marekani kwanini Josephine Mshumbusi alilipiwa gharama zote na Chadema? Chadema ilimlipia Joesphine Mshumbusi kama nani ndani ya chadema?

Off point, hujui unaandika kujibu nini. Kinachoongelewa ni mikutano kusini. Kwa kuwa umeamua kuficha akili mfukoni na kuonesha hadharani upumba-vu, basi ni chaguo lako
 
ccm ni janga la kitaifa jamani,huu ni upuuzi,huwezi mpa kibali mtu ambae hana title kisiasa halafu wenye title wanaonekana hawana maana,Dr kila kitu kina mwisho wake,hakika 2015 ndio mwisho wao
 
Mkuu Slaa amechoka sana, Akili ya yule Mzee inabidi ipumzishwe sasa.

Jaman acheni U CHADEMA na U CCM yawezekana kweli Dr slaa kafilisika kimawazo!!! Ilihali wanaom mcikiliza wengi kama cio wote wana akili timamu! Laiti kama waTz 2ngekuwa na desturi ya kukubali kzuri cha mpinzani wako kwa mema ya taifa 2ngefka mbali ila ivi 2endelee kujitengenezea vta ambayo waathirika watakuwa ni watoto we2! Ndipo akili ztapo2rudia!
 
Tanzania ukiwa karibu na watawala huguswi, na ukiwa unatoka mtaa wa magogoni ndo kabisaaa, we uko juu ya sheria!
 
kusema na ukwel chadema wamechuja kimtindo maana kweny matawi yao yamejaa migogoro tupu na kupigana mabiti ya ajabu ajabu tu tena kama huyo slaa ndo chanzo cha migogoro kwa ubwatukaji wak huo.

Kwa taarifa yako baada ya mikutano tunafanya vikao vya chama na chama liko imara sana!
 
salma lindi na mtwara ni kwao kwa hiyo alikuja kuongea na ndugu zake mambo ya kifamilia. silaa hana hoja.
 
Watanzania na hasa CCM ni mbumbu kupindukia. Kwa kufuata katiba ya Tanzania Salma Kikwete ni mwanamke na mwananchi wa kawaida asiye na cheo wala madaraka yoyote.

Katiba ya Tanzania haina mtu anayeitwa first lady. Watu wanaiga mambo wasiyoyajua. First lady yupo Marekani na katiba ya Wamarekani inamtambua. Hapa kwetu hatuna mtu kama huyo ila Salma kwa kimbelembele chake, uroho wa ukubwa na umbumbu wake, amekuwa akifikiria kuwa yeye ni Rais mdogo.

Mkuu, kwangu namuonaga Dr Slaa ni mtu aliyefilisika kisiasa
 
kusema na ukwel chadema wamechuja kimtindo maana kweny matawi yao yamejaa migogoro tupu na kupigana mabiti ya ajabu ajabu tu tena kama huyo slaa ndo chanzo cha migogoro kwa ubwatukaji wak huo.

a silly coment
 
Kwa vile yeye ni mwanaume tena wa UKAWA, hawezi kujua maana ya first lady. Hivi utamlinganisha na wanawake wengine huyu mama anayelala Ikulu?

Wewe eneo la kulala linakupa shida, au hujui katiba ya nchi hakuna sehemu imeandikwa first lady, hakuna sehemu imemtaja rais na familia yake hata mke wake hakuna; Salma ni mwalimu wa darasa la pili na kwanza tu huyo, slaa yuko sahihi kujaribu kuwatafasiria watu mambo ambayo wanayakosea bila kujua. HAKUNA CHEO CHA MKE WA RAI, NI MKE WA KIKWETE sio wa RAIS. Kama ni Mke wa Rais basi rais akija mwingine aendeleee nae.
 
tatizo hili ni serikari ya awamu hii tu,mbona enzi za mkapa ,mwinyi hata nyerere hilo halikuwepo,tatizo kaugeuza uraisi kuwa wa familia ,halafu kingine mume mwenywe kila siku safari sasa yeye akae nyumbani asubiri,mnakijua alichofuata uko
 
Back
Top Bottom