Dr Slaa: Mama Salma ni mama wa nyumbani!

tatizo hili ni serikari ya awamu hii tu,mbona enzi za mkapa ,mwinyi hata nyerere hilo halikuwepo,tatizo kaugeuza uraisi kuwa wa familia ,halafu kingine mume mwenywe kila siku safari sasa yeye akae nyumbani asubiri,mnakijua alichofuata uko

Hatukusikia mtu kama Ridhiwan kwa mfano!
 
Kwa vile yeye ni mwanaume tena wa UKAWA, hawezi kujua maana ya first lady. Hivi utamlinganisha na wanawake wengine huyu mama anayelala Ikulu?
kwa hiyo anajiamulia tu kufanya mkutano popote na kila anapojisikia.....daaah haya bhana Great Sinker
 
Dr.W.Slaa wanaume wenzie ame washindwa sasa amenza kupambana na wana wake!

Dr slaa aseme hadharani yeye ni mtanzania daraja la ngapi?
 
Last edited by a moderator:
Kwa vile yeye ni mwanaume tena wa UKAWA, hawezi kujua maana ya first lady. Hivi utamlinganisha na wanawake wengine huyu mama anayelala Ikulu?

Huyu ni mwanamke kama wanawake wengine ; kwani huko Ikulu walikopanga wanalalia vitanda vingapi? Mumewe muda wake ukiisha watarudi wote Msoga kulima mihogo kama watakuwa bado wanandoa ; kama atakuwa amepewa talaka itabidi arudi kwao Lindi akajaribu kugombea ubunge!!!!
 
Aeleze bajeti yake ya shirika lake iko wapi?, je,mfuko wa mama mkapa alikabidhiwa?

Wanatumia hizi NGO zao za WAMA kama ndio njia ya kutuibia fedha zetu za NSSSF na kuombea fedha kwa mashirika ya nje halafu hizo pesa wanajidai wanasomesha wasichana kumbe wanapeleka kwao!!!
 
Huyu ni mwanamke kama wanawake wengine ; kwani huko Ikulu walikopanga wanalalia vitanda vingapi? Mumewe muda wake ukiisha watarudi wote Msoga kulima mihogo kama watakuwa bado wanandoa ; kama atakuwa amepewa talaka itabidi arudi kwao Lindi akajaribu kugombea ubunge!!!!

Hayo ni maneno magumu ndugu!
 
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom